DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwanini utamke Ela. Badala ya Hela na kwanini utamke Mpila badala ya mpira ,Kwanini useme Alusi au arusi badala ya Harusi...Issue ni kwamba wanaandika kama wanavyo tamka.
Huu hapa ukweli Mchungu kusikia...
Lugha ya kiswahili ina maneno mengi sana yanayohitaji kujifunza Zaidi kama unaongea kiarabu..
Kwa zamani watoto wengi walipelekwa madrassa kujifunza lugha tu hata kama sio waislam ilichangia wazee wetu kujua lugha sanifu na matamshi kuntu..
ila siku hizi ni vigumu kumkuta Mkristo akijaribu kuumba herufi kwa kiarabu au kukaribiana na kiarabu, wanaona sjui wakifanya hivyo watabadilika na kuwa waislam na hiyo ndo tatizo lilipoanzia ....kwa baadhi ya herufi...