"Mbaya zaidi Ngoma hiyo inapigwa na wanawake wasiokuwa na maadili"Vijana wamepumbazwa na ulimwengu wa ufeminia, wanacheza ngoma ya wanawake mbaya zaidi ngoma iyo inapigwa na wanawake wasiokua na maadili, makahaba, malaya wastaafu na wenye past chafu.
Kila mdundo vijana wakiwekewa na hawa wanawake wanaucheza tu. Wakiambiwa bikira sio ishu wanakata viuno, kuoa single mother sio ishu wanamwaga mauno tu, past doesn't matter, kukubali kulea mtoto wa kubambikiwa ni baraka vijana wao ni viuno mbele mbele tu.
Vijana simp wanajikuta gentlemen. Hawajui tofauti ya simp na real man, hawajui kama hawa wanawake wa kisasa wanatumia advantage ya ujinga wao.
They can't ask themselves even simple questions. If past doesn't matter then why women often lie about their body count?, if she think it's ok to manipulate a man and take advantage of his loyalty, kindness and resources the why she cant tolerate it if another woman do that to her brother or son?
Vijana should know that they deserve same level of respect women demand for their fathers, brothers and sons.
Too sad na hao soiled women ndio walioshikilia hili gudumu la mabadiliko ya kijamii, yaani hao wanawake wasiokuwa na staha Wabishi,wataraka,makahaba wastaafu,wasimbe,wavaa nusu uchi,sijui malikia wa nguvu ndio wanaosikilizwa sana kwenye Jamii yetu na ndio maana hata vitu ambavyo vinakuwa normalized siku hizi ni vya ajabu ajabu tu.
Na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kubrainwash akili za vijana wa kiume, leo hii mtoto wa kiume anaona ni fahari kuishi kwa kutimiza matamanio ya Soiled woman..
Leo hii kijana anaona kuoa bikra ni jambo lililopitwa na wakati, ila akioa single mother wa watoto wawili Tena wa baba tofauti ni jambo linaloaishiria ukomavu wa fikra na ni kukaribisha baraka.... Upuuzi mtupu.
Leo hii kijana ameambiwa akimfumania mke wake anachepuka inapaswa akae chini ajiulize yeye mwenyewe amekosea wapi mpaka mkewe anachepuka, na yeye kweli amekubaliana na huu upumbavuu....na ndio maana tunaona siku hizi wanato.mbewa tu wake zao.
Leo hii kijana ameambiwa kufanya DNA test ya watoto wake ni aina Fulani ya ukatili kwa watoto na ni ishara ya kutokujiamini.....na yeye kweli ameingia mkenge ndio maana wanalea tu mabao ya wanaume wenzao huku wake zao wakiwadharau sana moyoni.
Vijana wamekuwa manipulated na Sasa hivi ni watumwa wa wake zao bila ya wao kujua. Kama Kuna generation ya ovyo ya wanaume tangu ulimwengu unaanzishwa basi ni hii ya Sasa, kwa sababu imefundishwa kuukumbatia ushenzi wa mwanamke ni ustarabu na kusimamia maadili ni ukandamizaji.