Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Hivi Yesu ni Mungu au mwana wa Mungu?
Yesu ni mwana kwa kuvaa mwili wa Mwanadamu sababu ya kujishusha kufanya kazi ya kuokoa Mwanadamu,

Na Yesu ndiye huyo huyo Mungu Baba aketiye kitini pa Enzi,

Ukifanukiwa kwenda mbinguni, aketiye Katika kiti Cha Enzi mbinguni ni mfano wa mtu, ana alama za misumari viganjani mwake.

Mungu ni mmoja, tu na YESU KRISTO Yeshua Hamashiach ndilo Jina lake. Amen
 
Yohana na Isaya ndio proof ? 😂😂😂😂😂😂 mbona hamtumii akili ? Bible waliandika wazungu ili waje waturubuni watu weusi, nyie jamaa bwana haya mambo ya dini ni kwajili ya divide and rule....na ndio mana wewe umeandika kama mbaguzi...YOU ARE A RACIST
Jua tu kuwa,

Kuamini juu ya uwepo wa Mungu Kisha usimwamini Yesu ni kupoteza muda.

Yesu ndilo Jina persoal la Mungu tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo.
 
Jua tu kuwa,

Kuamini juu ya uwepo wa Mungu Kisha usimwamini Yesu ni kupoteza muda.

Yesu ndilo Jina persoal la Mungu tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo.
Ni Mahali Gani Mungu alipojitambulisha Kama Jina lake Yesu..
Mungu kwenye Biblia amejitambulisha kwa Kujiita majina kadhaa Kama YHW, YEHOVA, esher her Esher, Na mengine Kibao Ila Hakuna Hata Moja Ni Yesu..

Wewe Umelitoa Wapi au Ni aina Nyingine Ya Mpinga Kristo Unapinga Kuwa Yesu hakuja Katika mwili kama Yohana alivotutahadharisha??
 
Fungu lako halijustify Kuwa Yesu ni Mungu hata Krishna aliwahi kusema Hayo Maneno Miala 1000 Kabla ya Kristo Kuzaliwa yakiwa Exactly kama Yenyewe Soma..
Vipi Unamuamini Krishna Kama Mungu

Bhagavad gita:.. (Chapter 9 verses 18)
(Bhagavad Gita 9:18)

"I am the way, the life ,the sustainer,the Lord ,the witness,the abode, the refuge and the most intimate friend. I am the creation and the dissolution, the basis of everything, the resting place and the eternal seed.."

(Mimi ni ni Njia,uzima, Muongozaji,Bwana,Shahidi, Mnyenyekevu, Mwokozi,na Rafiki wa karibu,Mimi ni Uumbaji,na Uharibifu,mimi ni Mwanzo wa kila kitu , Sehemu ya Pumziko na Mbegu (Chachu) ya milele.)​
SAHIHI

Haya mambo yanahitaji 'Ufahamu Kristu' na siyo udogma.

Dogma zimetengenezwa na nasibu ya yote mawili: ushetani ama/na umalaika wa KUBU za Matriksi.

Siku za mbele, maarifa ya roho za mizuka--"egregor(s)(Kng)" ni nini yatatengemaa; bado kidogo -- mdogo mdogo tunasogea kwenye Kweli yenye kuweka wanajamii Huru Kweli Kweli...

Dini ni utundu unaojifunga na igrega za aina nyingi... IGREGA ZIPO.

Watu wanaokufa, kurudi na kusema wamemuona mungu, wamezungumza na mungu ama wamekutana na Yesu, kuna namna na huenda HAWADANGANYI...

Mtu anayesali mpaka anasema humuona "Yesu" naye, kuna namna ni kweli kwamba huenda HADANGANYI.

Wanaofahamu Ukweli wa Mambo haya huyazungumza miongoni mwa miduara yao ya 'Maarifa na Maarifu'...

