Kuwa mkristo SI kigezo Cha kuepuka moto,
Kuamini kwanza, Kisha ishi maisha ya utakatifu, ukifua vazi lako,
Ni kutokuwa na tabia za nguruwe kuoshwa muda huu Kisha akiachiwa dakika moja baadae anarudi matopeni.
Wakristo wazinzi, wanywa pombe walevi, wenye kwiba Malli za umma, waizi wa kura na wake za watu, wadhulumati, waongo, wafiraji wajiitao wakristo na kukaa Siri za mbele makamisani, ni wapinga Kristo.
Wajiitao wakristo na hawataki kuacha DHAMBI na UOVU ni mafarisayo, ni wapinga Kristo, ni wapagani walio ndani ya ukrisro, hao ndio sababu ya kutukanwa kwa Yesu.
Njia ya mbinguni ni nyembamba sana.
Kuokoka ni hatua ya kwanza,
KUISHI MAISHA MATAKATIFU ni hatua endelevu maisha yote.