Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

Mkuu, miradi haiishi na haitawahi Isha. Kinachotumiwa ni kufanya kulingana na uwezo wetu. Mikopo hataweza kumaliza umaskini wetu..... Especially kama uwezo wa kulipa utakuwa compromised.
 
Mkuu, miradi haiishi na haitawahi Isha. Kinachotumiwa ni kufanya kulingana na uwezo wetu. Mikopo hataweza kumaliza umaskini wetu..... Especially kama uwezo wa kulipa utakuwa compromised.
Je Upo tayari kutekeleza huu ushauri hapa ?👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220722-174641.png
    99.1 KB · Views: 4
Nikienda dukani kununua kitu kikubwa nadai risiti ila nikinunue pipi sidai risiti mm.
mimi nna kama miezi mitatu sijapewa risiti labda sinunui sana au
 
Ulipoambiwa kura za Lissu zimeibiwa ukafikiri kaibiwa Lissa ukakaambali lafu utegemea kila kitu kiende sawa
 
Zinalambwa na walamba Asali kwenye Posho semina pongezi Birthday party ziara n.k
 
Hivi na zile zilizokua zinaporwa Kwa watu kupitia ofisi ya DPP zilienda wapi?
 
Hajui kitu huyo ni bendera fuata upepo
 
Ukimpa data anachukia yeye shida yake anataka kusikia kuwa serikali imefeli Ili amtukuze marehemu wake
 
Siyo kweli labda useme wenye TIN number. Kodi karibia kila mtu hulipia labda mfumo ndo haujakaa sawa. Kwenye bidhaa wanalipia, betting huko ndo usiseme kila siku wanalipia, mafuta ukinunua wanalipia kodi tayari. Unasemaje ni mil.2 ndo walipa kodi?
Tupe wewe data walipa Kodi waliosajiliwa TRA na wana tin number ni wangapi? Tupe takwimu sahihi
 
Basi hii nchi haiko systematically. Mwenye kituo kila mwezi analipa kodi fixed amount au ina vary kulingana na mauzo? Kama ina vary lazma umhesabie mtumiaji kuwa nae analipa ndo maana bei inakuja ikihusisha na kodi humo humo na mlipaji ni huyo mlaji.
Kwanza una tin number? Kwa sababu nyie mnaolialia hapa utakuta ndio wanyonyaji wakubwa
 
So what Next? Bakhresa sio Tajiri sababu umetoa hela yako kununua Bidhaa yake?

Huyo alietoa hela Kubeti chanzo alichotumia kupata hela Amelipa Kodi? Ukifikiria kwa muono huo ndio utaelewa kwanini walipa kodi ni milioni 2.
Unajipa kazi hatakaa akuelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…