Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida


Waliorekodi na wanaotaka kumhoji mtu huyo, kwanza wangejaribu kuona kama mtu huyo hana mental illness.
 
Mi niko nyuma sana, nimeona wabongo wanaongelea kwenye page ya Aston Villa, ikabidi nirudi kumfahamu hasa hamida ni nani!
 
Naona kijana anaforce kuwa famous JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Don't hunt what you can't kill.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamaa hapo mwanzoni nimependa anavyosema niache!!
Sasa huyo hamida anapatisha tabu mpk vijiko,sakafu,maji na boxer!! Hamida ndo mwanamke anaebadilisha wasifu wa mtu kuwa kambare.

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…