Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa hiyo wewe unatuambia sex umeijua baada ya kuoa?Kiufupi kuzinia hovyo ni ushamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe unatuambia sex umeijua baada ya kuoa?Kiufupi kuzinia hovyo ni ushamba
Ndio inakupasa uwe na tahadhari usimuamini mwanamke kupitilizaUnfortunately, huwezi kujua unaoa nani. Watu hubadilika.
Muwe mnakuja na hoja za maana achaneni ni hii defensive mechanism ya ushoga.Wazungu baada ya kuona ndoa haina maana wameacha wake zao hivi sasa wanatinduana menyewe kwa menyewe je na wewe uko tayari kumiminwA?
😀😀😀😀😀Kuna ile nyingine pacha na hii inasema kila mtoto anakuja na riziki yake. 🤣🤣🤣🤣🤣.
Hii tabia ya wanawake kujipachika kwa mwanaume ambae amesha-set streams za maokoto halafu baadae wanataka kuwa entitled kwenye mafanikio ya mwanaume uyo ni utapeli tu.Au labda tubadilishe swali: Lulu aliongeza nini kwenye mafanikio ya Majizo?
Kuna wana ndoa wana shida sawa lakini vile vile mfumo wa ndoa kama taasisi una shida kubwa sana kwa sababu haupo fair kwa mwanaume na mwanamke.Ndoa haina shida yoyote, shida ni wanandoa.
Vijana wanafikiri u-simp ndio u-gentleman au u-real manWanachotakiwa Kufahamu Vijana ni kuwa Feminist sio Lazima awe Muhitimu wa chuo au yule Mwanamke Muajiriwa.
Hata wale local women wa Vijijini wanaweza kuwa Mafeminist hata kama hajui neno linaitwa Feminism.
Pili Vijana Waache kufanya maamuzi kwa Hisia Wengi huwa Wanaona Red flags Mapema lakini Huwa wanajipa moyo Kutokana na Kuvutiwa na Hao wanawake aidha kwa sababu wanakipato ,,wanamaumbo mazuri au Wapo vizuri kitandani.
Feminist ni kama Simba Kuunguruma hata ajizuie vipi kuna Muda atajisahau ataunguruma.
Tatizo ni pale kijana Simp anapoona Redflags na akajidai yeye ni Gentleman anapuuzia.
Akiingia kwenye Ndoa hapo ndio Feminist anatoa makucha yake Yote kisha yeye anakuja kulalamika kuwa ali-pretend hapo Mwanzo.
KIJANA KUWA NA MSIMAMO WEKA VIGEZO VYAKO SIMAMIA HAPO USIFANYE MAAMUZI KWA HISIA AU USHAWISHI.
Hakuna sheria ya ndoa inayolinda masilahi ya mwanaumeUtapatiwa haki zako kisheria
😀😀😀 wakina dada wa mjini watakufa njaa hapa. Halafu mkuu iphone 16 imeshatoka ujue 😀😀😀😀 hawa wenzetu wataweza kweli kujiziua wasivulie chupi.Suluhisho pekee ni jamii kurudi kwenye msingi wa tendo la ndoa ndani ya ndoa pekee.
Hazihusiki ila kama watoto hawajafika umri wa mtu mzima izo mali zinakua chini ya uangalizi wa mama yao.Nje ya mada kdg.
Ivi Mali walizomilikishwa watoto huwa zinahusika kwenye mgawo kama ikitokea wanandoa kutoelewana na mambo yao yakafika mahakamani.
Hii sasa kama ni msumari wazazi waliyupati kwenye utosi maumivu yake mpk tunakufaKuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.
Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.
Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.
Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.
Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.
Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.
Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.
Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
MapachaJacqueline aliongeza nini kwenye mafanikio ya Reginald Mengi?
Ushauri wako tumuandike nani🤣Hazihusiki ila kama watoto hawajafika umri wa mtu mzima izo mali zinakua chini ya uangalizi wa mama yao.
Kwa mwanaume sio salama sana kuandikisha mali majina ya watoto maana watoto na mama yao lao moja halafu si unajja kuna suala la kubambikiwa watoto unalea unarithisha mali kumbe sio mabao yako
Ni mtihani labda tufanye kama Hakimi, sio rahisi bi mkubwa kukupiga na kitu kizito.Us
Ushauri wako tumuandike nani🤣
Sawa mkuu,hapo bado ni shida tu.Hazihusiki ila kama watoto hawajafika umri wa mtu mzima izo mali zinakua chini ya uangalizi wa mama yao.
Kwa mwanaume sio salama sana kuandikisha mali majina ya watoto maana watoto na mama yao lao moja halafu si unajja kuna suala la kubambikiwa watoto unalea unarithisha mali kumbe sio mabao yako
Akikujibu huyo au mwanamke mwingine yeyote yule, hata kama ni Jadda, nitag.Ukiyachoka hayo mwanamke unadai talaka na mwanaume atawajibishwa kwa kupoteza sehemu ya mali zake ambapo unapewa wewe kama compensation ya muda na mchango wako kwenye iyo ndoa.
Sasa tubadilishe upande mwanamke ndie umechepuka, mlevi, unachelewa kurudi nyumbani, umebeba mimba nje ya ndoa na mwanaume anataka mtalakiane je sheria itakuwajibisha vipi wewe mwanamke?
Hata mimi nilianza kupata hayo mawazo baada ya maelezo yako.Ni mtihani labda tufanye kama Hakimi, sio rahisi bi mkubwa kukupiga na kitu kizito.
Shezi hahahhaha nilikuwa na cheka sana neno kunyanduana mala vuu limekuja na hili khaaa🙌🏿😂😂ni mwendo wa mishenyento tu!