Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Huo muda wenyewe kwanza unachofanya unafanya ili iweje ? Naweza kusema wewe ndio unapoteza MUDA kwa kuwekeza kwenye Imani ambayo huenda unachoamini na unachotaka upate hautapata (Hakipo); Kuliko yule ambaye hana imani kama wewe kwahio anaishi kwa mapenzi yake yeye mwenyewe....

Anafanya mema sio sasabu vitabu na tamaduni za watu fulani zimemwambia afanye bali anafanya sababu it's the right thing to do.....
 
Yeshua ndiyo nani?
Yeshua ni Yesu kwa kiebrania.

Yeshua ni Yesu kwa Swahili na ni Jesus kwa Kiingereza.


Hamashiach ni Kristo.


Yesu Kristo=Yeshua Hamashiach
 
Salaam, Shalom!

Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda,

Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;


1. Tuzichunguze Roho. (1 Yoh 4:1-3).

Verse 1: Wapenzi, msiiamini kila Roho,Bali zijaribuni hizo Roho, kwamba zimetokana na Mungu; Kwa sababu manabii wengi wa uongo wengi wametokea duniani.

2. Wamkirio Yesu, wanatokana na Mungu.(1Yoh 4:2).

Verse 2: Katika hili mwajua Roho wa Mungu; Kila ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja Katika mwili yatokana na Mungu.

3. Wasiomkiri Yesu wanaongozwa na Roho ya mpinga Kristo.(1 John 4:3).

Verse 3. Na Kila Roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.
Na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja;na sasa imekwisha kuwako duniani.

4. Wasiomkiri Yesu ,masikio yao yamezibwa wasiijue kweli.(1 John 4:6).

Verse 6: Sisi twatokana na Mungu, Yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na Roho ya upotevu.

(John 14:6)
Jesus: I'm the only way, thrth and life

Mwisho wa kunukuu,

Sasa unapoteza muda kufunga, huli chakula, hunywi pombe ukiamini unampendeza Mungu ilhali unamkataa Yesu aliye Mungu,njia pekee,kweli na uzima, hii ni hatari.


Hii ni sawa na kumtafuta mfalme usiyemjua jina,


Sasa Mungu ni Mfallme, nawe umefichwa, humjui jina lake ilhali Yesu ambaye ndiye huyo mfalme, unamtukana na kumkana Kila siku, unapoteza muda.

Ikiwa unapenda kuokoa muda, fuatisha sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Kumuamini Mungu kupitia kwa Yesu ni kupoteza muda.
Mungu ni mkuu hahitaji wakala. Zinduka.
 
Kumuamini Mungu kupitia kwa Yesu ni kupoteza muda.
Mungu ni mkuu hahitaji wakala. Zinduka.
Sasa kumwamini Mungu na usijue kuwa Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja ni kupoteza muda na kujilisha upepo ukiamini utajaza tumbo kuondoa njaa.
 
Ngoja niendelee na mambo mengine nisije jiumiza kichwa changu bure.
Mambo mengine ni kupoteza muda tu,

Mwamini Yesu kwanza Kisha mambo mengine yaendelee.

Kuzimu ni halisi, na upo moto, utaenda huko usipomwamini Yesu Pakada
 
(Yohana 5:43)
Jesus says: Mimi nimekuja kwa "JINA LA BABA YANGU" wala ninyi hamnipokei.

Ndipo ujue, YESU ni jina la Mungu.

Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach
Sentensi hiyo Uliyoandika Haijustufy Umungu wa Yesu Hata kidogo..

Ngoja Nikufundishe Linguistic Kidogo Pengine Tatizo ni Lugha..

In Koine Greek Asili ya Agano Jipya Au kutumia Biblia ya Kwanza ya Agano jipya (Septuagint) neno Hilo Linaandikwa kama Ifuatavyo..

"ἐγὼ ἐλήλυθα ἐν τῷ ὀνόματι τοῦ πατρός μου"

Na Inatamkwa Hivi..

Egō elēlytha en tō onomati tou patros mou


Atleast ingekuwa Unachosema Kina Ukweli Kama ingeandika Hivi..

ἐγὼ ἐλήλυθα μετὰ τοῦ ὀνόματος τοῦ πατρός μου

Na ingetamkwa hivi..

