Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 474
- 700
Yani Ukioa unafungulia Riziki Ukiona Hivyo Hizo ni Familia maskini akili finyu wanawaza Ugali kula na Kushiba tuu hawawazi Mengine kifupi Akili ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo unavyotaka wewe ni ngumu kutokea kwa wakati huu ni vizuri ukawa na solution kwa kuzingatia mazingira ya sasa tofauti na hapo utakuwa unapoteza muda wako ndio maana mnashindwa kuelewana na Dei Gratia RexShukrani sana madam, kwa kuchangia nasi uzoefu..
Unajua shida ni unfair playing ground ya kusuluhisha migogoro ya ndoa kisheria sanasana kipengere cha child support nankugawana mali, mwanaume anakandamizwa sana.
Ndipo hapo wanaume wanaanza kuhoji mfumo mzima wa ndoa ukifuatilia hata kwa watu maarufu kuna trend ya kuanza kuandika mali zao majina ya mama mfano alikiba, diamond, burnaboy tayari walishaweka wazi mali zao wameandika majina ya mama zao kwaiyo hata wakioa na kutalakiana mwanamke hatopata chochote.
Ni hizi loopholes zinazompa mwanamke entitle kwenye mali na kipato cha mwanaume ndizo zinawafanya baadhi ya wanawake wabaya kuzitumia kama advantage kujipatia mali/utajiri kutoka kwa wanaume na kuaribu taswira ya wanawake wote.
Msikariri. Kuna wanaume wengi tu wamebadilishwa POSITIVELY na wanawake walio waoa.Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.
Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.
Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.
Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.
Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.
Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.
Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.
Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Au kuwa na watoto wengi! Ujinga ujinga tuKuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.
Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.
Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.
Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.
Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.
Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.
Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.
Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Kwaiyo unataka tupotezee baadhi ya vigezo muhimu ili kuendana na maisha ya sasa. Sitaki kuamini kwamba wewe ni mmoja ya vijana ambao mmepumbazwa na mfumo jike kama uyo jamaa uliemtag.Hivyo unavyotaka wewe ni ngumu kutokea kwa wakati huu ni vizuri ukawa na solution kwa kuzingatia mazingira ya sasa tofauti na hapo utakuwa unapoteza muda wako ndio maana mnashindwa kuelewana na Dei Gratia Rex
Kama mwanaume unahitaji mwanamke ndie aje kukubadilisha katika maisha yako basi utakua na shida sehemu. Bila shaka hata katika iyo ndoa mke ndie atakua mume.Msikariri. Kuna wanaume wengi tu wamebadilishwa POSITIVELY na wanawake walio waoa.
Kuna maujinga mengi sana tumekalilishwa. Halafu sasa waliotuletea izo ndoa wao wenyewe washaanza kuzipuuza ila sisi ndio tunaona kitu cha maana.Au kuwa na watoto wengi! Ujinga ujinga tu
Kupata bikra kipindi hiki ni ngumu hasa kwa sisi ambao tunapenda wanawake wazuri wa sura na tabia njema labda wenye sura za baba au watoto wa shule ndio angalau unaweza ukapata uko. Jambo Muhimu zaidi inakupasa uangalie kwa mwanamke yule ambaye yeye mwenyewe atakupenda na kukuheshimu na kukuthamini na past yake pia umuhimu kuangalia sio lazima awe bikra angalau awe na body count ndogo mimi nipo kwenye mahusiano huu ni mwaka wa 4 manzi wangu nimemkuta akiwa sio bikra ila napata vitu vingi ninavyohitaji kwa mwanamke manzi ananiheshimu mno yaani hata akiwa anaenda sehemu lazima aniage, nikimwita lazima aje hata kama anaumwa, kuna wakati nikikwama huwa ananisaidia tena bila hata malalamiko wala mimi kumuomba anisaidie, mvumilivu hata pale ninapokuwa kwenye situation ngumu zaidi ananipa moyo na ananipa muda au distance mpaka nikae sawa, ni msikivu na muelewa ukimwambia hiki sitaki huwa afanyi mwisho kabisa demu ni pisi na yupo full package ana shape na tako.Kwaiyo unataka tupotezee baadhi ya vigezo muhimu ili kuendana na maisha ya sasa. Sitaki kuamini kwamba wewe ni mmoja ya vijana ambao mmepumbazwa na mfumo jike kama uyo jamaa uliemtag.
Kwanini ni wanaume ndio tunatakiwa kushusha standards za wanawake linapokuja suala la kuoa wakati wanawake wao hawataki kisingizio wanapoangalia standards ya mwanaume wakati wa kuolewa?.
Nasikitika sana kuona namna mfumo jike umealibu vijana wa kiume, sio ajabu mtu kama wewe unaeona kigezo cha bikira hakina umuhimu na kimepitwa nanwakati ukawa na mawazo kwamba kuoa single mother au kupuuza past chafu ya mwanamke ndio uanaume.
You are a man, you spend your entire life building your value, so value is what you deserve in return. don't settle for less.
