Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Kudai kuwa Mwana ndiye BABA na BABA ndiye Mwana ni kutojua mafundisho ya biblia vizuri.

Ni kuweka mbele falsafa za Kigiriki za kucheza na maneno badala ya mafundisho halisi ya biblia.
 
Yesu akamjibu shetani: Imeandikwa, Usimjaribu BWANA Mungu wako.

Saaa shetani anajua uungu wa Yesu na kusema Ikiwa u mwana wa Mungu, na SI mwana wa Yusufu,

WEWE ushindweje kujua kuwa Yesu ilikuwa lazima ajishushe sababu Yu mfano wa wanadamu?

Uamuzi ni wako sasa, usipoteze muda 🙏

Wewe unamuamini Shetani?
Yesu alisema Shetani ni baba wa uongo
 
Sawa,


Hata Yohana Mbatizaji, Yesu mwenyewe alionekana kichaa mbele ya vichaa waliodhani ni timamu.

Usipoteze muda Bure, ikiwa unamwamini Mungu na usijue jina la Mungu mmoja wa pekee unayemwamini ni Yesu Kristo Yeshua Hamashiach, unapoteza muda.
Wewe huonekani kichaa mtumishi.. 🙂Wewe ni KICHAA HASWA😁
 
Je hao viumbe wengine samaki,kuku,kenge,nk kwao ni wapi na watarejea lini baada ya kumaliza mission zao?

Acha ujinga badilika na usnze kutumia akili zako za asili na siyo za kulishwa na kukaririshwa
We ni *****, uwe unasoma unaelewa utaliwa chako...
 
Mafarisayo hawajawahi kuisha, wapo hata sasa,

Wengine wanazini na ni viongozi makanisani, ukiwahoji wanajibu eti wanawabariki wanapozini na waumini,

Haya ngoja tuone
Wewe umezini na wangapi mpaka ukajua kuwa huwa wanazini na viongozi makanisani?
 
Mungu kuja Katika mwili wa Mwanadamu ni ujasusi tosha,

Isingekuwa rahisi aseme hadharani, Mimi ndiye Mungu baba,

Mungu alikuja duniani Katika mwili wa Mwanadamu kiujasusi kwa kazi ya kukukomboa Mwanadamu ndio maana aliitwa mtoto wa Yusufu hakubishana,

Baada ya kufufuka na kupaa mbinguni akitwaliwa na wingu, ndipo watu wakajua kumbe Yesu hakuwa mwana wa Yusufu asiye na baba wala mama!

Mungu ni mmoja tu,

Mbinguni aitwa Baba.

Duniani aliitwa mwana alipovaa mwili,

Akiwa ndani ya wamwaminio at once aitwa Mungu Roho mtakatifu.

Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
Kwa hii comment,
Nmegundua Wee jamaa ni mweupe Sana khs dini, wee ni type ya kina kibwetele😀
 
We ni *****, uwe unasoma unaelewa utaliwa chako...

Wewe ndivyo ulivyoelewa na siyo kwamba wewe ndiyo uko sahihi kwa ulivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA
 
Wewe ndivyo ulivyoelewa na siyo kwamba wewe ndiyo uko sahihi kwa ulivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA
Mtu hana rangi,

Mbona umefilisika?

Mtu ni Roho, anayo nafsi na anaishi ndani ya mwili.

Aliyewaumba wote ni Mungu, sasa huo ushamba wa kuangalia ngozi ya mwili na kujjiita mwafrika umeutoa wapi?

Sisi ni wamoja mbele za Mungu mmoja.


Na Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
 
Mungu kuja Katika mwili wa Mwanadamu ni ujasusi tosha,

Isingekuwa rahisi aseme hadharani, Mimi ndiye Mungu baba,

Mungu alikuja duniani Katika mwili wa Mwanadamu kiujasusi kwa kazi ya kukukomboa Mwanadamu ndio maana aliitwa mtoto wa Yusufu hakubishana,

Baada ya kufufuka na kupaa mbinguni akitwaliwa na wingu, ndipo watu wakajua kumbe Yesu hakuwa mwana wa Yusufu asiye na baba wala mama!

Mungu ni mmoja tu,

Mbinguni aitwa Baba.

Duniani aliitwa mwana alipovaa mwili,

Akiwa ndani ya wamwaminio at once aitwa Mungu Roho mtakatifu.

Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.

Sasa alipouvaa mwili na kuja duniani kama mwana je mbinguni kulibaki vacant?.
 
Sasa alipouvaa mwili na kuja duniani kama mwana je mbinguni kulibaki vacant?.
Kwani WEWE unapovua nguo ukienda kuoga huwa inakuwa huna mwili?

Nguo ni vazi la mwili, likewise mwili ni vazi avaalo mtu.

Akilivua mnasema kafa ilhali amebadili tu vazi na kubaki na vazi la Roho.
 
Back
Top Bottom