Masanamu yote yanawekwa kwenye Nyumba za Ibada hayapo mule bure; yana ufundi na utundu wake wakusimikwa--kusimikwa kwa ajili ya 'usumaku' wa kimaumbo-mafikara.

Mambo ya kutia 'wakfu sanamu' ama 'kutabaruku Madhabahu' ni utundu wenye sayansi yake, kimaarifa na maarifu, ya Kimazingara.

Mambo yote yanayoendelea kwenye madhabahu yeyote kiukweli wa mambo na utundu ni Uchawi; haijalishi inaweza kusemwa ni uchawi mweupe ama mweusi--uchawi ni uchawi isipokuwa 'Dhamira' nyuma ya 'Uchawi' wenyewe ndiyo shauri linalokadirisha ushetani ama umalaika wa jambo lenyewe. Uchawi unaolenga maumbo-fikara ndiyo shauri la 'Mizungu'.

Kule Mashariki ya Mbali, Tibeti, Utaasisi wa Ulama umekuwa na mengi ya uchawi mweupe/mweusi katika kutengeneza 'mizungu' katika mnyororo wake wa utendaji hadi kufika Lama wa 13 aliyekuwa ni wa Mwisho.

Kule, Lau, sayansi ya haya yote ilikuwa ni ILIMU kwa watawa na waumini wa Ubuddha wa Kitibeti; kwamba msingi wa Ibada za Pamoja ni kutengeneza 'Tulpa'--kwa ajili ya kulinda na Kukinga 'Dhama' ya Ujamii wa Kitibeti.

Mafundi wa 'kutabaruku madhabahu' kwa jamii ya Watibeti waliweza hata kuzungumza utabiri wa Kwamba Utaasisi wa Ulama utaishia na Lama wa 13--miaka mingi hata kabla ya jambo lenyewe kutokea kwa sura ya Uvamizi wa Uchina kwenye nchi la Ulama wa Ubuddha wa Kitibeti.

Wao Malama wa Ubudha wa Kitibeti walijiandaa kabisa na hili, kwa kuwa inafahamika kwao vitu vilivyotiwa wakfu kama sanamu ama nini huwa haviharibiki kwa kupondwa pondwa ama vipi--bado wanavihitaji kwenye ibada na utamaduni wao; basi waliweka vitu bosheni vya kuharibiwa--vyenyewe vya ukweli walishakimbiza kuvificha huku na kule kulikobaki ni 'siri' hadi hii leo kwa mujibu wa Lobsang Rampa...

Haya maarifa yanafahamika hata kwa Utaasisi wa Dini--Utaasisi Hata Utawala wa Kirumi ambapo mengi yalikuwa yanafahamika kwa 'Watundu wa Uvamizi wa Kijeshi'; zamani ilikuwa inafahamika wazi sehemu za awali kuvamia ili kutawala nchi yeyote yenye utamaduni madhubuti--utamaduni wa aina yake ni kubomoa mahala pake pa ibada/matambiko kwanza... Kufuta 'kumbukumbu yeyote ya Utaasisi' wa kijamii.

Ukibomoa sehemu za matambiko na ibada unadhoofisha 'nguvu za umoja wa metafizikia ya utamaduni wa jamii'. Vivyo hivyo; na ukitaka kuvamia kimya kimya tamaduni basi lenga kuchomokea kiufundi vitu katika ibada zao ili kuwabadilisha kupitia nguvu za kimetafizikia za mashauri juu ya jamii--igregori/Maumbo-fikara.

Kwa mintarafu ya hivi, Jamii zote huwa na 'maumbo-fikara' ya nguvu kutegemeana na alama uonifu za jadi za maisha yao kwa kudhamiria ama hata kutodhamiria moja kwa moja.

Hata mambo ambayo wanajamii wa hapa Tanzania kwa mfano, wanayoyafahamu kama utundu wa kutengeneza majini ama hata mazindiko kwa roho za ulinzi ni ufundi wa kuhuisha maumbo-fikara kimazingara.