Mkuu kuoa sio suala la kujaribu au kubahatisha. Ukioa maana yake unayaweka maisha yako mikononi mwa mkeo. Muda pekee ambao mwanaume unakua na advantage kwenye mahusiano ni kile kipindi ambacho bado upo bachelor, ukioa tu unaingia kwenye mfumo wa mwanamke hapa kukuacha salama aamue kufanya uungwana tu.
Usipumbazwe na haya mambo unayoambiwa sijui ishi nae kwa akili, inforior complexity n.k. ukajiona kidume. Hata ukiwa alpha male ukikosea kuoa utakabaliana na consequencies zile zile atakazokabiliana nazo simp.
Take your time to vet her, surveilling her, judge her hashly based on her past. You are choosing a person that your life will be trusted to.
Falme imara zimeanguka, biashara zimeanguka, wanaume wenye nguvu wameanguka, familia zimeteketea kwa sababu ya kukosea kuoa. You are not special.
Bila shaka hapa unatetea zaidi maamuzi uliyoyafanya kwa ku-settle na mwanamke ambae haujamkuta bikira lakini tukiweka pembeni iyo case study ya mahusiano yako. Katika vipengere vya maadili, saikolojia, kujitunza, mila, dini na heshima ya mwanaume bila shaka non- virgin waman hauwezi kumweka kwenye mzani sawa na virgin woman.Kupata bikra kipindi hiki ni ngumu hasa kwa sisi ambao tunapenda wanawake wazuri wa sura na tabia njema labda wenye sura za baba au watoto wa shule ndio angalau unaweza ukapata uko. Jambo Muhimu zaidi inakupasa uangalie kwa mwanamke yule ambaye yeye mwenyewe atakupenda na kukuheshimu na kukuthamini na past yake pia umuhimu kuangalia sio lazima awe bikra angalau awe na body count ndogo mimi nipo kwenye mahusiano huu ni mwaka wa 4 manzi wangu nimemkuta akiwa sio bikra ila napata vitu vingi ninavyohitaji kwa mwanamke manzi ananiheshimu mno yaani hata akiwa anaenda sehemu lazima aniage, nikimwita lazima aje hata kama anaumwa, kuna wakati nikikwama huwa ananisaidia tena bila hata malalamiko wala mimi kumuomba anisaidie, mvumilivu hata pale ninapokuwa kwenye situation ngumu zaidi ananipa moyo na ananipa muda au distance mpaka nikae sawa, ni msikivu na muelewa ukimwambia hiki sitaki huwa afanyi mwisho kabisa demu ni pisi na yupo full package ana shape na tako.
Kuhusu ugumu wa kupata bikira kwa kiasi kikubwa umetokana na wanaume kukubali kuzishusha standards zetu. Zaman non-virgin women walikua accountable(hawatolewi mahari na jamii inawatambua kama malaya).Kupata bikra kipindi hiki ni ngumu hasa kwa sisi ambao tunapenda wanawake wazuri wa sura na tabia njema labda wenye sura za baba au watoto wa shule ndio angalau unaweza ukapata uko. Jambo Muhimu zaidi inakupasa uangalie kwa mwanamke yule ambaye yeye mwenyewe atakupenda na kukuheshimu na kukuthamini na past yake pia umuhimu kuangalia sio lazima awe bikra angalau awe na body count ndogo mimi nipo kwenye mahusiano huu ni mwaka wa 4 manzi wangu nimemkuta akiwa sio bikra ila napata vitu vingi ninavyohitaji kwa mwanamke manzi ananiheshimu mno yaani hata akiwa anaenda sehemu lazima aniage, nikimwita lazima aje hata kama anaumwa, kuna wakati nikikwama huwa ananisaidia tena bila hata malalamiko wala mimi kumuomba anisaidie, mvumilivu hata pale ninapokuwa kwenye situation ngumu zaidi ananipa moyo na ananipa muda au distance mpaka nikae sawa, ni msikivu na muelewa ukimwambia hiki sitaki huwa afanyi mwisho kabisa demu ni pisi na yupo full package ana shape na tako.
Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Mimi binafsi sipendi kuwa na mahusiano na mwanamke bikra kwasababu napenda mwanamke mwenye ufundi hata kama sio fundi kitandani basi awe ananipa ushurikiano na pia awe na vitu muhimu kama shape au tako ndio maana nikakuambia sioni kuwa nimeshusha standard zangu wakati hayo ndio mahitaji yangu.Kuhusu ugumu wa kupata bikira kwa kiasi kikubwa umetokana na wanaume kukubali kuzishusha standards zetu. Zaman non-virgin women walikua accountable(hawatolewi mahari na jamii inawatambua kama malaya).
Sasa hivi mwanamke kapewa uhuru wa kufanya ngono kiholela holela bila kuwa accountable kwa yoyote, mwanaume pia kapandikizwa mfumo jike kichwani(ambao unaratibiwa na wanawake wasiokua na maadili na wenye past chafu)
Mfume jike huu umempumbaza mwanaume kuamini kwamba he should lower his standards and overlook woman's disrespects, stupidity and her dirty past life.
