Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

KUNA KITU KIMOJA NILIKIPENDA SANA

Kuna jamaa kila siku akiondoka nyumbn haachi au anaacha kiduchu, soo inabidi mke akakope. Mwenye duka anajua kabsa yule mwanamke hana kazi, ila mme wake anapata pesa nyingi tu ila zinaishia kwenye pombe, akamwambia yule mwanamke yani wewe ukiishiwa njoo tu dukan ukope chochote wala usimwambie Huyo mmeo mana atakukataza. Mwanamke akakopa kama miez mitatu ivi , yule mama mwenye duka akaenda nyumbani kudai chake, Mme akasema Mimi sijawah kukopa n mmke wangu. Msambaa wa kitanga akafunga kanga kiunoni akamchachamalia akamwambia mm najua wewe ndo kichwa cha familia huataki tunapelekana ndani, jamaa alilala sero akatoka kwa mashart sana, asaiv akiwa anaondoka anauliza mke wangu Leo sh ngapi inahitajika. Anatupia mzigo mezani na nyumban anarud mapema kama tetea.
 
Kwanini usiende kukopa ww!!! Mwanamke akakope kwa mwanaume siku akimla ulalame tusivyo waaminifu nyie nyie wakati mwingine dharau mnajitengenezea
Na ndo maana nikasema ilo jambo halitakiwi kua mara kwa mara yan ikitokea ni kwamba uwe na sababu za kumwambia ivo otherwise isiwe kisingizio cha wewe kuchepuk
 
Du hiyo nzuriii
 
Ana mgodi unaotembea ndio maana.Kapeace una matatizo,una hasira na wanaume,kama kuna matatizo na mwanaume wako go sort yourself out,don't bring your stresses on Jf.
 
Sikuzote sisi ni watu wa kufanya maarifa, wewe unafikiria ile menu ya utumbo na mchicha au nyama na kabechi tunafanya kwa kupenda? Ni ili mboga iwe nyingi watoto washibe.
 
Ana mgodi unaotembea ndio maana.Kapeace una matatizo,una hasira na wanaume,kama kuna matatizo na mwanaume wako go sort yourself out,don't bring your stresses on Jf.
Una hasira kwasababu ya Uzi wako wa Jana ulifutwa mkuu ama? Ungechangia bila kunitaja isingetosha?? Sina stress mimi nimechangia km wadau wengine, labda km wewe una stress na mimi mkuu, pole
 
Mwanaume asiyejua kuwajibika kwa ajili ya familia yake sielewi nimuweke kundi gani wanakera wanakera mpaka basi yaani unatamani hata umtemee makohozi, yaani mume wa ivo putuuuuu

Unaonekana una makovu mengi sana ya majeraha ya kutendwa na Wanaume uliowahi kuwa na katika Mahusiano yako kwani umeandika Kihisia mno. Pole sana Dada na mtuvumilie tu Sisi Wanaume.
 
Una hasira kwasababu ya Uzi wako wa Jana ulifutwa mkuu ama? Ungechangia bila kunitaja isingetosha?? Sina stress mimi nimechangia km wadau wengine, labda km wewe una stress na mimi mkuu, pole
Ulisababisha uzi wangu kufutwa jana najua!lakini kila kitu unachangia kwa hasira kama hii dunia ni yako.Nimekutaja ili unijibu.Sina Stress zozote ila jaribu kuchangia kawaida wewe unawachukia wanaume,kwa akili yangu ndogo huna mume,hujawahi kuolewa na hata boyfriend wako kama unaye humuamini.Punguza chuki kwa mbegu zilizokutengeneza.
 
Sina chuki na wanaume wewe tu ndo hujanielewa, halafu ni heri km comments zangu zinakuvuruga usiziquote kabisa, pita tu kimya kimya,
 
Unaonekana una makovu mengi sana ya majeraha ya kutendwa na Wanaume uliowahi kuwa na katika Mahusiano yako kwani umeandika Kihisia mno. Pole sana Dada na mtuvumilie tu Sisi Wanaume.
Hiyo comment mbn IPO kawaida mkuu nyie tu hamjaielewa, Sina chuki na me kabisa hata kutendwa hamjanitenda kufikia hatua ya kuwachukia nawavumilia sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…