- Thread starter
- #41
Mnaoumia ni nyinyi mnaomsema mimi niumie ili iweje? kwa mtu ambaye alishakufaHata kama haiwasaidii wewe unaumia kitu gani ? Kama unalipenda lile jambazi liuwaji kanywe dawa ya panya ukalisifu kuzimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaoumia ni nyinyi mnaomsema mimi niumie ili iweje? kwa mtu ambaye alishakufaHata kama haiwasaidii wewe unaumia kitu gani ? Kama unalipenda lile jambazi liuwaji kanywe dawa ya panya ukalisifu kuzimu
Safari ni ndefu ~ SumaleeMimi la muhimu kiongozi asiwe muuwaji na jambazi
Kwahiyo hivyo vinyongo vyao ndio vitawasaidia kuchukua nchi?Waache wateme nyongo mana walibanwa sana,hawakua na pakusemea.
Jiwe hashambuliwi kwani ameshakufa bali yeye na watu wake(wasiojulikana) ndiyo walikuwa wakishambulia watu wakati wa utawala wake.Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Kwahiyo hivyo ndio inawasaidia Upinzani kuchukua nchi?Jiwe hashambuliwi kwani ameshakufa bali yeye na watu wake(wasiojulikana) ndiyo walikuwa wakishambulia watu wakati wa utawala wake.
Watu hawawezi kuacha kutema nyongo kwa madhila aliyowasababishia, wanufaika wa udhalimu wake pamoja na waliokuwa chawa wake in one way or another ndiyo wamechochea moto zaidi kwani walikuja na cheap threats za kwamba mwanasiasa yoyote atakayemsema vibaya ndiyo itakuwa downfall yake hivyo wasithubutu sasa watu wanamsema na hakuna kinachowatokea as a result mnaanza kulialia kufungua threads za kulalamika.
Jiwe anavuna alichopanda na ni vizuri watu wakazidi kumnanga japo kesajifia huko ili kila kiongozi awe aware kwamba atakuwa anakumbukwa kwa matendo yake, si kwamba hakuwa na mazuri la hasha bali ukatili wake ulikithiri. Haijawahi kutoke TZ kuwa na rais katili wa kiwango kile tokea nchi ipate uhuru.
Ni kweliSafari ni ndefu ~ Sumalee
Na kwa nini mnakuja kumsifia humu jf na amekufa?Mnaoumia ni nyinyi mnaomsema mimi niumie ili iweje? kwa mtu ambaye alishakufa
Sema shida yako kuu unadhani kila mtu humu ni mshabiki wa vyama au mtu wengine tupo hapa kwaajili hoja sio kufanya uchawaNa kwa nini mnakuja kumsifia humu jf na amekufa?
Na kwa nini mnakuja kumsifia humu jf na amekufa?Sema shida yako kuu unadhani kila mtu humu ni mshabiki wa vyama au mtu wengine tupo hapa kwaajili hoja sio kufanya uchawa
Nioneshe uzi niliyoandika unamsifia Magufuli?Na kwa nini mnakuja kumsifia humu jf na amekufa?
Halafu yanasahau huyo mama alikua mgombea mwenza wa JPM tena kwa vipindi viwili.Na ukiwashangaa utaitwa sukuma gang. Hadi wa leo sielewi kwann wafuasi wengi wa chadema wanaona Mama ni mwenzao ila adui yao ni JPM pekee na sio CCM.
Hizo Coco Beach sandarus mbona bado zipo mpaka awamu hii pendwa?Stupid of you! Magufuli alikuwa MUUAJI, lazima ashambuliwe kama Hitler anavyoshambuliwa! Where is Azory, Bensaanane, MKIRU thousands of people are no where to be seen, Cococ beach sandarus of dead bodies, acha ujinga shetani mkubwa kama Jiwe wewe
Usiwe mjinga wewe! Kwani wakoloni kwa nini wanashambuliwa Afrika hii hadi leo wakati tuna zaidi ya miaka 60 ya uhuru?Habari wakuu,
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.
Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?
Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Halafu yanasahau huyo mama alikua mgombea mwenza wa JPM tena kwa vipindi viwili.