Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Siku zote chanzo huwa ni nyie, hawezi chepuka bila sababu yoyote ile ilhali alikupenda na akakubali kuolewa na wewe
Sikubaliani na kuchepuka awe mwanamke au mwanaume vile vile nakubaliana na ukweli kwamba wanaume na wanawake wote wanachepuka

Swali langu ni kwamba, mwanamke akichepuka au akifanya kosa lolote litakalopelekea ndoa kuvunjika, je sheria inamuwajibisha vipi huyu mwanamke?
 
Kuto Kuoa ama Kuoa hakuwezi kukufanya ufanikiwe ama ushindwe.

Japo Kuoa Kuna nafasi kubwa sana za kukufanya Ufanikiwe.

~Unapooa, kama hujanunua kiwanja utaanza kufikiria kununua na kujenga
~Utaachana na kubadirisha Wanawake, hivyo utakuwa na nafasi ya kutulia na Mwanamke mmoja ambaye mtafanya naye maisha
~Kama ulikuwa na kawaida ya kukesha Baa, Unapooa lazima utaacha hiyo tabia hivyo kukufanya upate muda mwingi wa kujiuliza na kutafakari kuhusu maisha na kuja na mawazo mbadala ya kufanya kuongeza kipato
~Unapata heshima tofauti na ukiwa single, hivyo ni rahisi kuaminiwa Kwa nafasi mbalimbali Kazini hata biashara. Nafasi ambazo zinaweza kukuongezea kipato n.k

Vijana oeni Kwa mustakabali wa maisha yenu ya sasa na baadaye
Ukiwa mtu wa bata na anasa kiasi zinakuendesha na kukutawala ushindwe kufikiria future yako basi hilo ni tatizo serious na silioni likiwa solved through marriage.

Kwasababu ukiwa mtu wa hivyo kuna possibilities nyingi ukaangukia kuoa demu mwenye mbanga hizo hizo za viwanja.

Na baada ya hapo ukajikuta sasa matanuzi yanaongezeka kwasababu kwenye meza ya bar tayari mko wawili wakati mwanzo ulikuwa peke yako.
 
Hoja yako ni nzuri ulichokosea ni kitu kimoja haujaclassify generation ipi ya ndoa? Maana ndoa za zamani zimedumu na zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno hata sisi wengine ni product za hizo ndoa ni kwasababu wazazi wetu kila mmoja wao anajua jukumu lake na hata mafanikio yenyewe yamechangiwa na uimara wa mama zetu bila kupepesa macho unaona kabisa. Wewe ulitakiwa ujikite kwenye hii generation ya wanawake wa sasa je wana quality kama za mama zetu hawa je ni productive wanastahili kuolewa? Wanamchango wowote? Maana unaweza ukapingwa na watu kwenye uzi wako kumbe unayepingana nae ni wa kizazi cha Zamani na ndio waliobahatika kupata wanawake wa maana mfano mzuri Grahams
UKisoma andiko langu utagundua nimewalenga vijana nafikiri unajua vijana wanacheza kwenye interval gani ya umri
 
Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
Kuna efu kumi hapa kama ukinitajia mke wa Yesu.

Au kama hiyo itakuwa ngumu basi nitajie mwanamke yeyote tu ambaye aliwahi ku date naye kwenye zama zake.

Halafu uniambie kivipi Pope ni kiongozi mkubwa na mwenye power duniani halafu hajaoa
 
Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
Sasa kila ntu akiwa Rais inakuwaje? Watu wote hamuwezi kuwa viongozi.
 
Endelea na punyeto mpaka siku uje kusahau jina lako ...Uzinzi sio mzuri ila tambua binadamu ana vitu vya asili , kimoja wapo ni kushiriki tendo la ndoa ndio maana unaanza kutokwa na mbegu ukifika umri fulani sio bure hizo .

Ulianza sex baada ya kuingia kwenye ndoa?
 
But haujawa specific umejumuisha ndio maana wengi wanaokupinga reference wanayoitumia based on ndoa za zamani
Nafikiri wengi wa ambao huwa hasanielewi ninkwa sababu naongea mambo ambayo yapo deep kidogo na yanatofautiana na misingi tuliyokalilishwa tangu utotoni. Hizi code kuzifungua inabidi uitoe akili nje ya matrix

Nitajitahidi kutumia lugha rahisi
 
Umezungumza kitu kama “hao wazee wanaowashauri vijana waoe maisha yao nao ni mabaya kwa maana kuoa kungekuwa kunarahisisha maisha wasingekuwa maskini bado kama walivyo” ukiunganisha na ulivyomaliza pale chini ndipo hoja yangu iliposimama.

Kwamba wewe binafsi upo ktk hatua gani kwanza kiumri,kimafanikio huku ukimuiga baba yako tajiri mwenye tofauti na hao wazee uliowataja hapo juu?
TUKIWAULIZA MNAOA/KUOLEWA KWA MADHUMUNI GANI MATAJIBU?

hawa vijana wanaokimbilia ndoa hawanaga sababu ya maana, zaidi ya kufuata mkumbo/ngono ya bure na upuuzi ufananao na huo, na kwa mwanamke anaolewa ili ajenge status ktk jamii na kujikomboa kiuchumi, hakuna sababu za msingi.

Ewe kijana&binti, kataa ndoa za mchongo, hasa kwa mwanaume, usioe mpaka uwe stable kiuchumi, oa ukiwa na hakika ya kumlisha binti wa watu kwa nyakati zote, oa ukiwa na hakika ya kusaidia ndugu zake ambao itakulazimu ufanye hivyo utake ama usitake,

Oa ukiwa na hakika ya kumhudumia mkeo akiwa ktk shida za kiafya, bila kusahau wazazi wake wakipata shida za kiafya&kiuchumi hilo ni jukumu lako ewe muoaji.

