Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

Habari JF,

Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.

Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha Nchi haina pesa kabisa hivyo zinapelekwa kwenye miradi, ukiwauliza mbona mpaka anaondoka miradi ilikuwa inaendelea vizuri? Wanakosa majibu.

Baadhi wanasema zinakwenda kwenye mirafi mipya, ukiwauliza ni miradi ipi hiyo mikubwa ya trilions of money wanakosa Jibu.

Nikajiuliza je zinakwenda kulipa mishahara ,posho na mafuta magari ya serikali nimeona bado tumekusanya pesa Nyingi.

Swali kwa wale wanaojua pesa hizi zinakwenda wapi atoe jibu tafadhari ,ili nikatwe kodi/tozo nikiwa na Amani.
Ungeona gari analotumia waziri wa fedha, Wala usingeuliza mkuu.
Kama sio toleo la twentitu Basi ni December twenti1.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Habari JF,

Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.

Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha Nchi haina pesa kabisa hivyo zinapelekwa kwenye miradi, ukiwauliza mbona mpaka anaondoka miradi ilikuwa inaendelea vizuri? Wanakosa majibu.

Baadhi wanasema zinakwenda kwenye mirafi mipya, ukiwauliza ni miradi ipi hiyo mikubwa ya trilions of money wanakosa Jibu.

Nikajiuliza je zinakwenda kulipa mishahara ,posho na mafuta magari ya serikali nimeona bado tumekusanya pesa Nyingi.

Swali kwa wale wanaojua pesa hizi zinakwenda wapi atoe jibu tafadhari ,ili nikatwe kodi/tozo nikiwa na Amani.
POSHO na MAFAO ya Wabunge wenu
 
Kwenye michakato ya vazi na mdundo vya taifa. Lakini sio katiba maana si takwa na wananchi ni la wanasiasa.
 
Hela zooote hizo zikikusanywa Hazitoshi hata budget yetu kujitegemea wenyewe, tuna tegemea wafadhili watuongezee

Nchi ina watu zaidi ya milioni 60, milioni 2 tu ndo walipakodi, hizo hela unazoona ni nyingi Hazitoshi hata kidogo.

Tra wanakusanya Around Trilioni 1, kwa mwaka ni kama Trilioni 18, Hapo Kuna Trilioni 6 mishahara na Trilioni 7 deni la Taifa, hapo Tayari umekaribia kumaliza hela yote

Bado Kuna Miradi ya Matrilioni ya Hela karibia 20 na matumizi mengine yasiyo Mishahara ya Serikali Takriban Trilioni 4.

Kasome budget yako mambo yote yameelezewa

Sasa hivi Walipa kodi ni zaidi ya hao kutokana na KODI kukatwa au KULIPWA kupitia Simu
 
Nimeeka link ya nilichoongea kasome utoe Ujinga.
Hizo link wametoa wenye tin number siyo idadi ya walipa kodi. Kulipa kodi ni wajibu wa kila raia ndo maana tunasisitizwa kudai risit halali ya malipo tuliyofanya ili kodi zetu zifike kiuhalisia.
 
😂😂😂 sa tunasumbuana kudai risit za EFD mashine ili iweje kama kodi ilishalipwa kitambo, tujue faida yake ama? Hapo hujanishawishi. Umeme ukinunua LUKU si kuna TAX unasemaje silipi kodi hadi niwe na TIN? napo TANESCO wanakuwa wameshalipa bandarini kinachobaki ni ni faida yao? We huna utashi na mambo ya TAX yanavyoenda kalia kusema TIN tu. Miamala ya kifedha ikiongezeka ujue kodi pia imeongezeka sa unasemaje TIN number
Wewe Umelipa hela Tanesco kodi kalipa Tanesco sio wewe. Tanesco hapo ndio inatambuliwa Tra kama mlipa kodi.

Hela Uliolipia Tanesco hela Uliitoa wapi? Ulipoito hio Hela ulilipa kodi?
 
Hujui hata maana ya Indirect Taxpayers. Kaa na takwimu zako
 
Wewe hesabu ma V8 mkuu wala usiumize sana kichwa.
Heroo wee huoni miundombinu ya dip za ng'ombe setu longido kunyunyusiwa dawa. Na pembejeo za kutosha hadi raha. Toso nabadilisha maisha yetu asee
 
Sasa hivi Walipa kodi ni zaidi ya hao kutokana na KODI kukatwa au KULIPWA kupitia Simu
Ya simu unamaanisha Tozo?

Kodi inayoongelewa hapo ni ya kile unachozalisha wewe, Kama ni Mfanyakazi Kuna PAYE, Kama Ni Mfanyabiashara ama unamiliki Mali nyengine Kuna Tin no etc.

Haiwezekani unamiliki Mijumba kibao unaingizia mamilioni ya Hela kwa mwezi hulipi kodi eti unasema nilipojaza mafuta Gari nimelipa kodi?

Kodi ni Ile unachozalisha na sio alichozalisha mwenzako.
 
