Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

Your browser is not able to display this video.
 
Yani watu tunahangaika na usajili wa alama za vidole wengine wanalilia hamida!! Utafikiri wenyewe hawaishi Tanzania hii.. huyu jamaa sidhani hata Kama anahabari kuna kufungiwa laini kenge kabisa sijui hata yupo nchi gani duh!! Hamida turudishie ufahamu wa ndugu yetu tusijempoteza.
 
kuna jamaa hajibu sms za hamida wala hataki kumuona.! kwenye hii dunia, usawa uko mbinguni tuu.
 
Nimemuonea huruma tu ingawa ndio stage nzuri ya kutolewa uvulana... Akikaa fresh atarudi kwenye group la "wanaume ndivyo mlivyo"
 
Sijaelewa ilikuwaje unaandika kama wote tuna taarifa kamili za huko Instagram kwa sanchorutti...tupe habari kamili.
 
Najiuliza mshikaji alipewa nini mpaka akawa na ujasiri wa kuvua nguo na kulala kwenye sakafu yenye maji akimlilia Hamida

Ni mapenzi hayahaya au kuna kingine,

Kila siku kuna vitu vinasababisha nisahau kuhusu kuoa
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…