Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Hizi tunaita gums

Kwa juu hapo kwenye lebo wamekuandikia kabisa hii ni strong beer nitajie beer yenye alcohol nyingi kuizidi hii bingwa hapa tanzania
Hizi kwa Sasa hazipo TZ ilikuaga miaka ya 90's


Enzi izo Kuna tangazo kwenye ledio linasema

BINGWA AMEINGIA BINGWA...NANI BINGWA...BINGWA AMEINGIA BINGWA 😊☺️

GEN Z hawawezi kuijua hii
 
ni takwimu za drinkers society na manufactures, wala si ujinga, hata wauzaji (retailers) watakupa hiyo experience
ebu nitajie manufacture mmoja walio sema kilevi vyani vi vya kike vingine vya kiume
 
Me huwa nawaheshimu sana wadada wanaokunywa smart gin,kvant na konyagi mixer energy na sigara.hatari sana kuna mmoja nlishuhudia kwa macho mama wa around 38yrs alikata smart gin vichupa vitano na chupa 3 za energy alokua akichanganyia.me nlikua meza jirani nkawa namchora tu mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom