Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Huyo Mungu, akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Mungu, asipo aminiwa anapungukiwa nini?

Huyo Yesu, akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Yesu, asipo aminiwa anapungukiwa nini?

Hivi huyo Mungu na Yesu wako wanajielewa?
Hasara ni kwako still ana mamilioni ya viumbe Wanamuamini
 
Isaya alitabiri bikra atachukua mimba na kuzaa moto wa kiume sawasawa na kuzaliwa kwa Yesu kulivyotokea.

Kufungua codes za kinabii alizoandika Isaya ni shart uwe na Roho ya unabii ndani yako amvayo WEWE huna, unayo Roho ya mpinga Kristo.
Isaya Alichoongelea kwenye Andiko Sio Bikra Kila.Siku Nawaambia Watu Hilo...

Kwanza Nianze na Kuchambua Hasa Alichoongea Isaya Kuhusu Mnachoita Bikra..

Neno Lililotumika kwa Kiebrania kwenye Yeshayahu au Isaya 7:14 ni "almah" (אַלְמָה),," na Sio "betulah" (בְּתוּלָה)

Sasa Unajua maana Ya "almah" (אַלְמָה) , almah maana Yake ni msichana Mdogo ambaye yupo kwenye Umri wa Kuolewa ..
Na Betulah ni Msichana Bikra..

Sasa Unajua Kilichotokea waliotafsiri Biblia Kutoka Hebrew Kwenda Kwenye Kigiriki Septuagint walibadili maana Ya Neno Hilo ili Lifit theological Claimant zao kama unavyoziongelea Wewe sasa wakaweka Neno "parthenos" la kigiriki
Linalomaanisha Bikra Wakati Kiuhalisia Ilikuwa ni Almah badala ya Betulah..

Na Hilo Fungu Ilikuwa ni Kipindi Cha mfalme Ahazi Na Isaya alipokuwa akiwaambia watu Kuhusu Ishara ya Kuja Kwa Mfalme mpya na Hiyo Ishara alipewa Mfalme ahazi kuwa Msichana Mdogo Atazaa..

Na Kweli Msichana mdogo alizaa Mtoto na Jina La Mtoto huzo ililuwa Hezekia na Ndiyo mfalme aliyerudisha Heshima ya Yuda tena Mbele za Mungu...

Jitahidini Msome Msipelekwe na Dogma
 
HAYO maelezo yako na ufafanuzi wako unaoongozwa na Roho ya mpinga Kristo, wapelekee waovu wenzio.

Kazi ya shetani na agents wake ni kupindisha maandiko, nawe uko kazini.

Kuzaliwa kwa Yesu kulitabiriwa na Isaya na agano jipya limeweka tote wazi kabisa.
 
Na siwezi poteza muda kujibizana nawe kwa kuquote maandako ilhali huamini kuwa Yesu alifufuka Katika wafu.
 
Yesu ndio njia na uzima
Sasa kuanza safari bila kuijua njia ni kupoteza muda.

Wanadamu wote na wajue kuwa, Mungu ni mmoja tu,

Na jina la Mungu huyo mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu ni Yesu Kristo Yeshua /Hamashiach.

Kutokumwamini Yesu ni kupoteza muda na moto unawasubiri wote walioikataa njia ya kweli iletayo uzima.
 
Heshima yako mkuu!.

Naomba msaada kidogo kwenye hiyo Isaya 9:6 kuna maneno yanazungumzia sifa za huyo mtoto kuwa ni "Mungu mwenye nguvu", "Baba wa milele".

Naomba uniongezee ufahamu, je hizo sifa zinamhusu pia Mfalme Hezekia?.
Ok Sawa!
Neno Lililotumika Kama "Mungu mwenye Nguvu" Yaani "El Gibbor"

Kwanza Kabisa Neno Gibbor Linamaanisha "a mighty warrior, hero" yaani Shujaa au Mpigania Watu..

Na Ndo maana Hata Nguvu ya Ushujaa huo alipewa Gabriel malaika..
Na anaitwa Gabr-El yaani muunganiko wa Gabbor na El..
Ambayo kama Utaona Ni sawa Na Ile iliyoandikwa kwenye Isaya 9:6 So ni Nguvu ya Mungu au Mungu Ni shujaa..

Nenda tafuta maana Ya Gabriel Utapata Maana Halisi ya Neno hilo..

Na Ndo maana Hilo Neno Gabbor Lipo Kwenye mafungu zaidi ya 9 Kwenye Biblia na Wala hayakumaanisha Mungu ila Yalimaanisha Shujaa..(Mambo ya Walawi 24:10-16,1 Samweli 16:18,1 Samweli 17:51,Yeremia 51:30, Hesabu 24:8 etc)

Na Ndiyo Hezekia Alivyokuwa Shujaa wa Vita..na Hezekia anapewa Heshima Kubwa Sana Kupita wafalme Wote wa Israel na Yuda..

2 Wafalme 18:5-7

"Hakuwa na mfano wake kati ya wafalme wa Yuda waliomtangulia, wala hata kati yao waliomfuata. Alimwamini Bwana, Mungu wa Israeli, hata asikike, na taifa lote la Yuda likafunguliwa kutokana na madhara ya adui."

Na Hii Ndo sifa Ilimfanya Aitwe Baba Wa Milele Kwa kuwa ndiyo aliiokoa Taifa la Israel na Yuda kwa Pamoja..

Turudi Kibinadamu (Kwani kwanini Nyerere Anaitwa Baba w Taifa La Tanzania?)

Tuendelee..