Egō elēlytha meta tou onomatos tou patros mou


Sasa Twende Kwenye Elimu..Tujifunze Preposition

ἐν τῷ ὀνόματι (en tō onomati) = "in the name" au "Nimekuja Kwa jina la Baba"..

Yaani Nimekuja Katika Jina La baba.. (Sentensi Hii Hainyeshi Possesion Ila Inaonyesha authoritive "Yaani hilo Jina amekuja Nalo Ili Wamwelewe"

Lets Say Umetumwa Uende Sehemu Ukaambiwa Ukifika Pale waambie Nimetumwa Na Fulani watakuelewa..
ukafika Utasema Nimetumwa na Fulani na Watafanya Jambo hilo ila Katika jina La Aliyekutuma Na Wewe Utakuwa Authotive na Sio possesion..

Na Ndo maana Wakristo hasa walokole wanaomba In The Name of Jesus Haimaanishi Kuwa Tayari wao ni Majesus ila Wanakuwa na Authoritative Ya Jina ila hawana Possesion ya Jina..

Sijui Kama Umenielewa?

Ingeandikwa hivi
μετὰ τοῦ ὀνόματος (meta tou onomatos) = "with the name"
hii Kauli inamaanisha Possesion ability..
yaani Huyo anayesema Hivyo Ni muhusika Moja kwa Moja..
huonagi Hata FBI au CIA au Polisi Wakija Kukuhoji wanakuambia My Name is ** I am With FBI/CIA?
unajua Inamaanisha Nini Yeye Ni FBI/CIA na anaongea With Possesion Power..

So , "in the name" implies representation, whereas "with the name" suggests possession or accompaniment...

Sijui kama Umenielewa..

Narudia Tena Hoja Zako Ni dhaifu sana Za Utetezi wako
 
Mungu aumbe mbingu na nchi ashindweje kuvaa mwili aonekane kama Mwanadamu?

Nimekuuliza baba wa Yesu ni nani hujibu!
Yesu Hakuzaliwa na Baba Kwa Mujibu wa Quran na Biblia..
Na Huo ndo Muujiza wake wa Kwanza..
Ila alizaliwa na mama..
Ila alikuwa na Baba Mlezi ambaye Dunia Kipindi hicho Ilimfahamu Kama Yusufu..

Mungu anayeweza Kuvaa Mwili wa Mwanadamu ambaye anakiri yeye Mwenyewe Ni Dhaifu Ni Mungu ambaye SI wa kweli..

Labda kama tukizungumzia Mythology mbalimbali Nitakubali ndiyo Kuna Mungu kibao waliwahi Kushuka Duniani na Kuchukua Miili ya Kibadamu


Greek Mythology

Zeus
–alivaa Mwili wa Mwanadamu Muda Mwingi sana Na Kuja Kukaa na Wanadamu na Kuoiga Sttory za hapa na Pale

Apollo & Hermes – Walionekana katika umbo la kibinadamu kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusaidia au kuadhibu wanadamu... na Mara Nyingu Ukiangalia Story za Yesu zinaangukia kama Apolo

Dionysus – Mungu wa divai huyu alijitokeza kama mwanadamu mara Kadhaa..

Hindu Mytholog

Vishnu –
Mungu katika mfumo wa avatars (miili ya kibinadamu), Vishnu alikuja kama Krishna, Rama, na Buddha ili kurekebisha usawa wa dunia mara kwa mara..


Mythology ya Kichina

Guanyin –
Mungu wa huruma, mara nyingi alikuja kama mwanamke wa kawaida kuwasaidia watu wenye matatizo.

Huangdi (Yellow Emperor) –
mfalme mwenye asili ya kimungu aliyekuja duniani kuleta ustaarabu.


Mythology ya Kimesopotamia (Sumerian, Akkadian, Babylonian)

Anu, Enki, na Enlil –
Miungu waliokuwa na uwezo wa kuja duniani na hata kupata watoto na wanadamu.

Gilgamesh –
Story yake huyu jamaa Huwa natabasamu maana ni Biblia Tupu huyu alikuwa binadamu, mwenye asili ya kimungu


Mythology ya Norse

Odin –
Alichukua umbo la mzee wa kawaida akija kwa wanadamu kuwajaribu au kuwapa maarifa.

