Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

Kwa nimjuavyo Salim Kikeke hana IQ hiii ya Kipumbavu kama uliyonayo na anijibu hivi badala yake atachukua Ushauri wangu na Kuufanyia Kazi kwa manufaa yake, Jamii iliyomzunguka na Taifa kwa Ujumla.
Mkuu hawa watangazaji wa nje....Kuna sera na vipengele fulani vinawabana kuhusu kusema/kuonyesha mazuri ya Africa.
 
Anastahili hongera wenzake huwa hawarudi wakiwa na msongo wa mawazo kama wake , wanaishia kuwa walevi tu at the end wanakufa yeye kajitutumua sana kurudi tz, na ina umma unakutq vijana wadogo kina majizo wanamiliki media, kina diamond arafu wewe una miliki suti na vidolla huna ramani kweli exposure unayo ila huna maisha ina uma sana na wazawa washamchungulia wakaona mwamba uraibu umemchukua so subilia awe lemutuz part 2
 
maisha ya kuzurula huku na kule anayoishi salim kikeke ndio mimi nayapenda na ndivyo ninavyoishi. traveling is something that makes me feel very comfortable and I love it.

nikikaa sehemu moja mda mrefu akili yangu inakuwa dormant, nahisi kupata onyonge, nakuwa mtu wa kisirani kiasi cha kupunguza ufanisi wangu wa kufanya kazi.

mimi ni domestic traveler, mizurulo yangu naipiga hapahapa nchini, ila sio mtu wa mitandao.

laiti kama ningekuwa mtu wa mitandao, watu wenye mitazamo hasi kama mleta mada wangenikoma kule instagram kwa picha nzuri ambazo ningekuwa nazi upload kwenye ukurasa wangu. honestly wangepasuka kwa hasira na wivu wao.

hii ni timeline yangu kutoka google map ikionyesha baadhi ya maeneo niliyozurula hapa tanzania mpaka sasa.
 

Attachments

  • IMG_20230904_022200.jpg
    162.2 KB · Views: 3
  • IMG_20230904_022221.jpg
    173.1 KB · Views: 3
ttzo una utamaduni wa kiswahili ni ngumu kumuelewa , sisi waswahili tunaishi km nyumbu tunataka wote tufanane kitizamo na ki attitude
 
Kwa nimjuavyo Salim Kikeke hana IQ hiii ya Kipumbavu kama uliyonayo na anijibu hivi badala yake atachukua Ushauri wangu na Kuufanyia Kazi kwa manufaa yake, Jamii iliyomzunguka na Taifa kwa Ujumla.
maisha ni kufurahi , chezq kwenye pattern zako , hamfanani hustle , acha afanye kinachompa furaha , ifike muda waswahili tuache kulazimisha kufanana mifumo ya kimaisha
 
Leo umeongea point kuna mda dishi lako huwa linayumba sijui ni upepo??

salimu kikeke amekuwa kama kijana wa secondary.
achen kuish kwa kukariri , maisha haypo hivyo , kuna mtu anamlipia bill zake hayo anafanya kajiandaa nayo muda tu , huo ndo uchawi ss unataka kila mtu akashinde bar wkt wengine hizo sio hobby zao
 
Nimemshauri tu na sijamlazimisha aishi nitakavyo Masikini na Mtu wa Kawaida Mimi GENTAMYCINE sawa Mkuu?
badilika huu ni mwaka 2023 sio 1990 , huenda ww unaish bila mipango ila mwenzio kayapangilia yote hayo hayaj bahati mbaya kwake
 
ww mwenyew una mitizamo ya ki ccmu , nan atakujengea kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…