Duh pole sana mkuu.. ko ikawajeKuna dem nilitoka nae nikapita peku asubuh naamka nivae sendo moja ikawa imeingia uvunguni kwa kitanda ile kuinama nichukue aisee uso kwa uso na kikopo cha punje aisee hakuna siku nilioga mara nyingi kama ile nikanunua spirit nilijipaka wiki nzima eti naua vidudu🤣🤣🤣
Basi subirini Mwigulu Nchemba wa CCM akija huko mmusemee kwenye Mkutano hapo...Watu wanakuja wanalia mzee mpka kwa mjumbe
Habari zenu wakuu
Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali
Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania
Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!
Tuwe makini sana wakuu
Hapo sawa.Ukimgundua huwa anakwambia akufichi kitu itoshe me nilisha wai kuambiwa kama kutahadharishwa ndugu zake mana nilikuwa namazoea nae apo nyuma..
SawaItasaidia
Duh!Kama mmethibitisha kweli ana HIV+ na anasambaza kwa makusudi mkamateni mchoreni tattoo kuubwa kwenye paji la uso wake isomeke HIV+ kisha muacheni aende zake.
😀😀 vipi mkuu umepima? 😀Kuna dem nilitoka nae nikapita peku asubuh naamka nivae sendo moja ikawa imeingia uvunguni kwa kitanda ile kuinama nichukue aisee uso kwa uso na kikopo cha punje aisee hakuna siku nilioga mara nyingi kama ile nikanunua spirit nilijipaka wiki nzima eti naua vidudu🤣🤣🤣
Usimsingizie jamaa yako. Huyo aliyepewa boko ni weweHabari zenu wakuu
Hili jambo limenisikitisha sana aisee,, kuna kabinti kamoja kako mtaani kwetu huku wanasema hachagui habagui yoyote yule anayejitokeza mbele yake anapita naye na wengi huwa wanapagawa na kashebu na kasura yake kazuri ila ni moto wa kuotea mbali
Tunatakiwa tuwe makini sana hasa wanaume huwa tuna moyo mgumu sana mtu anaweza akawa ana taarifa kamili kuhusiana na hilo swala lakini bado anaendelea kupambania
Nishajaribu kumuonya jamaa wangu mmoja aliishia kunitusi nakunianba ni uoga wangu..!
Tuwe makini sana wakuu
Nilienda hospital nikapewa arv za siku 28 nilivomaliza kurudi kupima nikawa naogopa mdawote niko google nasearsh dalili za ukimwi baada ya miezi 4 nikajilipua tu kwenda kupima nikawa fresh..yule dada nilimfata nikamwambia we unaukimwi akakataa katakata akasema asubuh tukapime nikasema poa..asubuh nampigia hapatikani kwenda kwake nakuta kufuli sjawah muonaga hadi leo🤣🤣🤣Duh pole sana mkuu.. ko ikawaje
Tulia wewe acha kiherehereHabari zenu wakuu