Sasa Mkuu Hao ni Baadhi Ila Kuna Mythology Kibao Kuhusu Ulichokitaja..

Mungu anayechukua Uwezo wa Binadamu na Umbo La Kibinadamu anapatikana kwa Wapagani Peke Yake
 
Yohana 1:1-10
Isaya 9:6-10
Hizo aya zipo kwenye kitabu gani, inawezekenaje unidhitishie kwa Maandiki ya kitabu Cha imani nisiyo iamini.
Mfanye kwanza mtu aamini imani yako, alafu ndipo aamini maandiko ya kitabu chako.
Kitabu ni mwongozo tu wa kufuata ukiwa tayari unaamini huko.
Kuniandikia isaya, mathayo ndiyo nini, yaani nitaamini isaya na mathayo ikiwa siamini imani yote, ambayo isaya na mathayo wako ndani.
Watanielewa wanaoelewa tu.
 
Sentensi hiyo Uliyoandika Haijustufy Umungu wa Yesu Hata kidogo..

Ngoja Nikufundishe Linguistic Kidogo Pengine Tatizo ni Lugha..

In Koine Greek Asili ya Agano Jipya Au kutumia Biblia ya Kwanza ya Agano jipya (Septuagint) neno Hilo Linaandikwa kama Ifuatavyo..

"ἐγὼ ἐλήλυθα ἐν τῷ ὀνόματι τοῦ πατρός μου"

Na Inatamkwa Hivi..

Egō elēlytha en tō onomati tou patros mou


Atleast ingekuwa Unachosema Kina Ukweli Kama ingeandika Hivi..

ἐγὼ ἐλήλυθα μετὰ τοῦ ὀνόματος τοῦ πατρός μου

Na ingetamkwa hivi..

Egō elēlytha meta tou onomatos tou patros mou


Sasa Twende Kwenye Elimu..Tujifunze Preposition

ἐν τῷ ὀνόματι (en tō onomati) = "in the name" au "Nimekuja Kwa jina la Baba"..

Yaani Nimekuja Katika Jina La baba.. (Sentensi Hii Hainyeshi Possesion Ila Inaonyesha authoritive "Yaani hilo Jina amekuja Nalo Ili Wamwelewe"

Lets Say Umetumwa Uende Sehemu Ukaambiwa Ukifika Pale waambie Nimetumwa Na Fulani watakuelewa..
ukafika Utasema Nimetumwa na Fulani na Watafanya Jambo hilo ila Katika jina La Aliyekutuma Na Wewe Utakuwa Authotive na Sio possesion..

Na Ndo maana Wakristo hasa walokole wanaomba In The Name of Jesus Haimaanishi Kuwa Tayari wao ni Majesus ila Wanakuwa na Authoritative Ya Jina ila hawana Possesion ya Jina..

Sijui Kama Umenielewa?

Ingeandikwa hivi
μετὰ τοῦ ὀνόματος (meta tou onomatos) = "with the name"
hii Kauli inamaanisha Possesion ability..
yaani Huyo anayesema Hivyo Ni muhusika Moja kwa Moja..
huonagi Hata FBI au CIA au Polisi Wakija Kukuhoji wanakuambia My Name is ** I am With FBI/CIA?
unajua Inamaanisha Nini Yeye Ni FBI/CIA na anaongea With Possesion Power..

So , "in the name" implies representation, whereas "with the name" suggests possession or accompaniment...

Sijui kama Umenielewa..

Narudia Tena Hoja Zako Ni dhaifu sana Za Utetezi wako
Hoja zako ni dhaifu sana, sababu unajatibu kutumia akili finyu ya darasani kufungua codes za Biblia.

Na hiyo ndio tofauti YANGU na yako ewe mpinga Kristo,

Yesu ni jina la Mungu tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo.
 
Yesu Hakuzaliwa na Baba Kwa Mujibu wa Quran na Biblia..
Na Huo ndo Muujiza wake wa Kwanza..
Ila alizaliwa na mama..
Ila alikuwa na Baba Mlezi ambaye Dunia Kipindi hicho Ilimfahamu Kama Yusufu..

