Uchaguzi umekua mgumu, mabinti wengi wameshindwa kutumia uhuru wanaopewa sasa hivi. Umalaya, kuzulula mitaani na kukesha viwanja hot vya mjini wao wanajua ndio uhuru.
Akimalizana na uchafu wote anaona kuna haja ya kutulia. Sasa hapo kijana wa kiume kwenye kuchagua kila ukizama deep unaona past yake ina redflags halafu miaka haikusubiri unaamua kufunika kombe mwana haramu apite, unaoa uyp uyo.
Sasa kutengeneza bond na mtu ambae ana trauma na flashback ya mahusiano yaliyopita ni ngumu sana halafu jasiri haachi asili, mwanamke anamiss maisha yake ya mitoko na party za usiku ndipo hapo wanakuja kushindwana.