Tembelea hapo Mkuu Kuna source

Tanzania walipa Kodi wanaotambulika Tra ni milioni 2.2 tu, hata ukitoa watoto na wazee Kuna watu zaidi ya milioni 20 Wanapaswa kulipa kodi,

Mfano Kenya wanaolipa kodi ni milioni 5.5 na Sisi tupo wengi kushinda wao.
Tatizo wengi wa hao wapo informal sector, ila wanalipa Kodi indirect nyingi tu mfano hawana account za benki ila wanakatwa Kodi kwenye miamala ya M pesa. Hawakatwi PAYEE ila wanakatwa tozo mbali mbali kwenye biashara na ujasiriamali wanaofanya.

Hao Kenya walichofanya ni kuformalise kazi nyingi mpaka wanaochomelea na kuuza vyuma chakavu Wana trade unions zao na wanakatwa Kodi which in turn Tanzania wapo ila hawajawa formalized tu.

Na kingine uwezo wa kukusanya Kodi sio kuongeza namba ya walipa Kodi ILA ni kuongeza Volume ya malipo ya Kodi. Unaweza wasamehe makapuku million 2 ila ukabana biashara kubwa 100 tu zikafidia!! So kudhani kwamba muuza mishkaki akitoa Kodi ndio kutapandisha mapato ni kujidanganya kama hatutoweza kumaximise Kodi hasa kwenye investments kubwa.
 
Ngoja tu vute hisia
 
Attachments

  • 20220722_113258.jpg
    20220722_113258.jpg
    107.8 KB · Views: 4
Tatizo wengi wa hao wapo informal sector, ila wanalipa Kodi indirect nyingi tu mfano hawana account za benki ila wanakatwa Kodi kwenye miamala ya M pesa. Hawakatwi PAYEE ila wanakatwa tozo mbali mbali kwenye biashara na ujasiriamali wanaofanya.

Hao Kenya walichofanya ni kuformalise kazi nyingi mpaka wanaochomelea na kuuza vyuma chakavu Wana trade unions zao na wanakatwa Kodi which in turn Tanzania wapo ila hawajawa formalized tu.

Na kingine uwezo wa kukusanya Kodi sio kuongeza namba ya walipa Kodi ILA ni kuongeza Volume ya malipo ya Kodi. Unaweza wasamehe makapuku million 2 ila ukabana biashara kubwa 100 tu zikafidia!! So kudhani kwamba muuza mishkaki akitoa Kodi ndio kutapandisha mapato ni kujidanganya kama hatutoweza kumaximise Kodi hasa kwenye investments kubwa.
Hicho ndo wasichokijua. Mi ninunue umeme umeweka VAT eti unasema silipi kodi ila mlipaji ni tanesco. Nibet nile mil.5 nakatwa tax napewa mil.4 unasema silipi kodi. Rubbish kabisa, bora wewe umemfafanulia vzr.
 
Ya simu unamaanisha Tozo?

Kodi inayoongelewa hapo ni ya kile unachozalisha wewe, Kama ni Mfanyakazi Kuna PAYE, Kama Ni Mfanyabiashara ama unamiliki Mali nyengine Kuna Tin no etc.

Haiwezekani unamiliki Mijumba kibao unaingizia mamilioni ya Hela kwa mwezi hulipi kodi eti unasema nilipojaza mafuta Gari nimelipa kodi?

Kodi ni Ile unachozalisha na sio alichozalisha mwenzako.
Hapana ni makosa kudhani direct tax ndio Kodi, mfano Kodi ya majengo watu kibao walikua hawalipi ila ilipowekwa kwenye Luku haikwepeki kulipwa na mapato kutoka hiyo segment yamepaa mara dufu sababu hayakwepeki.

So ukisubiri mpaka Kila mtu awe na ajira azalishe ndio alipe Kodi tutachelewa. Hata betting tu watu wakishinda wanakatwa VAT inaenda serikalini sasa utasema hawalipi Kodi kisa ana bet?
 
sahihi
 
Hela zooote hizo zikikusanywa Hazitoshi hata budget yetu kujitegemea wenyewe, tuna tegemea wafadhili watuongezee

Nchi ina watu zaidi ya milioni 60, milioni 2 tu ndo walipakodi, hizo hela unazoona ni nyingi Hazitoshi hata kidogo.

Tra wanakusanya Around Trilioni 1, kwa mwaka ni kama Trilioni 18, Hapo Kuna Trilioni 6 mishahara na Trilioni 7 deni la Taifa, hapo Tayari umekaribia kumaliza hela yote

Bado Kuna Miradi ya Matrilioni ya Hela karibia 20 na matumizi mengine yasiyo Mishahara ya Serikali Takriban Trilioni 4.

Kasome budget yako mambo yote yameelezewa

Wing wetu na hela vinahusiana vip mana hamna anae kula Serikalin maskin wote wapo bize na bado wananyonywa
 
Back
Top Bottom