Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

(John 14:6)
Jesus: I'm the way, and the truth and Life, no one comes to the father except through me.
Fungu lako halijustify Kuwa Yesu ni Mungu hata Krishna aliwahi kusema Hayo Maneno Miala 1000 Kabla ya Kristo Kuzaliwa yakiwa Exactly kama Yenyewe Soma..
Vipi Unamuamini Krishna Kama Mungu

Bhagavad gita:.. (Chapter 9 verses 18)
(Bhagavad Gita 9:18)

"I am the way, the life ,the sustainer,the Lord ,the witness,the abode, the refuge and the most intimate friend. I am the creation and the dissolution, the basis of everything, the resting place and the eternal seed.."

(Mimi ni ni Njia,uzima, Muongozaji,Bwana,Shahidi, Mnyenyekevu, Mwokozi,na Rafiki wa karibu,Mimi ni Uumbaji,na Uharibifu,mimi ni Mwanzo wa kila kitu , Sehemu ya Pumziko na Mbegu (Chachu) ya milele.)
 
Huku nako ni kupoteza muda,

Wangemjua miungu, wasingepoteza muda kuabudu mwezi na jua kama Mungu yao.

Mungu ni mmoja tu,

Jina lake aitwa YESU KRISTO/Yeshua Hamashiach.
Hakuna Sehemu wanaabudu mwezi na Jua..

kufuata mwezi na Jua Ni Dalili ys Kuamini Kuwa Mungu Yupo ..
Na Hiyo ilifuatwa na Watu wote wa Kale Wayahudi, Wachina ,ns Wengine wote
 
Fungu lako halijustify Kuwa Yesu ni Mungu hata Krishna aliwahi kusema Hayo Maneno Miala 1000 Kabla ya Kristo Kuzaliwa yakiwa Exactly kama Yenyewe Soma..
Vipi Unamuamini Krishna Kama Mungu

Bhagavad gita:.. (Chapter 9 verses 18)
(Bhagavad Gita 9:18)

"I am the way, the life ,the sustainer,the Lord ,the witness,the abode, the refuge and the most intimate friend. I am the creation and the dissolution, the basis of everything, the resting place and the eternal seed.."

(Mimi ni ni Njia,uzima, Muongozaji,Bwana,Shahidi, Mnyenyekevu, Mwokozi,na Rafiki wa karibu,Mimi ni Uumbaji,na Uharibifu,mimi ni Mwanzo wa kila kitu , Sehemu ya Pumziko na Mbegu (Chachu) ya milele.)
Krishna ni WA lini na Yesu alikuja lini, nani aliyetangulia?

Krishna alifufuka na kupaa mbinguni?

Mungu ni mmoja tu,na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/ Yeshua Hamashiach.
 
KIla Siku nawaambia Hizo aya Mnazoleta muwe Mnazihakiki kwanza!

Tuanze na Hiyo ya Isaya..Maana nitarudi Nyuma Kabisa Tuangalie Hilo fungu linamaanisha Nini Kwa Lugha asilia Ambayo ilikuwa Ni Kiebrania cha herufi za Kimasora (Masoretic Hebrew Text)..

Isaiah 9:6-10

כִּי־יֶלֶד יֻלַּד־לָנוּ בֵּן נִתַּן־לָנוּ וַתְּהִי הַמִּשְׂרָה עַל־שִׁכְמוֹ וַיִּקְרָא שְׁמוֹ פֶּלֶא יוֹעֵץ אֵל גִּבּוֹר אֲבִי־עַד שַׂר־שָׁלוֹם׃

לְמַרְבֵּה הַמִּשְׂרָה וּלְשָׁלוֹם אֵין־קֵץ עַל־כִּסֵּא דָוִד וְעַל־מַמְלַכְתּוֹ לְהָכִין אֹתָהּ וּלְסַעֲ בְּמִשְׁפָּט וּבִצְדָקָה מֵעַתָּה וְעַד־עוֹלָם קִנְאַת יְהוָה צְבָאוֹת תַּעֲשֶׂה־זֹּאת׃

