Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Suala la uharibifu wa wanawake iyo ni topic nyingine ya kujadiliwa kivyake. Unaweza ukaifungulia thread na nakuahidi nitakuja kuchangia mada.

Lakin kuhusu tunachojadiliana hapa naomba ieleweke kwamba ninaposisitiza umuhimu wa purity ya mwanamke haimaanishi kwa nakubaliana na wanachokifanya hao wanaume uliowahita waaribifu.

Ku-settle na demaged woman eti kisa izo demages zimesababishwa na mwanaume mwenzangu huo ni upuuzi ambao siwezi kukubaliana nao katika maisha yangu.

Na kwa hii mentality yako bila shaka wewe ni mmoja ya wale nice guys ambao wanawake demaged, age, broken,traumatized and retired hoes huwa wanawatumia kama retirement plan
Hakuna cha u nice guy wala nini.
Sema tu ww hutaki kutolewa kwenye mstari wako.
 
Hii mada yamoto sana. Ila naamini ugumu wa upatikanaji wa bikra umesababishwa na wanaume waliopochukulia poa kuoa mwanamke bila bikra basi wanawake wakaanza kuzitoa hata kwa chipsi yai.

Jamii ya kiume ikiweka mkazo hakuna kuoa bila bikra hawa wanawake watajitunza kama zamani tu.

Ila mwisho wa yote maisha ya wanawake siku hizi za ufeministi ni magumu sana, mfumo huu ushastukiwa na wanawake wana suffer the consequences
 
Hapo kwenye chipsi yai, msichana ndiye anayetolewa bikra na Mwanaume.

Inatakiwa sisi wanaume tuache kabisa kufanya uharibifu kwa wasichana.
 
Kama msichana akiomba chochote kutoka kwa wanaume, asaidiwe tu kama inawezekana, lakini asiombwe mzg kufidia alichopewa.
 
Hii mada yamoto sana. Ila naamini ugumu wa upatikanaji wa bikra umesababishwa na wanaume waliopochukulia poa kuoa mwanamke bila bikra basi wanawake wakaanza kuzitoa hata kwa chipsi yai.

Jamii ya kiume ikiweka mkazo hakuna kuoa bila bikra hawa wanawake watajitunza kama zamani tu.
Mmoja ya wanaume waliosababisha hii kitu yupo uko juu anawatetea non-virgin women hata hajiulizi kwanini wanawake hawaji hapa kujitetea wao wenyewe.

Ukitaka mwanamke akuone fala wewe jifanye tu nice guy, women hates that shit.

Infact hao wanawake anaowatetea wanamuona kama hii katuni pichani
Screenshot_20241028_185542_Google.jpg
 
Upo kwenye Imaginary line.
Kati ya mimi na wewe ni nani yupo kwenye imaginary line?

Mimi nakubali wanawake bikira wapo na wasio bikira wapo lakini linapokuja suala la kuoa it safe to go for a virgin woman

Wewe umebaki kwenye narrative yako kwamba hakuna mwanamke bikira kwenye jamii sasa.

Nani yupo kwenye imaginary line hapa? au haujui hata maana ya imagination?
 
U

Mabikira wapo wapi ?, Wewe mwenyewe ulishindwa hata kutetea hoja ya bikira
 
Huo Uhuru mnaoudai wengine wameishia kubaya

wengi hujikuta katika starehe ambazo zinawaletea hata ukilema, ulevi kupindukia, maradhi coz Ile jeuri ya kuwa mwenyewe wala hupangiwi cha kufanya ndio hupotea,

Tuwekane Sawa
Mnapingandoa au mnapinga kuishi na mwanamke?
Mkuu una uhakika yote hayo hawayapati walio kwenye ndoa mana wengi tunaishi nao na tuyaona.
 
Umeandika mambo mengi but you have to understand that ni sisi wenyewe ndiyo tunaofanya uharibifu kwenye virginity. Au umesahau definition yako ya bikira uloitoa.

Msichana hata Kama akutege vipi unatakiwa kumkwepa ili kuhakikisha wasichana bikira wanakuwepo mtaani.

Mimi sipo hapa kutetea KE, nipo hapa kuzungumzia reality iliyopo kwenye jamii.
Hapo sasa ndio kila mtu atakutana na consequences za maamuzi yake. Lakini kusema kwamba wanawake wafanye ngono kwa hiyari yao halafu ukifika muda wa kuolewa waonekane victim kwa kukosa bikira iyo haipo.

As long as wanawake hawana maadili na wanaendekeza tamaa basi wataendelea kutumika nankuachwa tu.

Ukitaka kujichukulia kigoli au kuchukua demaged woman kwa sababu izo demages zake zimesababishwa na mwanaume mwenzako basi huo ni uamuzi wako, but personally i can't accept that shit into my life.
 
