Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Life jacket ya kumfaa mama ama xx large au xxx large. Watendaji wamekosea sana kumvisha jaketi size medium. Watendaji wa wajibishwe.
Laki si anapiga picha za utalii tatizo liko wapi?
 
Walioandaa ziara hawakujua kuwa rais atalazimika kuvaa life jacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe.

View attachment 1917836
Maana yake hiyo akitumbukia kwenye maji atazama. Huyo aliyempa hiyo life jacketi tutamuunganisha kwenye kesi ya Mbowe. Kupanga kuua viongozi wa serikali huku akijua fika ni kinyume na sheria
 
Maana yake hiyo akitumbukia kwenye maji atazama.Huyo aliyempa hiyo life jacketi tutamuunganisha kwenye kesi ya Mbowe. Kupanga kuua viongozi wa serikali huku akijua fika ni kinyime na sheria
Hahaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba anapanga kuua viongozi.
 
Nimeamini sasa kuwa Maza anadharauliwa sana na waliomzunguka.

Hapo akitumbukia kwenye maji hiyo life jacket inamvuka fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…