Jamii mbali mbali duniani wana utundu wa haya kwa namna moja hata ingine, mambo ya mazingira na mazingara yajayo ni mila-desturi-jadi ya 'imani za Wahenga', Mizimu ama Maruhani/Mapepo--roho wasafi/wachafu. Daima tunaishi na haya yote iwe tunajua wazi wazi ama sivyo.

Kiufundi, tabia-mafikara-mazoea hutengeneza 'maumbo-fikara' ya kiujamii iwe kwa mtu na mtu ama kikundi cha watu. Hata mtu mume na mtu mke, hutengeneza kitu kama hichi--namna fulani ya 'Mapepo' yanayoandama maisha ya wanakaya; asili khasa ya ile mithali 'Zimwi likujualo halikuli likakwisha'...

Kiufundi, tabia-mafikara-mazoea hutengeneza 'maumbo-fikara' ya kiujamii ambayo ndiyo msingi wa hata kile ambacho hudhaniwa/kuthibitishwa ni 'Roho za Wahenga'; ambavyo wakati mwingine huwa ni malango ya fahamu na mafahamu katika fizikia na metafizikia ya mambo...

Kwa mintarafu ya hivi, mazoea huwa yana tabu yake; kwa kuwa nyuma ya mazoea yote ni metafizikia ya maumbo-fikara kama 'Kumbukumbu Uzoefu' wa 'Maisha na Kujichagulia' katika mafungamano ya kijamii. Basi ndiyo yawa, haijalishi wanajamii wanajua ama hawajui daima ushirika wa namna yoyote kwa matendo/kawaida/mazoea, huu huwa una 'Mapepo yake na umawimbi Fikara' katika 'Maji ya Uzima Wote'...

Kiufundi, tabia-mafikara-mazoea hutengeneza 'maumbo-fikara' ya kiujamii ambayo wanajamii huanza kuhisi wana 'roho moja' ya kuwajibika kiutendaji kulingana na 'mila na desturi' fulani; na kumbe, 'Jadi ya Haya yote' ni 'mashauri yanayoishi kama kimvuli cha Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu Jumuifu.

Kiuono na Ufikirifu Mifumo, jamii yeyote iwe Duniani ama hata ya Nje ya Sayari ya Dunia ni muktadha akilifu wa 'Shauri' na 'Nguvu' ilivyo ni fizikia na metafizikia ya 'Maumbo-Fikara'. Kwa mintarafu ya hivi, (1) Fanusi Jamii, (2) Nadharia Migongano, na (3) Muingiliano wa Alama Oanifu ni jambo linalohusisha (i) Mazingira na (ii) Mazingara ya Ujamii. Yote haya yana Utundu wake wa kuyafanikisha; hususani inapokuja kwenye nasibu ya 'Sura na Hadhi ya Ujamii' yenye uhitaji wa Ususi na Ujenzi.

Katika Ulimwengu wa Kileo, na kwa namna fulani pia ni muda mrefu, hata jamii kwa sura na hadhi ya 'Taifa-Dola' ni Ujamii unaohusisha Ususi na Ujenzi wa elementi za Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu.

Kwa mintarafu ya hivi, hata taifa la Tanzania kwa mfano, ni Ujamii unaohitaji mazingatio Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu.

Basi ndiyo yawa, mambo ya 'U-Pepo' na 'Umawimbi Maji ya Kujisikia' husubirisha (A)'Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu' ili kukadirisha (B) 'Uweza-Utayari-Umahiri' wa jamii; kwa kusudi la (C) 'Kunata na biti' ya Shauri Ufunguo kwa 'Maisha na Kujichagulia'; ambavyo kwa Tanzania kama Jamhuri ya Watu, huja na heraldri ya alama Kadhaa kwa ajili ya 'Utu na Uzalendo' wa Taifa-Dola/Nchi-Dola [Daal]:

