Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Ila mbona kapima roho hapo? Kuijaribu roho ni kupima kama mtu husika mwenye dhamana anafundisha kwa mujibu wa neno la Mungu au la. Hapo utaweza kujua roho inayofanya naye kazi.
Hivyo pekee huwezi kujua, lazima uombe Roho Mtakatifu akujulishe...
 
Kama mnapotoshwa lazima tuwatoe shimoni.
Yes.
Kama uliwahi kutoa hata sh. mia 1 kwaajili ya kununua kifaa cha kiroho jua kuwa uliuziwa na wakala wa Ibilisi.
Kwa waganga, uzinzi, uchawi meshindwa kuwatoa watu, mtaweza kuwatoa ambao wananamuamini Yesu?
 
a
Sijalipa hata Senti kumi, nilikuwa naenda ibadani, ila sio kila mara, na nasikiliza neno kwa Tv na Redio...

Mi ni Muanglicana na ndio nasali hata sasa...

Nikakuza Imani yangu kwa Yesu ..

Neno la Mungu linasema;
Waaminini Manabii mtafanikiwa, niaminini mimi mtathibitika
Anglicana sindo wale wameruhusu naniliu
 
Nisikilize, unapofanya kinyume na katiba ni kosa.

Na katika imani ukifanya kinyume na muongozo wa kitabu cha imani yako ni wizi.

Ni wapi imeandikwa mtu apeleke pesa aombewe?
Makanisa mengi yanatumia njia mbalimbali kukamua watu. Sadaka kibao, bado sijui fungu la kumi, mpaka fungu la 10 wengine wanalazimisha watu watoe. Unajua fungu la 10 ni hela ndefu sana. Yaani kwa mfano nite 400k kila mwezi eti fungu la kumi . Na hayo mafungu ya 10 yanaombewa ukipeleka bahasha. Sasa kuna tofauti gani na kuhani Musa.
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
This is day robbery! Period!
Jizi, jizi, jizi! Hakuna kumungunya maneno,
Yaani una matatizo ya kiuchumi, kipato duni,ajira hakuna, na unadhani ukienda kwa jitu moja likakuwekea mikono kichwani kukuombea, matatizo yanayeyuka faster!!! Tena utoe pesa kwanza!
Kama ndio hivyo kwa nini asipige maombi! Viwanda vya simu magari computer vitokee faster na wasomi wetu wapate ajira za kutosha tuwe kama Dubai au honkong
 
MOJA YA KITU WALICHO FANIKIWA HAWA WANAOJIHITA MITUME, MANABII, MAKUHANI.
NI KUWAAMINISHA WATU WAO KWAMBA "WAO WANA NGUVU" , NA SIO MWENYEZI MUNGU.!

NA KWA NAMNA HII, WAUMINI NDIO WATETEZI WAKUBWA WA MIUNGU YAO HIYO.
NI MUDA PEKEE NDIO WA KUJA KUWAKOMBOA.
 
Makanisa mengi yanatumia njia mbalimbali kukamua watu. Sadaka kibao, bado sijui fungu la kumi, mpaka fungu la 10 wengine wanalazimisha watu watoe. Unajua fungu la 10 ni hela ndefu sana. Yaani kwa mfano nite 400k kila mwezi eti fungu la kumi . Na hayo mafungu ya 10 yanaombewa ukipeleka bahasha. Sasa kuna tofauti gani na kuhani Musa.
Haya maisha ni kubadilishana majukumu, wengine fungu la 10, wengine viti virefu na maisha yanakwenda
 
Makanisa mengi yanatumia njia mbalimbali kukamua watu. Sadaka kibao, bado sijui fungu la kumi, mpaka fungu la 10 wengine wanalazimisha watu watoe. Unajua fungu la 10 ni hela ndefu sana. Yaani kwa mfano nite 400k kila mwezi eti fungu la kumi . Na hayo mafungu ya 10 yanaombewa ukipeleka bahasha. Sasa kuna tofauti gani na kuhani Musa.
Tofauti kubwa sana, hawa manabii ni wanyang'anyi. Fungu la kumi hata ukitoa 50K hawa a shida
NB: Mimi sisali, ila fungu la 10 linaishia baa.
 
Nisikilize, unapofanya kinyume na katiba ni kosa.

Na katika imani ukifanya kinyume na muongozo wa kitabu cha imani yako ni wizi.

Ni wapi imeandikwa mtu apeleke pesa aombewe?
Yule anatumia ujinga wa waumini kujipatia kipato. Simtetei lakini wizi ni kosa kisheria, yule Kwa kile anachofanya huwezi kumfunga. Waumini wangekua na uerevu basi yule jamaa angetafuta kazi ingine ya kufanya.
 
Wanaenda hadi wasomi na viongozi.

Hata kwa Mwamposa Raisi alimtuma Chalamila apeleke sadaka
 
Kuhani Mussa anawakilisha ufalme wa MUNGU yupi?
Yule Mungu wa mbingu na nchi aliyewaonya watumishi wake wasitoze fedha au mungu wa duniani shetani?
View attachment 2816989

Hebu tulia kwa makini tafakari andiko hili
Hapo kwenye Mathayo 10:8 panaposomeka "..... pozeni wagonjwa, fufueni wafu..... mmepata bure, toeni bure" kwani zaidi ya Yesu kuna binadamu gani mwingine aliyewahi kuwa na uwezo wa kufufua mfu/wafu?
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Huna maajabu kaa chonjo na kuhani wako wa mchongo
 
Wanaenda hadi wasomi na viongozi.

Hata kwa Mwamposa Raisi alimtuma Chalamila apeleke sadaka
Hata kwa babu wa Loliondo walienda wasomi na viongozi na serikali ikaamuru barabara itengenezwe na miundo mbinu mingine iwekwe. Ni kwa ujinga ule ule. Na mengine ufanywa na viongozi wa kisiasa kama kupatia mtaji wa kisiasa.
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Vipi kuhusu hiyo laki mbili ?
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Pole sana
 
Back
Top Bottom