Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

Kwa ufupi tangu dunia imeumbwa hakuna aliyewahi kupata jibu, ingawa kwa kupanua uelewa wanawake hubadilika kila wakati, akiwa na asiye na pesa na anamridhisha kitandani atatafuta mwenye pesa ambao mara nyingi hawako romantic na hawana muda wala utaalamu on bed, atahitaji pia handsome wa kushow off nae, hakuna mwanaume mwenye vyote, pesa, mtaalamu kitandani, romantic, mbembelezaji, mwenye muda, handsome nk na ndio sababu kubwa ya kuwa dynamic. Kibaya zaidi mwanamke anaheshimika kwao kama mchango wake kipesa ni mkubwa hata kama ni wa mwisho kuzaliwa, hapo ndio Tatizo la usaliti utaona ni gumu kutatulika
 
Umeongea point nzuri nimeipenda... kumbe napo kuna issue ya uwezo wa mwanamke kuridhika na kujituliza, inawezekana sio wanawake wote wanaweza kuishinda huo mtego.

Na kuna wadau wengine walisema ikiwa mwanamke ana historia ya mahusiano mengine kabla yako naye ana probability kubwa ya kucheat
 
Embu mwaga story hiyo ilikuwaje kuwaje....
 
Ndo nataka kujua kwa upande wa wanawake nyinyi mpo vipi? Natumai hatuwaweki kwenye mizania moja wanawake na wanaume. Nyinyi wanawake naskia mnaweza kukaa hata mwaka bila kusex wakati kwa wanaume kukaa mwezi tu ni mtihani
Mwanamke au Mwanamme wa Kiislam ku "cheat" ni Kuwa kafiri.

Wakulaumiwa ni jamii inayoona ntu anafanya uasherati na zinaa inamtazama tu.
 
Kuridhishwa kuendane na pesa mkuu....kikikosekana kimoja hapo...bass imekula kwako.
Lakini pia usisahau unaweza kuwa navyo hivyo vyote lakini bado akakucheat kwa kumwonea huruma mwanaume.
Hivyo,omba Mungu upate mwanamke mwenye utulivu wa asili
 
Umeongeza point nzuri sana mkuu ambazo kuna wadau hapo juu walikuja na point kama mbili zinashabihiana.

So far nimeweza kung'amua kwamba probability ya mwanamke kucheat hata kama unamridhisha kimapenzi inaweza kutegemeana na mambo yafuatayo
1. Kama alikuwa na historia ya kuwa na wanaume wengi kabla yako huyo kucheat haoni kwamba ni jambo gumu kulifanya ila ukioa bikra possibility yaweza kupungua.

2. Mwanamke mwenye tamaa au kukosa kiasi pia anaweza kukucheat hata kama unamfanyia mazuri mengi kiasi gani sababu anakuwa hatosheki na unachomfanyia iwe kitandani au kipesa
 
2.
 
Mwanamke au Mwanamme wa Kiislam ku "cheat" ni Kuwa kafiri.

Wakulaumiwa ni jamii inayoona ntu anafanya uasherati na zinaa inamtazama tu.
Ndo imeshakuwa kwa jamii ya watanzania kuziangalia dhambi hizo za uasherati kwa macho unakuta kabisa majirani wanajua mke wako anachepuka na nani... inatia kinyaa (ingekuwa nchi za kiarabu labda maadali yangekuwepo)

Ila kibongobongo inabidi sasa tuende extra mile kutafiti kwanza ili kujikinga na hichi kitu ambacho kama ikitokea mwanaume ukajua mwanamke wako anacheat maumivu yake sio madogo
 
Sababu
😂Mie wiki tu tatzo

Sababu zipo ngingi TU kwa kuanza hebu tuangalie kwa upande wetu sisi wanaume, je tukipata wanawake wanaoturidhisha, tunaishiwa kutamani?
Kama ilivo kwa waume hata na wake nao ni ivoivo.
Unaweza ukamtimizia kitanda pia kiuchumi ukamtimizia lakini atahitaji pia abadili ladha yan atahisi kunaladha nyingine zaidi ya hii.
Mfano Mimi huwa napenda sana nyama lakini sipendi kula kilasiku.
 
Kuridhishwa kuendane na pesa mkuu....kikikosekana kimoja hapo...bass imekula kwako.
Lakini pia usisahau unaweza kuwa navyo hivyo vyote lakini bado akakucheat kwa kumwonea huruma mwanaume.
Hivyo,omba Mungu upate mwanamke mwenye utulivu wa asili
Daaah hiyo ya huruma inatia hasira kweli ... hapo mwanamke unakuwa umeambiwa nini mpaka upate huruma kiasi hicho??
 
Akiwa ananicheat namcheat na yeye kupunguza maumivu tena namcheat kwa kutumia pesa zake natft mme aliyemzidi kila kitu
 
Sure
 
Hakuna mwanamke anayeridhika na kila kitu alicho nacho. Ukimpa A atata A an B ukimpa zote atata na C
 
Wanawake huwa hatucheat.
Mbona kuna wanawake wamesema huko juu kwamba na wanawake nao wanapata hisia za kucheat kama wanaume?

Jibu lako naliona zaidi lina ukweli kwa wanawake ambao hawakuwahi kuwa na mahusiano hapo kabla, kwamba inakuwa ni ngumu sana kushiriki mapenzi nje na mume au mpenzi wake regardless of anything
 
Am sorry to tell u that u have got a very little understanding about women. Mwanamke hatakiwi kupewa kila kitu wala hatakiwi kuridhishwa kwa kila kitu. Mwanamke anatakiwa kupewa " wasiwasi". Katika siku zote za mahusiano yenu mwanamke anatakiwa kuwa na wasiwasi wakati wote. Ukimridhisha au ukimpa kila kitu basi umemkosa.

Asilimia 99 ya wanaume walio chitiwa na wake zao huwa wanasema " Nilimpa kila kitu huyu mwanamke"

Kumpa kila kitu ndio sababu ya kwanza ya yeye kukucheat.

Hiyo sio nature ya mwanamke tu ni nature ya wanadamu wote.

Ndio maana hata Mungu alipotupa kila kitu pale bustani ya Eden tukaishia kumcheat na shetani. Ndio sababu Mungu Hawapi wanadamu kila kitu.

U need to know that. Women comes with an expire date. They have to be replaced after every six months or at least or two years.
 
Ni kweli na kama hilo suala ni jipya duniani bhasi wanawake wasingekeketwa enzi hizo ili kuwaondolea hamu na ladha ya tendo la ndoa kiasi cha kutoweza kucheat.

Kwa hiyo toka enzi na enzi, mtu akishaweza kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa inamaanisha anakuwa analinganisha alicholipata, anachokipata na ambacho anaweza kukipata kama ataingia tena mjini.

Kwa hiyo binadamu wa aina hiyo ni kiasi cha kujituliza kwa kuridhika na anachokipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…