Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Hivyo pekee huwezi kujua, lazima uombe Roho Mtakatifu akujulishe...Ila mbona kapima roho hapo? Kuijaribu roho ni kupima kama mtu husika mwenye dhamana anafundisha kwa mujibu wa neno la Mungu au la. Hapo utaweza kujua roho inayofanya naye kazi.