Kuna binti mtaani kwetu anatumia uzuri wake kusambaza UKIMWI

Mkuu hakaoni hata haya?
 
TEZ DS INAKUSUBIRIA

WE PIGA KAVU TU UENJOY
 
Kama mmethibitisha kweli ana HIV+ na anasambaza kwa makusudi mkamateni mchoreni tattoo kuubwa kwenye paji la uso wake isomeke HIV+ kisha muacheni aende zake.
Umenikumbusha theory ya capture and recapture. 😁😁
 
Ushahidi kwamba ana UKIMWI Upo!?
 
p
picha
 
Daaah hivi vibinti vya sasa mimi siviamini bila ndomu bora nibaki na genye tu mkuu πŸ˜‚
 
Huyo hana tofauti na muuwaji tu, yani unajua una ngoma na unawasambazia wenzako makusud? Too bad!
 
Peleken polisi huyo muuwaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…