Mungu anayeweza Kuvaa Mwili wa Mwanadamu ambaye anakiri yeye Mwenyewe Ni Dhaifu Ni Mungu ambaye SI wa kweli
Sasa Yesu azaliwe bila baba ,iweje awe na mama?

Yesu Katika Roho, yule halisi, hana baba wala mama,

Ndiye Mungu baba,

Ndiye Mungu Roho mtakatifu,

Ndiye Mungu mwana alipovaa mwili.


Mungu anabaki kuwa mmoja na jina la Mungu huyo mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach
 
Hilo wazo la kusema watu wanachomwa ni wazo la kijinga sana..
 
Hilo wazo la kusema watu wanachomwa ni wazo la kijinga sana..
Kwamba kusema kuzimu kuna moto, na ardhini chini ya maji kuna volcano ulio moto uwakao,

Lipi ni rahisi kwako kueleweka?
 
Hizo aya zipo kwenye kitabu gani, inawezekenaje unidhitishie kwa Maandiki ya kitabu Cha imani nisiyo iamini.
Mfanye kwanza mtu aamini imani yako, alafu ndipo aamini maandiko ya kitabu chako.
Kitabu ni mwongozo tu wa kufuata ukiwa tayari unaamini huko.
Kuniandikia isaya, mathayo ndiyo nini, yaani nitaamini isaya na mathayo ikiwa siamini imani yote, ambayo isaya na mathayo wako ndani.
Watanielewa wanaoelewa tu.
BIBLIA takatifu
 
Hakuna moto unakaowagusa wakristo moto umeandaliwa.kwa ajili ya waislamu tu mudi.tayari katangulia kule
 
Hakuna moto unakaowagusa wakristo moto umeandaliwa.kwa ajili ya waislamu tu mudi.tayari katangulia kule
Kuwa mkristo SI kigezo Cha kuepuka moto,

Kuamini kwanza, Kisha ishi maisha ya utakatifu, ukifua vazi lako,

Ni kutokuwa na tabia za nguruwe kuoshwa muda huu Kisha akiachiwa dakika moja baadae anarudi matopeni.

Wakristo wazinzi, wanywa pombe walevi, wenye kwiba Malli za umma, waizi wa kura na wake za watu, wadhulumati, waongo, wafiraji wajiitao wakristo na kukaa Siri za mbele makamisani, ni wapinga Kristo.

Wajiitao wakristo na hawataki kuacha DHAMBI na UOVU ni mafarisayo, ni wapinga Kristo, ni wapagani walio ndani ya ukrisro, hao ndio sababu ya kutukanwa kwa Yesu.

Njia ya mbinguni ni nyembamba sana.

Kuokoka ni hatua ya kwanza,
KUISHI MAISHA MATAKATIFU ni hatua endelevu maisha yote.
 
Kina nani waliolichakachua?
Watafsiri Mkuu..
Jina Halisi la Yesu lilikuwa Yehoshua (Kwa Kiaramu) Yesu alikuwa Muaramu Wa Kuongea na Muebrani Pia..
So Kiebrania Aliitwa Yeshua au Yoshua..

Walipotafsiri Biblia Kutoka Kiebrania kwenda Kigiriki Tafsiri ya Kigiriki Ya Septuagint (LXX)..

Walibadilisha Jina la Yehoshua/Yoshua Wote Na Kuwa Ἰησοῦς (Iēsous)..

Hata Yoshua Bin Nun naye Jina lake lilkuwa Ἰησοῦς τοῦ Ναυή (Iēsous tou Naue)..Yehoshua ben Nun

Na Baadar Biblia Ilipobadilika Kwenda Kwenye Kilatin yaani Vulgate (Latin Vulgate) jina Liliboreshwa Kutoka kuwa Iēsous na Kuwa Iesus..

Ambayo Kwa Matamshi Inatamkwa Yesus ..


Katika Muingiliano Wa Kingereza Cha Zamani pamoja na Kijerumani Herufi Lugha mpya Ya Kingereza Ilizaliwa Iliyokuwa Haitumii tena Irabu I kama Tamko la Y mwanzo wa Sentensi hivyo I ikawa Replaced NA J hivyo badala ya Iesus Ikaw Jesus..

Sijui kama Umenielewa ndugu yangu...
 
Back
Top Bottom