(1) Mlima Kilimanjaro, (2) Kauli Mbiu: Uhuru na Umoja, (3) Mazao Karafuu na Pamba, (4) Pembe za Ndovu, (5) Bibi na Bwana (Adamu na Hawa), (6) Ngao ya Ustawi : Mazazi ya Ulezi na Kinga dhidi ya 'Roho ya Uharibifu', (7) Ngao ya Ustawi : Moto : Mwenge wa Uhuru, (8) Ngao ya Ustawi: Upepo : Bendera ya Taifa : Uzalendo, (9) Ngao ya Ustawi : Ardhi : Horizoni ya Matukio na Kujichagulia, (10) Zana ya Kujichagulia: Shoka : Nishati ya Ujenzi wa Kaya, (11) Zana ya Kujichagulia : Nyengo : Uchumi ilivyo ni Mavuno katika Nyakati, (12) Zana ya Kujichagulia : Mkuki wa Jaala : Utemi katika 'Nyika ya Nchi' na 'Nyakati', (13) Ngao ya Ustawi : Maji : Muungano/Jinesesia ya Dhama ya Utaifa kupitiliza 'Maumbo na Sura'.

Kiuno na Ufikirfu mifumo, Ualama 13 kiheraldri, kwa taifa la Tanzania, ni Usanii ule ule kama kwenye taifa la Marekani -- Ususi na Ujenzi wa Taifa lenye 'Watu wenye Udhamirifu wa Mwangaza Bora' kwa maisha na kujichagulia kwa fanusi ya Shauri la 'Mungu Mfadhili' katika 'U-UMOJA'.

Kwa mintarafu ya hivi 'UHURU NA UMOJA' ni kauli mbiu yenye mbegu ya U-JUA-ji kwa fizikia na metafizikia ya Ujamii wa Tanzania ambavyo HEKIMA-UMOJA-AMANI ni 'Shauri la Utu na Nguvu'--unguvu wenye kuzingatia Usentienti-Kosanyansi-Nuru ya Ufahamu katika kila raia mwema wa Tanzania juu ya Shauri Takatifu la Uzalendo.

Ngao ya Ustawi ya Tanzania ni alama ya Jadi kwa 'Maumbo-Fikara' ya Ujamii: Mazazi ya Ulezi na Kinga dhidi ya 'Roho ya Uharibifu' -- Pendo-Faraja; inayokamilishana na alama ya Mkuki wa Jaala : Utemi katika 'Nyika ya Nchi' na 'Nyakati'; ili basi khasa kujenga shauri la uthabiti wa Utemi wa Kitaifa kwa mambo ya Kimazingira na Mazingara.

Ndivyo basi Mkuki wa Jaala, kilugha-alama-picha unapitiliza Shauri la namna yake -- namna yenye kumaanisha 'Nguzo Imani-Uhuru' yenye kutobozea hata kwenye (1) Bendera ya Uzalendo na pia (2) Maji ya Muungano, na tena huku ikifungamana kitovu kimoja cha 'Ontolojia ya Taasisi' katika (3) Ardhi ya Dhahiri ya Mazingira ya Maisha na Kujichagulia--upahala pa ujenzi wa kaya vile vile 'kuvuna na kupanda' kimatendo na kujichagulia.

Haya yatukumbushe moja la msingi--Dini zote ni 'Usanii'; zina mafumbo yake ya imani yanayojirudia kote kote kwenye (1) dini zote iwe za asili, (2) dini za mafunuo na (3) dini za kutengenezwa...

Bado kidogo, kuna ambayo yanasubiri... Kuja kuleta taamuli ya ukweli wa mambo wa 'wadau' wanaohusika na 'Roho za Uharibifu' na 'Roho za Majenzi' katika mapana ya Nyakati.

Dunia Hadaa, Ulimwengu Shujaa!

