Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

Nataka kusema, mwanamke anawekwaje na me zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, babe mbona mnatuumiza sana hisia🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Babe hayo mambo ya kawaida tu, achana nayo.

Kuna mtu anakutafuta.
 
Very simple question..jibu ni asilimia 100
 
Kwa nn jaman....kama uliyenaye anakuona wanna tafuta ambaye anakuona wa thamani kwake.....distance over disrespect dear
Huogopi kutaja majina sio wakati mnawekana?
 
Kuepuka hilo, pendelea zaidi majina ya baby, honey nk. Usitumie jina la mtu.

Niliona wakisema hivyo humu jf🤣🤣🤣
Mwandamizi ameongea sasa🤣🤣 hivi vitu vinaenda na experience ujue. Au ulisikia tu babe?
 
Faiza hakuna mwanaume anayecheat, kucheat ni term inawahusu wanawake tu
Kiislam zinaa ni ya wote, akiifanya mwanamme ni zinaa , akiifanya mwanamke ni zinaa.

Mnajaribu kuondoa ukali kwa kujidai kuita "cheating", cheating ni kudanganya.

Sema kumtuhumu zinaa ni mpaka muwe wanne na mmeshuhudia kwa kiapo, isije kuwa fitina zenu tu. Au akubali mwenyewe kuwa amefanya zinaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…