tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
Ndoa haina shida yoyote, shida ni wanandoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let this sink in.
Tatizo mnaweka thamani kwa mali anayoongeza, haina uwiano sawa. Alimzalia watoto na bwana Mengi alipata tulizo la roho kutoka kwa mmachame wake.Jacqueline aliongeza nini kwenye mafanikio ya Reginald Mengi?
Hapana, sio kweli. Post #239 nimeelezea vizuri. Hii ya kuonekana yupo juu ni kutokujiamini kwa mwanammeLengo la feminism ni kumshusha mwanaume ili mwanamke aonekane yupo juu.
Ndio maana ya ndoa, hutarajii abaki ulivyomuoa. Na ndio maana ni mkataba wa kukubaliana kubaki pamoja ktk hali zote, nzuri na mbayaHauwezi kuchagua mwenza kama simu. Huyo ni binadamu, na wanadamu tunabadilika. Anaweza kuwa mwema sana mwanzoni, halafu baadaye akawa mwema zaidi au mwovu.
Poleni Wakuu, nyakati hubadirika lakini isiwe sababu ya ninyi Vijana wa kiume kukataa Kuoa hivyo kufikiria kuzalisha watoto kisha kuwalea peke yenu.Nashukuru kwa uelewa wako, hali ni mbaya sana, ndo maana vijana smart swala la kuoa linatufikirisha sana, wengine tunafikria kuzalisha tuu na kubaki kama walezi
Wanachotakiwa Kufahamu Vijana ni kuwa Feminist sio Lazima awe Muhitimu wa chuo au yule Mwanamke Muajiriwa.Unfortunately, hata huyo feminist akiwa anaihitaji ndoa ata-act ni a traditional woman. Jichanganye uone kitakachokukuta.
Utapatiwa haki zako kisheriaUkiyachoka hayo mwanamke unadai talaka na mwanaume atawajibishwa kwa kupoteza sehemu ya mali zake ambapo unapewa wewe kama compensation ya muda na mchango wako kwenye iyo ndoa.
Sasa tubadilishe upande mwanamke ndie umechepuka, mlevi, unachelewa kurudi nyumbani, umebeba mimba nje ya ndoa na mwanaume anataka mtalakiane je sheria itakuwajibisha vipi wewe mwanamke?
Ataachwa bila kupewa chochoteSikubaliani na kuchepuka awe mwanamke au mwanaume vile vile nakubaliana na ukweli kwamba wanaume na wanawake wote wanachepuka
Swali langu ni kwamba, mwanamke akichepuka au akifanya kosa lolote litakalopelekea ndoa kuvunjika, je sheria inamuwajibisha vipi huyu mwanamke?
Suluhisho pekee ni jamii kurudi kwenye msingi wa tendo la ndoa ndani ya ndoa pekee.Wazazi tujitafakari wapi tumekosea katika malezi ya watoto wetu, kwa maana tunazalisha kizazi cha Wanaume waoga wa maisha hivyo kujikuta wao pia wanapenda kulelewa kama Dada zao
Wakati huo huo tunazalisha kizazi cha mabinti zetu ambao wanaona kawaida kuzaa na kulea mtoto/watoto bila Baba 🙌
Kwahiyo mafanikio ya mwanaume yanapimwa kwa idadi ya watoto?Tatizo mnaweka thamani kwa mali anayoongeza, haina uwiano sawa. Alimzalia watoto na bwana Mengi alipata tulizo la roho kutoka kwa mmachame wake.
Tatizo lipo hapo.Ndio maana ya ndoa, hutarajii abaki ulivyomuoa. Na ndio maana ni mkataba wa kukubaliana kubaki pamoja ktk hali zote, nzuri na mbaya
Feminism huijui au unaficha mambo hilo la usawa katika elimu sijui nini ilikuwa nyuma huko 1848(first wave) hii Feminism ya Sasa haipo huko kabisa.Na, lengo kubwa la feminism ni kwamba mwanamke apate fursa sawa ya kielimu, kazi na usawa wa msharahara makazini ili kwamba in the absence of the provider (man) mwanamke na watoto wake wasife na umasikini. Ila kilichoendelea kutokea..... ni kuhasiwa kwa mwanamme. Mwisho wake siku nyuzi kama hizi zinatokea😃
Of course hili litasaidia..Suluhisho pekee ni jamii kurudi kwenye msingi wa tendo la ndoa ndani ya ndoa pekee.
Hiki ndio msingiSuluhisho pekee ni jamii kurudi kwenye msingi wa tendo la ndoa ndani ya ndoa pekee.
Ujinga upi?Sijawahi kufanya ujinga huo.
Kiufupi kuzinia hovyo ni ushambaUjinga upi?