דָּבָר שָׁלַח אֲדֹנָי בְּיַעֲקֹב וְנָפַל בְּיִשְׂרָאֵל׃

וְיָדְעוּ הָעָם כֻּלּוֹ אֶפְרַיִם וְיוֹשֵׁב שֹׁמְרוֹן בְּגַאֲוָה וּבְגֹדֶל לֵבָב לֵאמֹר׃

לְבֵנִים נָפָלוּ וְגָזִית נִבְנֶה שִׁקְמִים גֻּדָּעוּ וַאֲרָזִים נַחֲלִיף׃

Huwa Inatamkwa Hivi Mdogo wangu

Ki-yeled yullad-lanu, ben nittan-lanu; vattehi hammisrah al-shikhmo, vayyiqra shemo Pele-Yo'etz, El-Gibbor, Avi-'Ad, Sar-Shalom.Lemarbeh hammisrah uleshalom eyn qetz, al-kisse David ve'al-mamlakhto, lehakhin otah ul'sa'adah, bemishpat ubitzdakah me'attah ve'ad-olam; qin'at YHWH Tzeva'ot ta'aseh-zot.Davar shalach Adonai b'Ya'akov, venafal b'Yisra'el.
Veyade'u ha'am kulo, Efrayim veyoshev Shomron, b'ga'avah uv'gedel levav, lemor.Levenim nafalu, v'gazit nivneh; shikmim guda'u, va'arazim nachalif.

Neno la Kwanza Tu lilipaswa kukupa Jibu kamili kwamba Hapo hazungumziwi Yesu!

Kitabu cha Isaya (Yesha‘yahu - יְשַׁעְיָהוּ) kiliandikwa kati ya karne ya 8 KK hadi 7 KK (karibu 740–686 KK).

Ambayo ni Miaka zaidi ya 700 kuzaliwa kwa kwa Yesu..

Neno "Ki-yeled yullad-lanu, ben nittan-lanu"
Kama Unajua Linguistic na Lugha Ilipaswa Wewe kukufanya Ujue Kuwa Hiyo sio Sentensi ya Future ni sentensi timilifu neno "Yullad" linamaanisha Kitendo Tayari kimetokea yaani Hali ya Kutendwa..

Kwahyo "for a Child has Born to us, a son has born to us"

Sasa alikuwa na Maana Gani kusema "vattehi hammisrah al-shikhmo"
Yaani...A Government (Serkali) Will be on his Shoulder (Itakuwa Begani kwake)..

Sasa Naomba Nikupe Historia Kwanza Ili Ujue Halafu nikueleze Kwanini Yeshayahu au Isaya alipewa Ufunuo Huo..

Katika Utawala Uliokuwa Unaisha Kipindi Hicho Utawala wa Ahazi (735-715 KK)..Utawala wa Ahazi (Ahaz) ulikuwa mgumu na wenye changamoto nyingi kwa taifa la Yuda. Ahazi alikuwa mfalme wa Yuda, na alitawala kuanzia 738 KK hadi 715 KK. Alikuwa mfalme wa tano wa familia ya kifalme ya Yuda baada ya baba yake, Mfalme Yothamu.

Ahazi alikuwa mfalme katili sana na asiye na imani. Alikuwa anachukua maamuzi ya kidini yasiyofaa kwa ajili ya taifa la Yuda, na Mengine yalikuwa yanaathiri Israel kwa Ujumla..

Alikuwa anachukua mifumo ya dini ya kipagani na Kuingiza Kwenye Taifa la Yuda na alikuwa akifanya ibada kwa miungu ya Mataifa ya Jirani kama vile miungu ya Ashuri Etc

Alijenga madhabahu za kipagani katika hekalu la Yerusalemu, jambo lililoleta hasira ya Mungu (KAMA unajua Kuhusu historia Hii Utakuwa unafahamu Napoelekea)..

