Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

Duh aisee
 
Mtafute ule tena mzigo huo acha ushamba
 
Wwe zubaa hujui kesho yako shangaa ajari tunaku fukika na wenge ngoma unawaacha enjoy life is too short mr
Sawa karibu kwetu u enjoy life na liwe too much Short
 
Niko fresh tuu ila nilipewa arv za siku 28 aisee ila vijana tunakoswakoswa ilikuwa 2023 nikikumbuka maneno aliyokuwa anaongea tunavojipa hanjamm nakupenda skuachi loh!! PUMBAVU ZAKE ANITHA POPOTE ALIPO
😀😀😀 Daaa!! Umenichekesha mkuu.

So alikuwa anakuuwa huku anakupa maneno matamu matamu.

Na wewe ukajiona mwamba unapiga uno tu. 😀
 
Tulia wewe acha kiherehere
Unataka miradi ya ukimwi iishe watu wakale wapi
Acha asambaze kwan amebaka si mnaenda wenyewe
Kula chuma hichooo Hadi kitoe moshi
Mavi yenu
Sawa nawewe unakaribishwa
 
Niko fresh tuu ila nilipewa arv za siku 28 aisee ila vijana tunakoswakoswa ilikuwa 2023 nikikumbuka maneno aliyokuwa anaongea tunavojipa hanjamm nakupenda skuachi loh!! PUMBAVU ZAKE ANITHA POPOTE ALIPO
Anitha huyu huyu mwenye matako?
 
Anagawa kiuno alichompa mama kwa kila mwenye tamaa
 
Kuna demu ana ukimwi na najua na napiga na ndom fresh tuu 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…