Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #241
Hakuna namna ferminism inaweza kuwa practicable bila kuiangamiza taasisi ya familia.Na, lengo kubwa la feminism ni kwamba mwanamke apate fursa sawa ya kielimu, kazi na usawa wa msharahara makazini ili kwamba in the absence of the provider (man) mwanamke na watoto wake wasife na umasikini. Ila kilichoendelea kutokea..... ni kuhasiwa kwa mwanamme. Mwisho wake siku nyuzi kama hizi zinatokea😃
Na ndio maana taasisi ya familia inahitaji utimamu wa akili kuingia. Kama mtu achaguavyo simu yakutumia au gari la kuendesha, unachukua muda wako kuangalia na kujiridhisha kwamba ni chaguo bora linalokufaa kwa matumizi ya muda mrefu...spare na maintenance yake unaimudu. Kwanini mtu akurupuke kwenye kuchagua mwenza wa maisha yaani mama wa watoto wako?Hakuna namna ferminism inaweza kuwa practicable bila kuiangamiza taasisi ya familia.
Uchaguzi umekua mgumu, mabinti wengi wameshindwa kutumia uhuru wanaopewa sasa hivi. Umalaya, kuzulula mitaani na kukesha viwanja hot vya mjini wao wanajua ndio uhuru.Na ndio maana taasisi ya familia inahitaji utimamu wa akili kuingia. Kama mtu achaguavyo simu yakutumia au gari la kuendesha, unachukua muda wako kuangalia na kujiridhisha kwamba ni chaguo bora linalokufaa kwa matumizi ya muda mrefu...spare na maintenance yake unaimudu. Kwanini mtu akurupuke kwenye kuchagua mwenza wa maisha yaani mama wa watoto wako?
Uchaguzi umekua mgumu, mabinti wengi wameshindwa kutumia uhuru wanaopewa sasa hivi. Umalaya, kuzulula mitaani na kukesha viwanja hot vya mjini wao wanajua ndio uhuru.Na ndio maana taasisi ya familia inahitaji utimamu wa akili kuingia. Kama mtu achaguavyo simu yakutumia au gari la kuendesha, unachukua muda wako kuangalia na kujiridhisha kwamba ni chaguo bora linalokufaa kwa matumizi ya muda mrefu...spare na maintenance yake unaimudu. Kwanini mtu akurupuke kwenye kuchagua mwenza wa maisha yaani mama wa watoto wako?
Sasa huyo mwanamke wa kuruka majoka anaruka peke yake huko? Atapata wa kufanana nae mruka majoka mwenzake, warukeruke wote maana wanawezana. Tatizo wanaume wengi wanategemea wachovyechovye weee halafu akitaka kuoa aoe mtu alietulia. Hapana, atapata mcharuko mwenzake maana ndio kitu pekee anachofahamu, atajuaje jambo zuri ilihali amezoea heka heka? Heka heka kwake ndio nyumabni, atapata hicho hichoUchaguzi umekua mgumu, mabinti wengi wameshindwa kutumia uhuru wanaopewa sasa hivi. Umalaya, kuzulula mitaani na kukesha viwanja hot vya mjini wao wanajua ndio uhuru.
Akimalizana na uchafu wote anaona kuna haja ya kutulia. Sasa hapo kijana wa kiume kwenye kuchagua kila ukizama deep unaona past yake ina redflags halafu miaka haikusubiri unaamua kufunika kombe mwana haramu apite, unaoa uyp uyo.
Sasa kutengeneza bond na mtu ambae ana trauma na flashback ya mahusiano yaliyopita ni ngumu sana halafu jasiri haachi asili, mwanamke anamiss maisha yake ya mitoko na party za usiku ndipo hapo wanakuja kushindwana.