Utawala wake ulikuwa na changamoto vita za mara kwa mara na Marjiran zake vya, hata hivyo Yuda ilikumbwa na mashambulizi ya nchi za Israeli na Aram (Siria ya Kale).

Ahazi alilazimika kukubali ushawishi wa Mfalme Tiglath-Pileser III kutoka Ashuru, ambaye alimpatia msaada wa kijeshi ili shindana na mfalme wa Israeli na mfalme wa Aram, lakini kwa sharti kwamba Yuda ingekubali kulipa kodi kwa Ashuri.(Sijui kama Unanielewa)

Alienda mbali mpaka kuuza vitu vya hekaluni ili kulipa deni Ashuri na alibadilisha madhabahu ya Yerusalemu kwa madhabahu ya kipagani.

Sasa Watu wa Yuda walipata Masikitiko kwa Kuwa Imani yao imepotea Machafuko Yamezidi katika nchi ya Yuda..Ndipo Mungu akawafuta Machozi watu wa Yuda kwa Kuwapelekea Mfalme Mpya..

na Kipindi hicho Isaya Alipeleka Ujumbe kwa Wanachi wote kuwa Mtoto amezaliwa..

kwahyo Ulisikia Fungu lote Linasifia kwakuwa Ufalme wa Ahazi Uliisha Baada ya Mtoto yule (Mtoto Hezekia mwana wa ahazi) kukua na Kuchukua Ufalme Begani kwake, Na Mfalme wa Amani ndiyo baada ya Hapo Kulikuwa na Amani yuda Na Mungu alionekana..

Nachotamani Mngekuwa Mnasoma maandiko Pamoja na Historia Yake Ili Mpate Ukweli zaidi na Ndo maana Maandiko Yanapaswa Kuzungumziwa na Wanatheolojia maana Wengi mnapotosha Ukweli..

Kuhusu fungu lako la Neno Halionyeshi Kuwa Yesu ni Mungu hata Kidogo..
Roho ya mpinga Kristo ndio hii inayokuongoza,

Ajaye kuuhukumu ulimwengu juu ya DHAMBI hujui kuwa ni Yesu? Hata islam wanajua Hilo, I'll wanakatazwa wasimwamini.

Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu.
 
HUwezi mtenganisha huyo Yesu unayemwandika na dini ewe mtumwa wa ngano za wazungu.
Dini ziko chini ya serikali za wanadamu, zinasajiliwa na kufutwa,

Yesu ni Mungu, injili aliyoileta duniani, haiwekewi limit na mamlaka, ndio sababu Yesu na wanafunzi wake waliuawa na mamlaka.
 
Krishna ni WA lini na Yesu alikuja lini, nani aliyetangulia?

Krishna alifufuka na kupaa mbinguni?

Mungu ni mmoja tu,na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/ Yeshua Hamashiach.
Krishna alikuja na Kuzaliwa Around 3,000 to 5,000 BCE. Ila Kulingana na Masimulizi inaweza Kukadiriwa kuwa ni 3228 BCE, Ukisoma ukalinganisha na Vitabu vitakatifu yaani Mahabharata na Bhagavad Gita..

Wakati Yesu alizaliwa around 4 BCE to 6 BCE.ambayo ni sawa na Tofauti yao ya Miaka 3000..

Kwahyo Krishna Amemzidi Yesu Miaka 3000 Milenia 3 kabla
 
Roho ya mpinga Kristo ndio hii inayokuongoza,

Ajaye kuuhukumu ulimwengu juu ya DHAMBI hujui kuwa ni Yesu? Hata islam wanajua Hilo, I'll wanakatazwa wasimwamini.

Yesu ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu.
Sehemu gani Nimempinga Kristo??
katika Aya Hiyo ya Isaya 9 ni sehemu Gani Imesema Hayo uliyoyasema Ni Sehemu Ipi Imesema Atahukumu Ulimwengu?

Jitahidini Kabla Ya Kuingia Kwenye Mijadala muwe na Dlimu ya Kutosha Kutetea Hoja Zenu.. Vinginevyo Tutakuwa tunaArgue kwa kupitia Dogmatic Thinking Perspectives ambayo ni hatari zaidi kwenye Mijadala..

Narudia Tena Ukisema Mungu alikuja katika Mwili Unatofauti gani na Roman Mythology au Samarien Mythology wenye Wenye Mungu kwenyr Umbo la Mwanadamu
 
Dini ziko chini ya serikali za wanadamu, zinasajiliwa na kufutwa,

Yesu ni Mungu, injili aliyoileta duniani, haiwekewi limit na mamlaka, ndio sababu Yesu na wanafunzi wake waliuawa na mamlaka.
Mkuu, usijidanganye. Kupitia dini ndiyo hiyo injili inatangazwa. Huwezi tenganisha.
Hiyo injili ya Yesu iliyoandikwa na watu wasio Yesu inawekewa limits sehemu kibao tu. Je, hujui kwamba Kuna nchi ambazo haziruhusu mambo ya injili kutangazwa? Hiyo ni limit toka kwa mamlaka ya nchi/jamii hizo.
 
Krishna alikuja na Kuzaliwa Around 3,000 to 5,000 BCE. Ila Kulingana na Masimulizi inaweza Kukadiriwa kuwa ni 3228 BCE, Ukisoma ukalinganisha na Vitabu vitakatifu yaani Mahabharata na Bhagavad Gita..

Wakati Yesu alizaliwa around 4 BCE to 6 BCE.ambayo ni sawa na Tofauti yao ya Miaka 3000..

Kwahyo Krishna Amemzidi Yesu Miaka 3000 Milenia 3 kabla
Hiyo ndiyo Roho ya mpinga Kristo inayoongelewa hapo.

Yesu ni Mungu, hana baba wala mama, ndiye Melkizedeki, ufalme wake hauna mwanzo wala mwisho,

Usipomwamini Yesu kuwa ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu,moto unakusubiri.

WEWE huamini kufufuka kwa Yesu, ni mpinga Kristo.
 
KIla Siku nawaambia Hizo aya Mnazoleta muwe Mnazihakiki kwanza!

Tuanze na Hiyo ya Isaya..Maana nitarudi Nyuma Kabisa Tuangalie Hilo fungu linamaanisha Nini Kwa Lugha asilia Ambayo ilikuwa Ni Kiebrania cha herufi za Kimasora (Masoretic Hebrew Text)..

Isaiah 9:6-10

כִּי־יֶלֶד יֻלַּד־לָנוּ בֵּן נִתַּן־לָנוּ וַתְּהִי הַמִּשְׂרָה עַל־שִׁכְמוֹ וַיִּקְרָא שְׁמוֹ פֶּלֶא יוֹעֵץ אֵל גִּבּוֹר אֲבִי־עַד שַׂר־שָׁלוֹם׃

לְמַרְבֵּה הַמִּשְׂרָה וּלְשָׁלוֹם אֵין־קֵץ עַל־כִּסֵּא דָוִד וְעַל־מַמְלַכְתּוֹ לְהָכִין אֹתָהּ וּלְסַעֲ בְּמִשְׁפָּט וּבִצְדָקָה מֵעַתָּה וְעַד־עוֹלָם קִנְאַת יְהוָה צְבָאוֹת תַּעֲשֶׂה־זֹּאת׃

דָּבָר שָׁלַח אֲדֹנָי בְּיַעֲקֹב וְנָפַל בְּיִשְׂרָאֵל׃

וְיָדְעוּ הָעָם כֻּלּוֹ אֶפְרַיִם וְיוֹשֵׁב שֹׁמְרוֹן בְּגַאֲוָה וּבְגֹדֶל לֵבָב לֵאמֹר׃

