HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Pia elewa swali langu kama yesu ni Mungu kwanini aitwe tena yesu asibakie kuitwa Mungu na kwanini mama yake yesu huyo bikra mariam amzae yesu ambaye ni Mungu ikiwa mariam ni mtoto wa Mungu?Neno Mungu ni neno lenye maana nyinyi kutokana na imani ya watu!
Hata Wahindi,Wachina na jamii za kiafrica zina Mungu!
Yesu Kristo alijitambulisha kama Neno ndo maana kitabu cha Mwanzo kinaelezea!
Hapo Mwanzo alikuwako Neno naye Neno alikuwako kwa Mungu na bila Yeyo halikifanyoka jambo lolote!
Biblia na Quran zina mkiri Yesu kuwa ndiye Neno kwa maana bila yeye hakuna kitu kilichofanyika!
Yesu=Neno=Mungu.
Unafikiri kweli wewe??