Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari JF,

Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.

Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha Nchi haina pesa kabisa hivyo zinapelekwa kwenye miradi, ukiwauliza mbona mpaka anaondoka miradi ilikuwa inaendelea vizuri? Wanakosa majibu.

Baadhi wanasema zinakwenda kwenye mirafi mipya, ukiwauliza ni miradi ipi hiyo mikubwa ya trilions of money wanakosa Jibu.

Nikajiuliza je zinakwenda kulipa mishahara ,posho na mafuta magari ya serikali nimeona bado tumekusanya pesa Nyingi.

Swali kwa wale wanaojua pesa hizi zinakwenda wapi atoe jibu tafadhari ,ili nikatwe kodi/tozo nikiwa na Amani.
 
16418874249070.jpg
 
Hela zooote hizo zikikusanywa Hazitoshi hata budget yetu kujitegemea wenyewe, tuna tegemea wafadhili watuongezee

Nchi ina watu zaidi ya milioni 60, milioni 2 tu ndo walipakodi, hizo hela unazoona ni nyingi Hazitoshi hata kidogo.

Tra wanakusanya Around Trilioni 1, kwa mwaka ni kama Trilioni 18, Hapo Kuna Trilioni 6 mishahara na Trilioni 7 deni la Taifa, hapo Tayari umekaribia kumaliza hela yote

Bado Kuna Miradi ya Matrilioni ya Hela karibia 20 na matumizi mengine yasiyo Mishahara ya Serikali Takriban Trilioni 4.

Kasome budget yako mambo yote yameelezewa

Nchi ina watu zaidi ya milioni 60, milioni 2 tu ndo walipakodi, hizo hela unazoona ni nyingi Hazitoshi hata kidogo...
Data za wapi hizo kwamba walipa kodi ni 2M
 
Miradi. Safari hii wanyonge wote wanailipia miradi yao, sio kufungia akaunti za wafanyabiashara na kuchukua. Wote watembee kifua mbele maana wanahusika.
 
Miradi yote Hii hapa inahitaji pesa tena hapa nimekupa summary mdogo sana ya maelfu ya miradi inayoendelea na inayoenda kuanzishwa mwaka huu👇
mkuu pesa zinazokusanya kupitia hivyo vyanzo ni nyingi sana ujue
 
Habari JF,

Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.

Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha Nchi haina pesa kabisa hivyo zinapelekwa kwenye miradi, ukiwauliza mbona mpaka anaondoka miradi ilikuwa inaendelea vizuri? Wanakosa majibu.

Baadhi wanasema zinakwenda kwenye mirafi mipya, ukiwauliza ni miradi ipi hiyo mikubwa ya trilions of money wanakosa Jibu.

Nikajiuliza je zinakwenda kulipa mishahara ,posho na mafuta magari ya serikali nimeona bado tumekusanya pesa Nyingi.

Swali kwa wale wanaojua pesa hizi zinakwenda wapi atoe jibu tafadhari ,ili nikatwe kodi/tozo nikiwa na Amani.
...
cf7f5ed734484266b008acc98a47811b.jpg

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Data za wapi hizo kwamba walipa kodi ni 2M
Tembelea hapo Mkuu Kuna source

Tanzania walipa Kodi wanaotambulika Tra ni milioni 2.2 tu, hata ukitoa watoto na wazee Kuna watu zaidi ya milioni 20 Wanapaswa kulipa kodi,

Mfano Kenya wanaolipa kodi ni milioni 5.5 na Sisi tupo wengi kushinda wao.
 
Hela zooote hizo zikikusanywa Hazitoshi hata budget yetu kujitegemea wenyewe, tuna tegemea wafadhili watuongezee

Nchi ina watu zaidi ya milioni 60, milioni 2 tu ndo walipakodi, hizo hela unazoona ni nyingi Hazitoshi hata kidogo.

Tra wanakusanya Around Trilioni 1, kwa mwaka ni kama Trilioni 18, Hapo Kuna Trilioni 6 mishahara na Trilioni 7 deni la Taifa, hapo Tayari umekaribia kumaliza hela yote

Bado Kuna Miradi ya Matrilioni ya Hela karibia 20 na matumizi mengine yasiyo Mishahara ya Serikali Takriban Trilioni 4.

Kasome budget yako mambo yote yameelezewa

Sijui kama tunaelewa maana ya mlipa kodi. Yaani katika watu milioni 60, ni milion 2 tu ndo wafanya transactions za kifedha ama wanunuzi wa bidhaa? Au mlipa kodi mnaona ni mtu gani?
 
mkuu pesa zinazokusanya kupitia hivyo vyanzo ni nyingi sana ujue
Sasa matumizi ya kuendesha Nchi ni kidogo au? Kwamba ni nyingi kuliko mahitaji au?

Hii ndio summary ya budget,breakdown yake tafuta kwenye bajeti za Wizara,Idara na Taasisi zake 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220615-092451.png
    Screenshot_20220615-092451.png
    117.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220614-224601.png
    Screenshot_20220614-224601.png
    48.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220614-210637.png
    Screenshot_20220614-210637.png
    44.6 KB · Views: 8
Sijui kama tunaelewa maana ya mlipa kodi. Yaani katika watu milioni 60, ni milion 2 tu ndo wafanya transactions za kifedha ama wanunuzi wa bidhaa? Au mlipa kodi mnaona ni mtu gani?
Hizo hazihesabiki, nazungumzia walipa Kodi wenye Tin numbers wanaotambulika Tra,
Tozo ni aina Nyengine ya makusanyo
 
Back
Top Bottom