Dei Gratia Rex
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 423
- 696
Hakuna cha u nice guy wala nini.Suala la uharibifu wa wanawake iyo ni topic nyingine ya kujadiliwa kivyake. Unaweza ukaifungulia thread na nakuahidi nitakuja kuchangia mada.
Lakin kuhusu tunachojadiliana hapa naomba ieleweke kwamba ninaposisitiza umuhimu wa purity ya mwanamke haimaanishi kwa nakubaliana na wanachokifanya hao wanaume uliowahita waaribifu.
Ku-settle na demaged woman eti kisa izo demages zimesababishwa na mwanaume mwenzangu huo ni upuuzi ambao siwezi kukubaliana nao katika maisha yangu.
Na kwa hii mentality yako bila shaka wewe ni mmoja ya wale nice guys ambao wanawake demaged, age, broken,traumatized and retired hoes huwa wanawatumia kama retirement plan
Sema tu ww hutaki kutolewa kwenye mstari wako.