Kuna binadamu wanakula jamani, nani aliwahi kukushangaza kwenye sekta ya misosi?

@fyalafyala
 
Kuna mwamba alikula embe 50.
Huyu huyu mwamba alikula sahani 25 za chipsi na kuku wazima 5 na majagi 2 ya juice.

Kuna mwengine alikula chapati 30 na chupa moja ya chai.

Wakati Mimi chapati 2 tu kuhema kwa tabu kuna viumbe hatari sana🀣🀣
 
Kuna shehena iliwekwa kwenye sahani ya dogo mmoja hivi, mimi simalizi hata nusu yake na alikuwa na Mirinda nyeusi 2 nikasema ukisikia nakuja dar kukusalimia jipange vizuri , funny enough alibeua alipomaliza soda ya kwanza πŸ˜…πŸ˜‚
 
Where is Theresa49
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…