לְבֵנִים נָפָלוּ וְגָזִית נִבְנֶה שִׁקְמִים גֻּדָּעוּ וַאֲרָזִים נַחֲלִיף׃

Huwa Inatamkwa Hivi Mdogo wangu

Ki-yeled yullad-lanu, ben nittan-lanu; vattehi hammisrah al-shikhmo, vayyiqra shemo Pele-Yo'etz, El-Gibbor, Avi-'Ad, Sar-Shalom.Lemarbeh hammisrah uleshalom eyn qetz, al-kisse David ve'al-mamlakhto, lehakhin otah ul'sa'adah, bemishpat ubitzdakah me'attah ve'ad-olam; qin'at YHWH Tzeva'ot ta'aseh-zot.Davar shalach Adonai b'Ya'akov, venafal b'Yisra'el.
Veyade'u ha'am kulo, Efrayim veyoshev Shomron, b'ga'avah uv'gedel levav, lemor.Levenim nafalu, v'gazit nivneh; shikmim guda'u, va'arazim nachalif.

Neno la Kwanza Tu lilipaswa kukupa Jibu kamili kwamba Hapo hazungumziwi Yesu!

Kitabu cha Isaya (Yesha‘yahu - יְשַׁעְיָהוּ) kiliandikwa kati ya karne ya 8 KK hadi 7 KK (karibu 740–686 KK).

Ambayo ni Miaka zaidi ya 700 kuzaliwa kwa kwa Yesu..

Neno "Ki-yeled yullad-lanu, ben nittan-lanu"
Kama Unajua Linguistic na Lugha Ilipaswa Wewe kukufanya Ujue Kuwa Hiyo sio Sentensi ya Future ni sentensi timilifu neno "Yullad" linamaanisha Kitendo Tayari kimetokea yaani Hali ya Kutendwa..

Kwahyo "for a Child has Born to us, a son has born to us"

Sasa alikuwa na Maana Gani kusema "vattehi hammisrah al-shikhmo"
Yaani...A Government (Serkali) Will be on his Shoulder (Itakuwa Begani kwake)..

Sasa Naomba Nikupe Historia Kwanza Ili Ujue Halafu nikueleze Kwanini Yeshayahu au Isaya alipewa Ufunuo Huo..

Katika Utawala Uliokuwa Unaisha Kipindi Hicho Utawala wa Ahazi (735-715 KK)..Utawala wa Ahazi (Ahaz) ulikuwa mgumu na wenye changamoto nyingi kwa taifa la Yuda. Ahazi alikuwa mfalme wa Yuda, na alitawala kuanzia 738 KK hadi 715 KK. Alikuwa mfalme wa tano wa familia ya kifalme ya Yuda baada ya baba yake, Mfalme Yothamu.

Ahazi alikuwa mfalme katili sana na asiye na imani. Alikuwa anachukua maamuzi ya kidini yasiyofaa kwa ajili ya taifa la Yuda, na Mengine yalikuwa yanaathiri Israel kwa Ujumla..

Alikuwa anachukua mifumo ya dini ya kipagani na Kuingiza Kwenye Taifa la Yuda na alikuwa akifanya ibada kwa miungu ya Mataifa ya Jirani kama vile miungu ya Ashuri Etc

Alijenga madhabahu za kipagani katika hekalu la Yerusalemu, jambo lililoleta hasira ya Mungu (KAMA unajua Kuhusu historia Hii Utakuwa unafahamu Napoelekea)..

Utawala wake ulikuwa na changamoto vita za mara kwa mara na Marjiran zake vya, hata hivyo Yuda ilikumbwa na mashambulizi ya nchi za Israeli na Aram (Siria ya Kale).

Ahazi alilazimika kukubali ushawishi wa Mfalme Tiglath-Pileser III kutoka Ashuru, ambaye alimpatia msaada wa kijeshi ili shindana na mfalme wa Israeli na mfalme wa Aram, lakini kwa sharti kwamba Yuda ingekubali kulipa kodi kwa Ashuri.(Sijui kama Unanielewa)

Alienda mbali mpaka kuuza vitu vya hekaluni ili kulipa deni Ashuri na alibadilisha madhabahu ya Yerusalemu kwa madhabahu ya kipagani.

