Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Wewe ni kilaza, na nina uhakika huna hata D mbili,
kutwa kuchwa kuongelea yesu na ngano za mashariki ya kati, sababu huna upeo kuongelea maendeleo ya elimu, wala sayansi, teknolojia na wala biashara, umejikubali
huna tofauti na washabiki wa yanga na simba.....
Na hawa hapa vilaza wenzako, ngara23 , Yesu Anakuja , MK254 , ambao mko level moja vilaza pro max
Kuzimu kuna moto,

Nakuombea uokoke na kuuepuka kabla ya kufa.

Hii ni habari njema, huo ulevi wako hautakusaidia chocolate.
 
Mungu Enzi za Musa amewahi iamuru ardhi ifunuke watu wakamezwa hai sababu ya DHAMBI.

Mungu ni mtakatifu,haendekezi UOVU.
Ndio ni sawa haendekezi uovu lakini sio mkatili kuchoma watu motoni kwa bilioni ya miaka
Mshahara wa dhambi ni mauti si moto
 
(Ufunuo 20:14-15)
Mauti na kuzimu zikatupwa Katika lile ziwa la moto.

Hii ndiyo mauti ya pili, yaani Hilo ziwa la moto.

Na iwapo mtu yeyote hakuonekana ameandikwa Katika KITABU CHA uzima, alitupwa Katika lile ziwa la moto.
 
Taifa tumekula hasara.
Kutomwamini Yesu ni hasara kubwa kwa maisha haya na mi.ilele yajayo.

Usipoteze course ya KUISHI kwako duniani, usipoteze muda na KUISHI kwa hasara.🙏
 
Jinga kweli wewe ,hao Mababu na Mabibi zako waliokutangulia kabla ya huyo yesu wameshachomwa na moto upi hadi leo
au hu moto upo kwaajil ya Waafrika tu wasiomuabufu yesu wenu??

Jikomboe kifikira kwa kuishughulisha akili yako!!
 
Haya hao eanaokufa au kuuana huko Gaza,DRC,Sudan,nk huyo yesu wako ana msaada gani kwao?
 
Mambo mengine ni kupoteza muda tu,

Mwamini Yesu kwanza Kisha mambo mengine yaendelee.

Kuzimu ni halisi, na upo moto, utaenda huko usipomwamini Yesu Pakada
Hakika!
Mungu aliacha utukufu wake naye akaja kwetu katika Mwili nasi tukauona utukufu wake!
 
Haya hao eanaokufa au kuuana huko Gaza,DRC,Sudan,nk huyo yesu wako ana msaada gani kwao?
Amwaminiye Yesu hata akifa bado anaishi kwa kuwa anao uzima wa mile ndani yake.

Hasara ni kutomwamini,

Utakapofufuliwa kwa hukumu siku ya mwisho na ikaonekana hukumwamini Yesu aliye njia pekee, kweli na uzima,

Hiyo ni hasara kubwa sana.

Stuka mapema, believe in Jesus🙏
 
Hakika!
Mungu aliacha utukufu wake naye akaja kwetu katika Mwili nasi tukauona utukufu wake!
Ubarikiwe mwana wa Mungu.

Na Mungu ni mmoja tu,

Aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ndiye huyo huyo aketiye kiti Cha Enzi mbinguni, na ndiye huyo huyo Roho mtakatifu.

Aamen
 
Na umepakataa.
Je hao viumbe wengine samaki,kuku,kenge,nk kwao ni wapi na watarejea lini baada ya kumaliza mission zao?

Acha ujinga badilika na usnze kutumia akili zako za asili na siyo za kulishwa na kukaririshwa
 
Jinga kweli wewe ,hao Mababu na Mabibi zako waliokutangulia kabla ya huyo yesu wameshachomwa na moto upi hadi leo
au hu moto upo kwaajil ya Waafrika tu wasiomuabufu yesu wenu??

Jikomboe kifikira kwa kuishughulisha akili yako!!
Unakosea Yesu Kristo alikukufa alienda kuzimu na alienda kuzichukua na kuzivunja nguvu za giza!
Kwa hiyo watu wote ambao tayari walikuwa wameshakufa walikutana na Yesu huko kuzimu na walio mwamini aliwaokoa pia!
 
Acha maisha ya hasara,na kupoteza muda.

Believe in Jesus 🙏
 
Amwaminiye Yesu hata akifa bado anaishi kwa kuwa anao uzima wa mile ndani yake.

Hasara ni kutomwamini,

Utakapofufuliwa kwa hukumu siku ya mwisho na ikaonekana hukumwamini Yesu aliye njia pekee, kweli na uzima,

Hiyo ni hasara kubwa sana.

Stuka mapema, believe in Jesus🙏
Mpumbavu kama wewe ataendelea kimwamini yesu kuliko WAZAZI wake na kujenga hofu ya yesu kuliko ya WAZAZI wake,umefikiria juu ya wewe kwenda huko mbinguni na kukuta yesu unayemwamini hayupo bali BABU na BIBI zako ndiyo wapo na hukuwaamini?

Acha upumbavu wa kusikilizishwa tumia akili zako??
 
Sasa kutomwamini Yesu mbona ndio upumbavu?

Yaani kuwa mwana wa shetani ni upumbavu mkuu,

Geuka, Rudi utubu ,uache kupoteza muda ewe mpinga Kristo
 
Mmmm hao ni wanadamu tu! Yesu Kristo ni Mungu aliyebeba mwili ndo maana aliitwa Emmanuel kwa maana ya Mungu pamoja nasi!
 
Unakosea Yesu Kristo alikukufa alienda kuzimu na alienda kuzichukua na kuzivunja nguvu za giza!
Kwa hiyo watu wote ambao tayari walikuwa wameshakufa walikutana na Yesu huko kuzimu na walio mwamini aliwaokoa pia!
Baada ya kuwaokoa huko kuzimu aliwapeleka wapi?

Acha huo upumbavu huyo yesu wako kama ana nguvu kweli na nikombozi wako anasubiri nini kuwaokoa ndugu zake au wafuasi wake walio ktk vita huko Palestina,Kongo,Sudan,nk

Acha upumbavu wa kukaririshwatumia akili yako ya ASILI kupambanua mambo,weee vp??
 
Sasa kutomwamini Yesu mbona ndio upumbavu?

Yaani kuwa mwana wa shetani ni upumbavu mkuu,

Geuka, Rudi utubu ,uache kupoteza muda ewe mpinga Kristo
Siku za mwisho yatakuwepo mafundisho na roho zidanganyazo!
Ndo maana kila jambo wana hoji na hawana mda wa kusoma maandika!
Neno linasema MPUMBAVU husema Mungu hayupp!
 
Back
Top Bottom