U

Mabikira wapo wapi ?, Wewe mwenyewe ulishindwa hata kutetea hoja ya bikira
Nimeshindwa kutetea au nimeshindwa kukufurahisha? uko juu nimekuandikia umuhimu wa bikira kiroho, kitamaduni, kidini,kijamii na kisaikolojia na comment yenyewe ni hii hapa?
Kimila na kidini non-virgin woman anatambulika kama malaya. Tatizo tunaishi katika nyakati ambazo dunia imemezwa na ufeminia ambapo mwanaume kanyong'ezwa na kupandikizwa fikra kwamba kusimamia misingi yake ni ukatili na kukubali kuingia kwenye mfumo wa mwanamke ndio ustaarabu(wewe pia unaingia kwenye hili kundi)

Tutaandika hapa kila kitu lakini ukweli unabaki kuwa bikira ni kigezo muhimu sana cha kuzingatia linapokuja suala la kuoa.

Kimaadili mwanamke bikira ni kiashiria cha kwamba amejitunza na kuheshimu mwili wake.

Kijamii inalinda heshima na hadhi ya mwanaume. Kuna dhiaka na dharau unaweza kukutana nazo ukioa mwanamke ambae uchi wake ushafunuliwa na wanaume wengine.

Kidini bikira ni kigezo pia ndio maana wanawake wasiokua bikira hawakuwa na uhalali wa kutolewa mahari nanpia imeamliwa wapigwe mawe mpaka kufa.

Waumini wa masuala ya kiroho pia wanaamini kila mwanamke anabeba roho za wanaume wote aliofanya nao sex, kwaiyo ukishiriki nae sex nawe pia unachukua roho za waliokutangulia sasa kama walikua na laana au mikosi nawe unazibeba pia

Kisaikolojia vile vile kutengeneza chemistry ya sex na mwanamke ambae ana flashback ya kufanya sex na wanaume wengine ni ngumu ukikinganisha na yule ambae anamjua mwanaume mmoja tu, na hapa ambapo hii chemistry inakosekana ndipo instict ya kucheat inaanzia.

Hakuna kigezo kimoja pekee ambacho non-virgin woman anaweza kupiga KO virgin waman. Lakini tunavigezo vingi ambavyo vikisimamishwa kimoja tu virgin woman anampiga KO non-virgin.

Tutatetea mademu na wake zetu kwa sababu hatukuwakuta bikira lakini ukweli unabaki pale pale mwanamke bikira na ambae sio bikira hauwezi kuwaweka kwenye mzani mmoja
 
Mkuu una uhakika yote hayo hawayapati walio kwenye ndoa mana wengi tunaishi nao na tuyaona.
Kuna watu hapa hawajaelewa msinginwa hoja yangu ndio maana unaona wanakuja na hoja ambazo ni subjective sana. Wanaongea mambo ambayo kuyafanikisha au kutoyafanikisha hakuna uhusiano wa moja kwa moja na ndoa. Uko juu nimeona jamaa kasema ukioa unapata akili ya kununua kiwanja, hovo suala la kununua kiwanja kweli napo ni mpaka uoe..!
 
Hayo sio mahitaji yako usibadilishe gia angani. Umekubali kuingia kwenye mfumo jike kwa kigezo kwamba kusimamia standards kwa sasa ni ngumu. Ndio maelezo yako ya mwanzo uko juu.

Jiulize kwanini iwe lazima wewe kushusha standards za mwanamke ili uwe nae na sio mwanamke kushusha standards zako ili awe na wewe?. You have been brainwashed with feminism world.

Ni sawa kufanya kosa, kila binadamu anakosea lakini sio sawa kuhalalisha ilo kosa kwa sababu tu halijakuletea madhara mabaya wewe binafsi. Accept the fact that you lower your standards and decided to settle for less.
Hilo la bikra nimezungumzia kiujumla sio kwamba nimebadilisha gia angani but kwa upande wangu binafsi bikra kwangu sio hitaji langu
 
Hilo la bikra nimezungumzia kiujumla sio kwamba nimebadilisha gia angani but kwa upande wangu binafsi bikra kwangu sio hitaji langu
Hapo umeeleweka, vile vile mimi siongei kwa kukulenga wewe peke ake naongea kwa ujumla. Kwa ujumla mwanamke bikira anampiga knock out ambae sio bikira

Kama kuna kipengere katika past ya partner wako unalazimika kukitetea maan yake ilo ni kosa la ufundi ulilifanya katika uchaguzi wako.

Ni sawa kosa ilo linaweza lisikusababishie madhara mabaya wewe binafsi lakini sio sawa kulihalalisha ili lionekane sio kosa.
 
Kuna watu hapa hawajaelewa msinginwa hoja yangu ndio maana unaona wanakuja na hoja ambazo ni subjective sana. Wanaongea mambo ambayo kuyafanikisha au kutoyafanikisha hakuna uhusiano wa moja kwa moja na ndoa. Uko juu nimeona jamaa kasema ukioa unapata akili ya kununua kiwanja, hovo suala la kununua kiwanja kweli napo ni mpaka uoe..!
Yani watu wanatoa sababu zakinyonge kweli wanaume tumekuwa watumwa hivi kweli mm nishindwe kula vzr, kujenga nyumba nzuri, kuwa na mali inshort kuwa na maendeleo kisa sijao hilo ni tatzo ambalo lipo in general to both sex hata wanawake wapo wanalo pia hawawazi kujenga wala kuwa na maendeleo yoyote nasikitika et mwanaune mzima unakiri siwezi kujenga au kuwa na maendeleo kisa sijaoa matumizi binafs ya akili yako ndiyo tatizo.
 
Back
Top Bottom