Sasa Watu wa Yuda walipata Masikitiko kwa Kuwa Imani yao imepotea Machafuko Yamezidi katika nchi ya Yuda..Ndipo Mungu akawafuta Machozi watu wa Yuda kwa Kuwapelekea Mfalme Mpya..

na Kipindi hicho Isaya Alipeleka Ujumbe kwa Wanachi wote kuwa Mtoto amezaliwa..

kwahyo Ulisikia Fungu lote Linasifia kwakuwa Ufalme wa Ahazi Uliisha Baada ya Mtoto yule (Mtoto Hezekia mwana wa ahazi) kukua na Kuchukua Ufalme Begani kwake, Na Mfalme wa Amani ndiyo baada ya Hapo Kulikuwa na Amani yuda Na Mungu alionekana..

Nachotamani Mngekuwa Mnasoma maandiko Pamoja na Historia Yake Ili Mpate Ukweli zaidi na Ndo maana Maandiko Yanapaswa Kuzungumziwa na Wanatheolojia maana Wengi mnapotosha Ukweli..

Kuhusu fungu lako la Neno Halionyeshi Kuwa Yesu ni Mungu hata Kidogo..
Heshima yako mkuu!.

Naomba msaada kidogo kwenye hiyo Isaya 9:6 kuna maneno yanazungumzia sifa za huyo mtoto kuwa ni "Mungu mwenye nguvu", "Baba wa milele".

Naomba uniongezee ufahamu, je hizo sifa zinamhusu pia Mfalme Hezekia?.
 
Sehemu gani Nimempinga Kristo??
katika Aya Hiyo ya Isaya 9 ni sehemu Gani Imesema Hayo uliyoyasema Ni Sehemu Ipi Imesema Atahukumu Ulimwengu?

Jitahidini Kabla Ya Kuingia Kwenye

Mijadala muwe na Dlimu ya Kutosha Kutetea Hoja Zenu.. Vinginevyo Tutakuwa tunaArgue kwa kupitia Dogmatic Thinking Perspectives ambayo ni hatari zaidi kwenye Mijadala..
Isaya alitabiri bikra atachukua mimba na kuzaa moto wa kiume sawasawa na kuzaliwa kwa Yesu kulivyotokea.

Kufungua codes za kinabii alizoandika Isaya ni shart uwe na Roho ya unabii ndani yako amvayo WEWE huna, unayo Roho ya mpinga Kristo.
 
Heshima yako mkuu!.

Naomba msaada kidogo kwenye hiyo Isaya 9:6 kuna maneno yanazungumzia sifa za huyo mtoto kuwa ni "Mungu mwenye nguvu", "Baba wa milele".

Naomba uniongezee ufahamu, je hizo sifa zinamhusu pia Mfalme Hezekia?.
Hawezi kufungua codes za kinabii zaidi ya kukaririshwa kiebrania.
 
Hiyo ndiyo Roho ya mpinga Kristo inayoongelewa hapo.

Yesu ni Mungu, hana baba wala mama, ndiye Melkizedeki, ufalme wake hauna mwanzo wala mwisho,

Usipomwamini Yesu kuwa ndiye huyo huyo Mungu mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu,moto unakusubiri.

WEWE huamini kufufuka kwa Yesu, ni mpinga Kristo.
Umeomba ujibiwe Kuhusu Hoja ya Umri na Kipindi cha Kuja Yesu na Krishna nimekujibu..

Huo Uungu wa Yesu mbona Huuthibitishi kwa Maandiko?
Zaidi ya Maneno yako wewe?

Na Kingine Labda tunazungumzia Yesu tofauti Yesu naemjua Mimi ana Mama Ww Unayemuongelea Hana Mama Ok sawa 😀😀
 
Baba na mama wa Yesu ni nani?
 
Back
Top Bottom