Kuamini Mungu na usimwamini Yesu kama Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu,Uwe unachambua kabla ya kunyonga
Your opinions are not different from that of a suicide bomber.Hakika Mungu ni mmoja na Yesu kristo ndio jina lake.
adriz
goswe
FaizaFoxy
DR Mambo Jambo
ChoiceVariable
Yeye ndio anapoteza muda kwa kusubiria meli stendi ya busKuamini Mungu na usimwamini Yesu kama Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu,
Unapoteza muda.
Amen.Hakika Mungu ni mmoja na Yesu kristo ndio jina lake.
adriz
goswe
FaizaFoxy
DR Mambo Jambo
ChoiceVariable
Hiyo aya Uliyotaja Hakuna Mahali imesema Kumkiri Yesu Kama Mungu..Salaam, Shalom!
Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mema duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, unapoteza muda,
Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;
1. Tuzichunguze Roho. (1 Yoh 4:1-3).
Verse 1: Wapenzi, msiiamini kila Roho,Bali zijaribuni hizo Roho, kwamba zimetokana na Mungu; Kwa sababu manabii wengi wa uongo wengi wametokea duniani.
2. Wamkirio Yesu, wanatokana na Mungu.(1Yoh 4:2).
Verse 2: Katika hili mwajua Roho wa Mungu; Kila ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja Katika mwili yatokana na Mungu.
3. Wasiomkiri Yesu wanaongozwa na Roho ya mpinga Kristo.(1 John 4:3).
Verse 3. Na Kila Roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.
Na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja;na sasa imekwisha kuwako duniani.
4. Wasiomkiri Yesu ,maaikio yao yamezibwa wasiijue kweli.(1 John 4:6).
Verse 6: Sisi twatokana na Mungu, Yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na Roho ya upotevu.
Mwisho wa kunukuu,
Sasa unapoteza muda kufunga, hili chakula, hunywi pombe ukiamini unampendeza Mungu ilhali unamkataa Yesu aliye Mungu, hii ni hatari.
Hii ni sawa na kumtafuta mfalme usiyemjua jina,
Sasa Mungu ni Mfallme, nawe umefichwa, humjui jina lake ilhali Yesu ambaye ndiye huyo mfalme, unamtukana na kumkana Kila siku, unapoteza muda.
Ikiwa unapenda kuokoa muda, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU ISINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Yesu Sio Mungu na Mungu sio Yesu..Hakika Mungu ni mmoja na Yesu kristo ndio jina lake.
adriz
goswe
FaizaFoxy
DR Mambo Jambo
ChoiceVariable
Yesu Sio Mungu na Mungu sio Yesu..
Yohana 1:1-10Yesu Sio Mungu na Mungu sio Yesu..
Kumwamini Mungu na usijue jina lake personal YESU KRISTO Yeshua Hamashiach ni upotevu wa muda.Yesu Sio Mungu na Mungu sio Yesu..
Huku nako ni kupoteza muda,Hiyo aya Uliyotaja Hakuna Mahali imesema Kumkiri Yesu Kama Mungu..
Ila Imesema kuwa Kumkiri Yesu kama Alikuja physically yaani Mwili na Sio Roho na Pia Ni Masihi yaani Kristo..
Sasa kama Ulikuwa unawasema Waislamu Moja ya Nguzo yao ya Imani Ni kukiri Yesu ni Masihi na Mtume kwahyo Kwenye Fungu hilo hawahusiki..
Karibu Tudooee Iddi Ndugu yangu
Amen 🙏Salaam, Shalom!
Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mema duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, unapoteza muda,
Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;
1. Tuzichunguze Roho. (1 Yoh 4:1-3).
Verse 1: Wapenzi, msiiamini kila Roho,Bali zijaribuni hizo Roho, kwamba zimetokana na Mungu; Kwa sababu manabii wengi wa uongo wengi wametokea duniani.
2. Wamkirio Yesu, wanatokana na Mungu.(1Yoh 4:2).
Verse 2: Katika hili mwajua Roho wa Mungu; Kila ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja Katika mwili yatokana na Mungu.
3. Wasiomkiri Yesu wanaongozwa na Roho ya mpinga Kristo.(1 John 4:3).
Verse 3. Na Kila Roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.
Na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja;na sasa imekwisha kuwako duniani.
4. Wasiomkiri Yesu ,maaikio yao yamezibwa wasiijue kweli.(1 John 4:6).
Verse 6: Sisi twatokana na Mungu, Yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na Roho ya upotevu.
Mwisho wa kunukuu,
Sasa unapoteza muda kufunga, hili chakula, hunywi pombe ukiamini unampendeza Mungu ilhali unamkataa Yesu aliye Mungu, hii ni hatari.
Hii ni sawa na kumtafuta mfalme usiyemjua jina,
Sasa Mungu ni Mfallme, nawe umefichwa, humjui jina lake ilhali Yesu ambaye ndiye huyo mfalme, unamtukana na kumkana Kila siku, unapoteza muda.
Ikiwa unapenda kuokoa muda, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU ISINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
KIla Siku nawaambia Hizo aya Mnazoleta muwe Mnazihakiki kwanza!Yohana 1:1-10
Isaya 9:6-10
Wapi Imeandikwa Mungu Jina lake ni Yeshua??Kumwamini Mungu na usijue jina lake personal YESU KRISTO Yeshua Hamashiach ni upotevu wa muda.
GENGE LA MAKOBAZI WAUONE UZI HUU NA WAUZINGATIE.Salaam, Shalom!