Arusha hakuna hizo ruti za kuanzia saa sita usiku hembu mtoa mada atuambie huwa ni ruti za njia gani? Uwongo mtakatifu hu. Labda darJapokua sidhani kama arusha zipo gari huo usiku wa saa 6 ila kwa dar hizo daladala tunaita VIBWENGO ni gari ambazo hazina ukamilifu kwenye kulipa bima au mapato so muda wake wa kutembea ni usiku. Pia mafundi gereji huiba gari za wateja wao zilizolala gereji na kwenda kupiga deiwaka.
Ni daladala au ungo?Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupamba mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
Anapewa daywaka mtu teja wa buguruni dereva kapiga route mbili za mapema asubuhi kakomaa halijamuharibikia kashuka na 30k...kazi Sasa kwa teja wetu anasizi mchana usiku Sasa ndo kazikazi acha kabisa Hili lifeHao wanafanya ushanta tu
Wengi wao ni wahuni tu
Ova
Daladala mkuuNi daladala au ungo?
hizo zipo kibao usikatae jombii ...kwa morombo nishakutana nazo kibao tena huwa zina zima zima hvyo ,mlango haufungi vyema wakushikilia ...mida ya hizo gari kuanzia saa saba usiku kwa route ya moromboJaribu kitunga uongo unaofanana na ukweli, daladala Arusha mwisho saa 4 ikizidi sana ni saa 5.
Hakuna abiria usiku kwa Arusha.
Barabara zinazochelewa kufunga kazi ni Ngulelo na Morombo.
hiyo moshi road,kisongo na ngara huo muda ni kweli gari hkn ila morombo almost wanakesha usafiri upo hata uende saa saba za usiku utaukutaMi naishi kimandolu Arusha, daladala mwisho saa 5 na hapo za kubahatisha, sasa sijui hizi unazosema zinaenda wapi, kiufupi kusafiri usiku Arusha labda pikipik au private.
Daaah ni shida sana mkuuDashboard yake Sasa imejaa vyuma chakavu...abiria walevi usiku na maneno na vitimbwi Sasa ni habari nyingine
Pancha nje nje mzee babaWanaita za kuwanga mkuu
Nyingi ni mbovu na pia hazina vibali na wengi wa madereva hawana leseni
Lakini sijawahi kuona zikiwa zimepata ajali.zinamaliza kazi salama zinarudi kupakiWakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupanda mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
Hapo si ndo usalama fulu mzukaAfu ukute njemba tupu demu pekee Yako.
Aisee.