- Thread starter
- #181
Yesu akamjibu shetani: Imeandikwa, Usimjaribu BWANA Mungu wako.Sasa basi Imani ya Utatu imetupiga kamba kwa sababu inasema The Father and the Son are two Separate entities
Mafunzo ya Utatu yanasema kuwa BABA siyo Mwana na Wala Siyo Roho Mtakatifu, ni three separate persons.
Mwana ana mapungufu mengi ikiwemo hajui muda wala saa ya siku ya hukumu, anasali kwa BABA, Katumwa na BABA, anaomba msaada kwa BABA.
Kwa sifa hizi Mwana hastahili kuwa Mungu maana ni mwenye madhaifu mengi!. Mungu yu mkamilifu hana pungufu hata moja!
Imagine mwana anapewa mtihani hadi na shetani, sasa Mungu gani anajaribiwa na shetani?.
Saaa shetani anajua uungu wa Yesu na kusema Ikiwa u mwana wa Mungu, na SI mwana wa Yusufu,
WEWE ushindweje kujua kuwa Yesu ilikuwa lazima ajishushe sababu Yu mfano wa wanadamu?
Uamuzi ni wako sasa, usipoteze muda 🙏