Watajuana wenyewe sie wengine ni wacheza marimba ya mzungu tuu hapaKumzuia mtu asiuze uji kwa wasiofunga wewe unaona sio kikwazo hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajuana wenyewe sie wengine ni wacheza marimba ya mzungu tuu hapaKumzuia mtu asiuze uji kwa wasiofunga wewe unaona sio kikwazo hicho?
😃😃Afadhali hata naishi kwenye mkoa wenye waislamu wachache 😇
Na hili baridi mimi naanzaje kuacha kununua muhindi njiani nitembee nakula🤣
[USER
Tungeteseka sanaMuarabu angeshika dunia ingekua ni moto kila nchi, pasingekalika
Uisslam haupo hivo ila waislam ndo wapo hivo especially Zanzibar ndo balaaHicho mnachokizungumzia hakipo kwenye uislamu. Mlichokifanya hapo ni kuchukua kauli personal na kuusemea uislam. Uislam haupo hivyo. Msikurupuke.
wewe na nani? kwa hiyo huamini kama hii Tz na Pwani yenyewe ina watu wenye imani tofauti tofauti? Kwa hiyo hao wengine wanakula wapi?Wagonjwa wameamriwa wasifunge but kwa tamaduni zetu watu wa pwani hato kula hazarani (atakula kwa kujistili).
Zamani au kuna baazi ya maeneo mpaka leo kuna kua na Baazi ya migahawa kwa ajili ya wasafili,wagonjwa na watoto na wengineo mingine hufungwa.
Eti tusifanye biashara mfungo?Kuna nini tena...
Vipi uturuki?Spain ilitawaliwa kwa miaka 200 na waislam,hakuna alibadilishwa dini kwa nguvu
Mtu anayemzuia mwenziye kula,kunywa au kupendeza nyakati za mfungo kuna mambo yanamsumbua au hajui;Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Ningekua mim ndo nmeambiwa hvo kusema kweli pangechimbikaHabari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa Ramadhani.
Maswali ya kujiuliza;
- Mbona Kwaresma imeanza muda tu na sasa inaendelea lakini hakuna Mtanzania aliyepewa masharti ya namna ya kuuza au kula chakula chake halali?.
- Funga ni jambo la kiimani, je, imani zenu ni haba kiasi kwamba mkiona chakula mnazitupa mbali hizo imani?
Wenyeji wa pwani ni waislam, Hajakatazwa Mtu kula but afuate utarati wa wenyeji wako waliojiekeawewe na nani? kwa hiyo huamini kama hii Tz na Pwani yenyewe ina watu wenye imani tofauti tofauti? Kwa hiyo hao wengine wanakula wapi?
Nikweli ....haki wanayo ila kwa utaratibu walio jiekea wenyeji.Siyo kweli...lkn hata wote wangekuwa waislamu alfu wakristo na wapagani wangekuwa watano,hawana Haki ya kuuziwa chakula wale?
Kufundisha sio kulazimisha. Mtoto kushinda na njaa Ni ngumu ndio maana mnalazimishaWewe mjinga,hiyo ni sawa na kusema mtoto asifundishwe dini au chochote like tangu angali mdogo,samaki mkunje angali mbichi,mwenye heri nyerere funga ya siku moja ilimshinda akaomba aspro
Bora mwafrika ashikirie duniaNCHI HII HAINA DINI HAPO STEREO KUNA WAKRISTU WANATAKIWA KULA, KUNA WAPAGANI PIA.
WAACHE KULETA MAMBO YA UDINI. NDIO MAANA HUWA NASEMA BORA MZUNGU ASHIKIRIE DUNIA HAWA WENGINE WAARABU NA COs SIO WATU, WAKIPATA NGUVU KIDOGO WAISLAMU NA WAARABU DUNIA ITAKUWA SIO SEHEMU SALAMA YA KUISHI
Umekazania taratibu za wenyeji, aliyekwambia hii nchi inaendeshwa kienyeji nani? Hii nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria sio kwa mila na desturi.Wenyeji wa pwani ni waislam, Hajakatazwa Mtu kula but afuate utarati wa wenyeji wako waliojiekea
Mwenyewe tangu wiki hii ianze nimenyimwa eti yuko kwenye toba kabla ya mfungotulio na mademu wa kiislamu huu mwezi hatupati utelezi haya ndo madhara yake dah