Kuna Dada anauza uji soko la Stereo, leo kapigwa marufuku kwa kuwa ni msimu wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
Unajua ya kwamba asili ya dini hizo ni Upagani? Yaani ukizifuatilia vizuri zaidi dini hizi kuu mwisho wake ni huo mnaouita Upagani. Furahieni maisha ya Planet Earth. Hayo mambo mengine msiyoyajua kiundani yanawafanya msiwe na tofauti na hayawani
 
Hicho mnachokizungumzia hakipo kwenye uislamu. Mlichokifanya hapo ni kuchukua kauli personal na kuusemea uislam. Uislam haupo hivyo. Msikurupuke.
Uisslam haupo hivo ila waislam ndo wapo hivo especially Zanzibar ndo balaa
 
Toa ufafanuzi
1. Kapigwa marufuku na nani?
2. Solo ni la serikali au mtu binafsi?
Fafanua ili tufatilie
 
wewe na nani? kwa hiyo huamini kama hii Tz na Pwani yenyewe ina watu wenye imani tofauti tofauti? Kwa hiyo hao wengine wanakula wapi?
 
We mleta mada acha mihemko, halafu mararisayo wenzio wanakurupuka bila kujua undani wa mada

** Huyo demu wako kapigwa stop na serikali au na waislamu wenyewe?

Labda tuanzie hapo
 
Mtu anayemzuia mwenziye kula,kunywa au kupendeza nyakati za mfungo kuna mambo yanamsumbua au hajui;
-yawezekana ni mroho na hana uwezo wa kuvumilia temptations.
-haijui misingi halisi ya dini "anayoishabikia"!
-analazimisha kujulikana yeye ni nani.
NB:Ni matatizo ya dini zilizokuja siku za hivi karibuni.
 
Ningekua mim ndo nmeambiwa hvo kusema kweli pangechimbika

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
wewe na nani? kwa hiyo huamini kama hii Tz na Pwani yenyewe ina watu wenye imani tofauti tofauti? Kwa hiyo hao wengine wanakula wapi?
Wenyeji wa pwani ni waislam, Hajakatazwa Mtu kula but afuate utarati wa wenyeji wako waliojiekea
 
Siyo kweli...lkn hata wote wangekuwa waislamu alfu wakristo na wapagani wangekuwa watano,hawana Haki ya kuuziwa chakula wale?
Nikweli ....haki wanayo ila kwa utaratibu walio jiekea wenyeji.
Pale sokoni zipo Baazi ya sehemu wanazouza vyakula kwa kufuatautaratibu sio kama hakuna
 
Wewe mjinga,hiyo ni sawa na kusema mtoto asifundishwe dini au chochote like tangu angali mdogo,samaki mkunje angali mbichi,mwenye heri nyerere funga ya siku moja ilimshinda akaomba aspro
Kufundisha sio kulazimisha. Mtoto kushinda na njaa Ni ngumu ndio maana mnalazimisha
 
Bora mwafrika ashikirie dunia
 
Wenyeji wa pwani ni waislam, Hajakatazwa Mtu kula but afuate utarati wa wenyeji wako waliojiekea
Umekazania taratibu za wenyeji, aliyekwambia hii nchi inaendeshwa kienyeji nani? Hii nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria sio kwa mila na desturi.

Ndio maana mila kama ukeketaji zinapigwa marufuku wazi wazi, kwanza unafikiri tungefuata huo upuuzi unaouita taratibu za wenyeji hii Tanzania pangekalika?

Waislam hamjastaarabika kabisa hasa wa huku Afrika ambao mmeupokea kutoka kwa hao waarabu, kwa ujinga wa sababu yako hiyo hiyo ndio maana Nigeria, Cameroon na hata Sudan hamuishi mnaua watu .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…