2 Mambo ya Nyakati 32:23

"Watu wengi walimletea Bwana zawadi huko Yerusalemu, na vitu vya thamani kwa Hezekia, mfalme wa Yuda; hata yeye akatukuka tangu wakati ule machoni pa mataifa yote."

Sasa Hapo nadhanj Umenielewa Kama Unanyingeza Ya Swali nakaribisha
 
Krishna ni WA lini na Yesu alikuja lini, nani aliyetangulia?

Krishna alifufuka na kupaa mbinguni?

Mungu ni mmoja tu,na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/ Yeshua Hamashiach.
Kuhusu Krishna Kufufuka..
Ukisoma Kwenye Mahabharata - Shanti Parva (Book of Peace), Section 339:

Katika sehemu hii ya Mahabharata, kifo cha Krishna kinazungumziwa baada ya kumaliza jukumu lake duniani. Krishna alikufa kwa kupigwa na mshale kutoka kwa Ashwatthama (mtoto wa Drona), na hii ni sehemu ya mchakato wa Krishna kurejea kwa Vishnu (Mungu baba). Kwa kuwa Krishna alikuwa avatar wa Vishnu, kifo chake kilikuwa ni kurudi kwa Vishnu, ili kumaliza kizunguzungu cha dunia na kurejesha amani.

Shanti Parva 339.24-25 inasema kwamba:

"Krishna alikufa na alijua kuwa sasa alikamilisha kazi yake duniani. Alirejea kwa Vishnu, na hivyo kumaliza zama za dhuluma na kurejesha dharma (haki). Kwa hiyo, alitoka duniani na alirudi kwa Mungu wake, Vishnu."

Kwahyo Na yeye alikufa na Kufufuka Kwenda kwa Mungu
 
Alizaliwa bila baba?

Who is the father?

Na ndio msingi wa hoja YANGU kusema, Yesu hana baba wala mama.

Mary alikuwa bikra lakini alipata mimba. Na ndicho alichotabiri Nabii Isaiah.
Nabii Isaya Hakusema Bikra alisema Msichana Mdogo..

Wewe Umesema Baba Na mama Na Sio Baba Peke yake..
Kwa mujibu wa Biblia Yesu hakuwa na Baba ila alikuwa na Mama..
Watu wawili tu kwenye Biblia ambao Hawana baba wala mama..
Ni Adam,EVa na Melchizedech
 
HAYO maelezo yako na ufafanuzi wako unaoongozwa na Roho ya mpinga Kristo, wapelekee waovu wenzio.

Kazi ya shetani na agents wake ni kupindisha maandiko, nawe uko kazini.

Kuzaliwa kwa Yesu kulitabiriwa na Isaya na agano jipya limeweka tote wazi kabisa.
Ipi sehemu Nimepindisha Maandiko?
Umelishwa Uovu Unaamini Mwanadamu ni Mungu?
 
Yohana 1:1-10
Isaya 9:6-10
Yohana na Isaya ndio proof ? 😂😂😂😂😂😂 mbona hamtumii akili ? Bible waliandika wazungu ili waje waturubuni watu weusi, nyie jamaa bwana haya mambo ya dini ni kwajili ya divide and rule....na ndio mana wewe umeandika kama mbaguzi...YOU ARE A RACIST
 
Uke
Isaya Alichoongelea kwenye Andiko Sio Bikra Kila.Siku Nawaambia Watu Hilo...

Kwanza Nianze na Kuchambua Hasa Alichoongea Isaya Kuhusu Mnachoita Bikra..

Neno Lililotumika kwa Kiebrania kwenye Yeshayahu au Isaya 7:14 ni "almah" (אַלְמָה),," na Sio "betulah" (בְּתוּלָה)

Sasa Unajua maana Ya "almah" (אַלְמָה) , almah maana Yake ni msichana Mdogo ambaye yupo kwenye Umri wa Kuolewa ..
Na Betulah ni Msichana Bikra..

Sasa Unajua Kilichotokea waliotafsiri Biblia Kutoka Hebrew Kwenda Kwenye Kigiriki Septuagint walibadili maana Ya Neno Hilo ili Lifit theological Claimant zao kama unavyoziongelea Wewe sasa wakaweka Neno "parthenos" la kigiriki
Linalomaanisha Bikra Wakati Kiuhalisia Ilikuwa ni Almah badala ya Betulah..

Na Hilo Fungu Ilikuwa ni Kipindi Cha mfalme Ahazi Na Isaya alipokuwa akiwaambia watu Kuhusu Ishara ya Kuja Kwa Mfalme mpya na Hiyo Ishara alipewa Mfalme ahazi kuwa Msichana Mdogo Atazaa..

Na Kweli Msichana mdogo alizaa Mtoto na Jina La Mtoto huzo ililuwa Hezekia na Ndiyo mfalme aliyerudisha Heshima ya Yuda tena Mbele za Mungu...

Jitahidini Msome Msipelekwe na Dogma
Umejibu vema kabisa!
 
Hiyo aya Uliyotaja Hakuna Mahali imesema Kumkiri Yesu Kama Mungu..
Ila Imesema kuwa Kumkiri Yesu kama Alikuja physically yaani Mwili na Sio Roho na Pia Ni Masihi yaani Kristo..

Sasa kama Ulikuwa unawasema Waislamu Moja ya Nguzo yao ya Imani Ni kukiri Yesu ni Masihi na Mtume kwahyo Kwenye Fungu hilo hawahusiki..

Karibu Tudooee Iddi Ndugu yangu
Huyu hakualikwa iddi anabwabwaja
 
Back
Top Bottom