Hmmm
===

View: https://www.youtube.com/watch?v=5cCjXtKaUp4
​
 
Hiyo aya Uliyotaja Hakuna Mahali imesema Kumkiri Yesu Kama Mungu..
Ila Imesema kuwa Kumkiri Yesu kama Alikuja physically yaani Mwili na Sio Roho na Pia Ni Masihi yaani Kristo..

Sasa kama Ulikuwa unawasema Waislamu Moja ya Nguzo yao ya Imani Ni kukiri Yesu ni Masihi na Mtume kwahyo Kwenye Fungu hilo hawahusiki..

Karibu Tudooee Iddi Ndugu yangu
Jamaa ni mzuri sana kwenye siasa akisha kuja huku sijui anakuaje🤣
 
Salaam, Shalom!

Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda,

Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;

1. Tuzichunguze Roho. (1 Yoh 4:1-3).

Verse 1: Wapenzi, msiiamini kila Roho,Bali zijaribuni hizo Roho, kwamba zimetokana na Mungu; Kwa sababu manabii wengi wa uongo wengi wametokea duniani.

2. Wamkirio Yesu, wanatokana na Mungu.(1Yoh 4:2).

Verse 2: Katika hili mwajua Roho wa Mungu; Kila ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja Katika mwili yatokana na Mungu.

3. Wasiomkiri Yesu wanaongozwa na Roho ya mpinga Kristo.(1 John 4:3).

Verse 3. Na Kila Roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.
Na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja;na sasa imekwisha kuwako duniani.

4. Wasiomkiri Yesu ,masikio yao yamezibwa wasiijue kweli.(1 John 4:6).

Verse 6: Sisi twatokana na Mungu, Yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na Roho ya upotevu.

(John 14:6)
Jesus: I'm the only way, thrth and life

Mwisho wa kunukuu,

Sasa unapoteza muda kufunga, huli chakula, hunywi pombe ukiamini unampendeza Mungu ilhali unamkataa Yesu aliye Mungu,njia pekee,kweli na uzima, hii ni hatari.

Hii ni sawa na kumtafuta mfalme usiyemjua jina,

Sasa Mungu ni Mfallme, nawe umefichwa, humjui jina lake ilhali Yesu ambaye ndiye huyo mfalme, unamtukana na kumkana Kila siku, unapoteza muda.

Ikiwa unapenda kuokoa muda, fuatisha sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Amen mtumishi.
 
Jamaa ni mzuri sana kwenye siasa akisha kuja huku sijui anakuaje🤣
Hahaha Huku Pagumu Hapaitaji Ujanja Ujanja Uts Either Hujui au ukwepe Kujibu..

Ndo maana Niliamua Niachane na mambo ya Dini..Dini Wengi wanaijibia Kisiasa sana Yanayosemwa Mengi hayapo kwenye Vitabu vyao..

Yaani Unaambiwa JAMBO na Mchungaji badala ya Kulichunguza Wanakuambia Hutakiwi Kulichunguza 🤣🤣
Ila utalichunguza Ukipata Uweza wa Roho sasa Uliza Nani aliwahi kushukiwa na Huyo roho Akachunguza 🤣🤣

Ndi kina Rabbon hawa
 
Ujanja ujanja tu ili kukwepesha matumizi ya akili 🤣
 
Yesu ni mwana kwa kuvaa mwili wa Mwanadamu sababu ya kujishusha kufanya kazi ya kuokoa Mwanadamu,

Na Yesu ndiye huyo huyo Mungu Baba aketiye kitini pa Enzi,

Ukifanukiwa kwenda mbinguni, aketiye Katika kiti Cha Enzi mbinguni ni mfano wa mtu, ana alama za misumari viganjani mwake.

Mungu ni mmoja, tu na YESU KRISTO Yeshua Hamashiach ndilo Jina lake. Amen

Sasa kama Yesu ndiye huyohuyo Mungu Baba mbona alisema "Baba yangu yu mkuu kuliko mimi". Hapo inakuwaje hapo?
 
