Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

Hivi ukiwa na vits yako ukatambua inavyokusaidia kwenye majukumu yako halafu kuna kajinga kenye mdomomdomo kama mleta mada kanaongea upuunzi je wewe mwenye vitz kuna kitu chochote kinapungua?,nyie mbona mnavaa suruali wakati suruali ni vazi la.mwanaume
 
Kudharau jinsi ya kike ni ujinga uliopea viwango maalim.Kama sayansi inasema zaidi ya 80 asilimia ya uumbwaji wa mtu hutoka/huegemea kwa mama,mimi ni nani nilete "zereu"?
Sio kweli, ingekuwa kweli muanzishaji wa mada hasingejidharau. Lakini, kwa kuwa ni demu ndio maana kajidharau kuwa wao hawastahili kuendesha magari yenye dhamani, ila wanastahili kuendesha IST kama wanavoendesha.
Ana akili mgando kweli Principal Girl
 
😅 Tena mgando baby care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…