Tukizijua thamani zetu na kuwa-hold accountable wanawake na wao watajirudi
Poa. Najua huwezi kuelewa na pengine ni kwa sababu upo more theoretical kuliko hali halisi ya maisha watu wanayoishi. Maisha ya ndoa moja hayafanani na ndoa zote, kila ndoa kuna namna wana operate maisha yao tofauti sana na unvyofikiri. Usipende sana ku generalize mamboKama mwanaume unahitaji mwanamke ndie aje kukubadilisha katika maisha yako basi utakua na shida sehemu. Bila shaka hata katika iyo ndoa mke ndie atakua mume.
Hayo sio mahitaji yako usibadilishe gia angani. Umekubali kuingia kwenye mfumo jike kwa kigezo kwamba kusimamia standards kwa sasa ni ngumu. Ndio maelezo yako ya mwanzo uko juu.Mimi binafsi sipendi kuwa na mahusiano na mwanamke bikra kwasababu napenda mwanamke mwenye ufundi hata kama sio fundi kitandani basi awe ananipa ushurikiano na pia awe na vitu muhimu kama shape au tako ndio maana nikakuambia sioni kuwa nimeshusha standard zangu wakati hayo ndio mahitaji yangu.
Mimi naongelea mfumo siongelei ndoa moja moja. Ukiangalia mfumo wa taasisi ya ndoa umesukwa kumkandamiza mwanaume.Poa. Najua huwezi kuelewa na pengine ni kwa sababu upo more theoretical kuliko hali halisi ya maisha watu wanayoishi. Maisha ya ndoa moja hayafanani na ndoa zote, kila ndoa kuna namna wana operate maisha yao tofauti sana na unvyofikiri. Usipende sana ku generalize mambo
Wewe unalalia sana upande mmoja,kabla ya kusema kwamba feminism ina wapumbaza wanaume na kuwafanya washushe standards zao (ikiwemo kutozingatia masuala ya virginity). Inatakiwa ujiulize anayefanya huo uharibifu kwa wasichana ni nani ?. Haiwezekani wanaume tukafanya uharibifu sisi wenyewe afu tukatae kukubaliana na uhalisia uliopo.Kuhusu ugumu wa kupata bikira kwa kiasi kikubwa umetokana na wanaume kukubali kuzishusha standards zetu. Zaman non-virgin women walikua accountable(hawatolewi mahari na jamii inawatambua kama malaya).
Sasa hivi mwanamke kapewa uhuru wa kufanya ngono kiholela holela bila kuwa accountable kwa yoyote, mwanaume pia kapandikizwa mfumo jike kichwani(ambao unaratibiwa na wanawake wasiokua na maadili na wenye past chafu)
Mfume jike huu umempumbaza mwanaume kuamini kwamba he should lower his standards and overlook woman's disrespects, stupidity and her dirty past life.
Tukizijua thamani zetu na kuwa-hold accountable wanawake na wao watajirudi
Umeelewa exactly nilichokimaanisha, kasoro hapo mwisho hapo uliposema kama haupo makini na maisha inabidi uoe fasta kidogo kuna ukakasi maana unaweza kuoa mwanamke wa ovyo halafu ndio ukazidisha tatizo badala ya kulipunguzq/kulimaliza.Ebana hii narrative ya kwamba ukioa ndo utapata mafanikio haiko sawa.. kwa mtazamo wangu
Ungesema ukioa mwanamke mwenye akili na upendo wa dhati ndo utazid kufanikiwa hapo ningekuelewa
Si kila mwanamke ataleta positive change kwenye maisha yako eti kisa umemuoa.. hapo utakuw umeenda chaka.
Lkn pia naona it's all about how serious you are.. km upo serious na maisha, waweza nunua viwanja, Jenga minyumba, ukawa na biashara na mafanikio hata bila kuoa.. kuoa ni swala la maamuzi tu ya badae na halitakiw kuwa kipaumbele.
Sasa km hauna nidhamu na pesa hapo ndo utahitaji mtu wa kukuhoji na kukupangia namna ya kuitumia vzuri hyo pesa, sasa km wewe ni wa aina hyo, basi itabid uoe fasta ili umpate uyo mnyampara atayekusimamia siku zote.. ili umpe credit badae eti yey ndo kakuletea mafankio.
Suala la uharibifu wa wanawake iyo ni topic nyingine ya kujadiliwa kivyake. Unaweza ukaifungulia thread na nakuahidi nitakuja kuchangia mada.Wewe unalalia sana upande mmoja,kabla ya kusema kwamba feminism ina wapumbaza wanaume na kuwafanya washushe standards zao (ikiwemo kutozingatia masuala ya virginity). Inatakiwa ujiulize anayefanya huo uharibifu kwa wasichana ni nani ?. Haiwezekani wanaume tukafanya uharibifu sisi wenyewe afu tukatae kukubaliana na uhalisia uliopo.
Ni kweli wanaume hawatakiwi kushusha standards zao, lakini katika uhalisia gani uliopo Sasa ?