Sasa kama Yesu ndiye huyohuyo Mungu Baba mbona alisema "Baba yangu yu mkuu kuliko mimi". Hapo inakuwaje hapo?
Mungu kuja Katika mwili wa Mwanadamu ni ujasusi tosha,

Isingekuwa rahisi aseme hadharani, Mimi ndiye Mungu baba,

Mungu alikuja duniani Katika mwili wa Mwanadamu kiujasusi kwa kazi ya kukukomboa Mwanadamu ndio maana aliitwa mtoto wa Yusufu hakubishana,

Baada ya kufufuka na kupaa mbinguni akitwaliwa na wingu, ndipo watu wakajua kumbe Yesu hakuwa mwana wa Yusufu asiye na baba wala mama!

Mungu ni mmoja tu,

Mbinguni aitwa Baba.

Duniani aliitwa mwana alipovaa mwili,

Akiwa ndani ya wamwaminio at once aitwa Mungu Roho mtakatifu.

Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
 
Ni Mahali Gani Mungu alipojitambulisha Kama Jina lake Yesu..
Mungu kwenye Biblia amejitambulisha kwa Kujiita majina kadhaa Kama YHW, YEHOVA, esher her Esher, Na mengine Kibao Ila Hakuna Hata Moja Ni Yesu..

Wewe Umelitoa Wapi au Ni aina Nyingine Ya Mpinga Kristo Unapinga Kuwa Yesu hakuja Katika mwili kama Yohana alivotutahadharisha??
(Yohana 5:43)
Jesus says: Mimi nimekuja kwa "JINA LA BABA YANGU" wala ninyi hamnipokei.

Ndipo ujue, YESU ni jina la Mungu.

Note: Mungu ni mmoja tu, na jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach
 
Sasa kuanza safari bila kuijua njia ni kupoteza muda.

Wanadamu wote na wajue kuwa, Mungu ni mmoja tu,

Na jina la Mungu huyo mmoja aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu ni Yesu Kristo Yeshua /Hamashiach.

Kutokumwamini Yesu ni kupoteza muda na moto unawasubiri wote walioikataa njia ya kweli iletayo uzima.
Hakika Yesu ni Uzima
 
Salaam, Shalom!

Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda,

Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;

1. Tuzichunguze Roho. (1 Yoh 4:1-3).

Verse 1: Wapenzi, msiiamini kila Roho,Bali zijaribuni hizo Roho, kwamba zimetokana na Mungu; Kwa sababu manabii wengi wa uongo wengi wametokea duniani.

2. Wamkirio Yesu, wanatokana na Mungu.(1Yoh 4:2).

Verse 2: Katika hili mwajua Roho wa Mungu; Kila ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja Katika mwili yatokana na Mungu.

3. Wasiomkiri Yesu wanaongozwa na Roho ya mpinga Kristo.(1 John 4:3).

Verse 3. Na Kila Roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.
Na hii ndiyo Roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja;na sasa imekwisha kuwako duniani.

4. Wasiomkiri Yesu ,masikio yao yamezibwa wasiijue kweli.(1 John 4:6).

Verse 6: Sisi twatokana na Mungu, Yeye amjuaye Mungu atusikia; Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na Roho ya upotevu.

(John 14:6)
Jesus: I'm the only way, thrth and life

Mwisho wa kunukuu,

Sasa unapoteza muda kufunga, huli chakula, hunywi pombe ukiamini unampendeza Mungu ilhali unamkataa Yesu aliye Mungu,njia pekee,kweli na uzima, hii ni hatari.

Hii ni sawa na kumtafuta mfalme usiyemjua jina,

Sasa Mungu ni Mfallme, nawe umefichwa, humjui jina lake ilhali Yesu ambaye ndiye huyo mfalme, unamtukana na kumkana Kila siku, unapoteza muda.

Ikiwa unapenda kuokoa muda, fuatisha sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE,NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Yeshua ndiyo nani?
 
Back
Top Bottom