Siwezi kuwacha na ujinga na upumbavu mliolishwa na kukaririshwa wakati ni wazi mnaaminishwa uongo na ujinga,yesu anawezaje kuwa MUNGU kitu ambacho hata kichaa atatambua kuwa ni vitu viwili tofauti?
Kama yesu ni mungu kulikuwa na haja gani ya kumuita huyo MUNGU tena yesu??
Yohana 1:1-14
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
[2]Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
The same was in the beginning with God.
[3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
[4]Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
In him was life; and the life was the light of men.
[5]Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
And the light shineth in darkness; and the darkness comprehended it not.
[6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
There was a man sent from God, whose name was John.
[7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
The same came for a witness, to bear witness of the Light, that all men through him might believe.
[8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
He was not that Light, but was sent to bear witness of that Light.
[9]Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
That was the true Light, which lighteth every man that cometh into the world.
[10]Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua.
He was in the world, and the world was made by him, and the world knew him not.
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
He came unto his own, and his own received him not.
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
But as many as received him, to them gave he power to become the sons of God, even to them that believe on his name:
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Which were born, not of blood, nor of the will of the flesh, nor of the will of man, but of God.
[14]Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
And the Word was made flesh, and dwelt among us, (and we beheld his glory, the glory as of the only begotten of the Father,) full of grace and truth.