Past ya mwanaume huwa haizingatiwi muhimu awe anajimudu tu kiuchumi ila past ya mwanamke ikiwa mbovu hapo ni kipengere.Sasa huyo mwanamke wa kuruka majoka anaruka peke yake huko? Atapata wa kufanana nae mruka majoka mwenzake, warukeruke wote maana wanawezana. Tatizo wanaume wengi wanategemea wachovyechovye weee halafu akitaka kuoa aoe mtu alietulia. Hapana, atapata mcharuko mwenzake maana ndio kitu pekee anachofahamu, atajuaje jambo zuri ilihali amezoea heka heka? Heka heka kwake ndio nyumabni, atapata hicho hicho
Kizazi chetu hiki kumpata uyo mwanamke sio mchezo. Wanawake wengi wamefanya mapenzi kuwa ajira wanataka kulipwa ili wawe kwenye mahusiano.Ukimpata mwanamke smart,strategist and hard worker unaunganisha na jitihada zako inasaidia kufikia malengo kwa haraka zaidi...
"If u want to go fast,go alone. if u want to go far,go together"
Wazungu baada ya kuona ndoa haina maana wameacha wake zao hivi sasa wanatinduana menyewe kwa menyewe je na wewe uko tayari kumiminwA?Yote unaweza kuyafanya hata bila kuoa, na in fact waoaji wengi huwa tayari washayafanya hayo! Ndoa ni scam tu japo mie nimeoa na naishi kwa amani na furaha na mke. Lakini contribution yake ya maana ni kunipa uchi tu, otherwise ni zero ila yeye anaamini asiponipikia siwezi kufanya kazi wala kupata mafanikio, wakati mimi najua naweza kula na kujifanyia mambo yangu bila shaka yoyote! Haya mambo walitulietea wazungu na sasa hata wao wanaona yamepitwa na wakati. Nipo tayari kwa povuz...
Mwangali fwara. huyu hizi takataka ndo maroli modo wako sio?Diamond yuko single
Ali Kiba yuko single
Kwanza kama hujaoa hata uwe na miaka Mia bado we ni Mtoto Tu.Kujielewa ni subjective! Unamaanisha nini kujielewa? Can you define? Inawezekana kujielewa ulivyokariri wewe ni tofauti na mie sana, ila kumbuka nimeoa na ninaishi kwa furaha na mke na watoto. Ukichukua yangu akili kichwani kwako hii ni JF where we speak openly
Samahani kwa hili swali je Mama ako Aliolewa au hakuolewa Alivyokupata wewe?Nije na takwimu kwamba huwa ninazagamua na sija oa !!!!! Upo serious kweli master?
hakika yaan ukiwakuta wakiwa slay queen hawashikiki...Kizazi chetu hiki kumpata uyo mwanamke sio mchezo. Wanawake wengi wamefanya mapenzi kuwa ajira wanataka kulipwa ili wawe kwenye mahusiano.
Mwanamke ni mpaka akichezewa na kupoteza kabisa attentions za wanaume ndipo anarudi nyuma na ku-adopt izo characters ulizozitaja.
Ndio maana unakuta wanawake wengi ambao wana sense ya upambanaji ni single mothers na 30+ years
Hahahaaaa... unakaribia kujinyonga kwa uzi wako mwenyewe. Ndio maana wanawake wenye akili wakiona hii, anajua kabisa haiwezekani wanawake wote aliopita nao wana shida. Tatizo ni mwanamme mwenyewe. Mwanamme anayeweza kutawala tamaa zake ametatua 3/4 ya matatizo yaliopo ktk jamii. Usemacho ndio double standards zenyewe. Kijana wakiume aliyelelewa akiona baba yake ana wanawake kila mtaa, au kwenye msiba wa baba yake anatambulishwa ndugu zake wengine anaandaliwa kutengeneza ndoa mbaya na mfano mbaya wa baba wa familia. Anafeli kabla hata hajaingia.Past ya mwanaume huwa haizingatiwi muhimu awe anajimudu tu kiuchumi ila past ya mwanamke ikiwa mbovu hapo ni kipengere.
Kwanza kama hujaoa hata uwe na miaka Mia bado we ni Mtoto Tu.