Oa ukiwa na hakika ya kuwatunza watoto wako, uwe na hakika ya kuwapa mahitaji yote na haki zao zote za msingi ikiwepo elimu bora na urithi wa kudumu, na utambue hili urithi kwa wanao ni Mali na pesa wala sio elimu, elimu ni wajibu wa mzazi kumpatia mtoto, elimu sio mali na sio urithi, ndiomaana huwezi kumrithisha mwanao hizo degree zako na sifuri zako ulizopata form 4, hivyo basi andaa mali na pesa za kutosha kwaajili ya warithi wako.

Ewe kijana kataa kudanganywa, na hao motivation speakers wenye mindset za kizaman et wengine wanadai ndoa ni baraka sijui ndoa ni nguzo ya dini, wengine eti ndoa ni Sunna, pumbavu hizi habari za sunna ni mawazo ya wazee wa zaman uko ambao waliiishi dunia ikiwa uncivilised, jitu linaoa wake 10 kuwahudumia inategemea bahati na Nguvu kazi ya shamba/ufugaji na vyakula vya bure huko maporini, tofauti na sasa, kila kitu kinahitaji pesa.

Ndoa sio sunna wala sio baraka ni maandalizi ya kiuchumi, kisaikolojia na kila kitu, ndoa itakuwa Sunna kwa watu wenye akili timamu.

Sasa wewe mwanaume kama unaweza timiza yote hayo basi oa, lkn kama unaishi maisha ya kubeti na kutegemea ndoa ikukomboe, aisee utaishia kurithisha laana, mikosi na ufukara ktk Ukoo wako na familia yao.

Tafuta sana pesa, na hayo mengine utazidishiwa.
 
Nimeoa nikiwa na miaka 22 nafikisha miaka 27 tayari nina nyumba ya kuishi nzuri na gari ya kuendea mishenishe na nina watoto wawili bro acha kudanganya watu,, maana nililia tu nikaanza kuweka akiba
Mke wako ndio alikujengea nyumba na kununulia gari? Unafikiri usingeoa usingeweza kumiliki ivyo vitu?

Muwe mnasoma mada na kuelewa ndugu zangu. Mbona hoja inajitosheleza.

Mafanikio ni mchakato wa jitohada, juhudi, vikwazo na muda, sio ndoa
 
Nimesoma heading tu.

Kuoa ni kweli kunafungua milango ya mafanikio kwa sababu utapata mtu wa kukuhoji na kukusimamia, utaacha kutumia hela hovyo.
Hapo ni sawa na kuuza uhuru wako binafsi,yaan hela yangu halafu nihojiwe tena,sasa nimetafuta za nini? Labda punguani ndiyo anaweza hizo kazi za kuhojiwa.
 
TUKIWAULIZA MNAOA/KUOLEWA KWA MADHUMUNI GANI MATAJIBU?

hawa vijana wanaokimbilia ndoa hawanaga sababu ya maana, zaidi ya kufuata mkumbo/ngono ya bure na upuuzi ufananao na huo, na kwa mwanamke anaolewa ili ajenge status ktk jamii na kujikomboa kiuchumi, hakuna sababu za msingi.

Ewe kijana&binti, kataa ndoa za mchongo, hasa kwa mwanaume, usioe mpaka uwe stable kiuchumi, oa ukiwa na hakika ya kumlisha binti wa watu kwa nyakati zote, oa ukiwa na hakika ya kusaidia ndugu zake ambao itakulazimu ufanye hivyo utake ama usitake,

Oa ukiwa na hakika ya kumhudumia mkeo akiwa ktk shida za kiafya, bila kusahau wazazi wake wakipata shida za kiafya&kiuchumi hilo ni jukumu lako ewe muoaji.

Oa ukiwa na hakika ya kuwatunza watoto wako, uwe na hakika ya kuwapa mahitaji yote na haki zao zote za msingi ikiwepo elimu bora na urithi wa kudumu, na utambue hili urithi kwa wanao ni Mali na pesa wala sio elimu, elimu ni wajibu wa mzazi kumpatia mtoto, elimu sio mali na sio urithi, ndiomaana huwezi kumrithisha mwanao hizo degree zako na sifuri zako ulizopata form 4, hivyo basi andaa mali na pesa za kutosha kwaajili ya warithi wako.

Ewe kijana kataa kudanganywa, na hao motivation speakers wenye mindset za kizaman et wengine wanadai ndoa ni baraka sijui ndoa ni nguzo ya dini, wengine eti ndoa ni Sunna, pumbavu hizi habari za sunna ni mawazo ya wazee wa zaman uko ambao waliiishi dunia ikiwa uncivilised, jitu linaoa wake 10 kuwahudumia inategemea bahati na Nguvu kazi ya shamba/ufugaji na vyakula vya bure huko maporini, tofauti na sasa, kila kitu kinahitaji pesa.

Ndoa sio sunna wala sio baraka ni maandalizi ya kiuchumi, kisaikolojia na kila kitu, ndoa itakuwa Sunna kwa watu wenye akili timamu.

Sasa wewe mwanaume kama unaweza timiza yote hayo basi oa, lkn kama unaishi maisha ya kubeti na kutegemea ndoa ikukomboe, aisee utaishia kurithisha laana, mikosi na ufukara ktk Ukoo wako na familia yao.

Tafuta sana pesa, na hayo mengine utazidishiwa.
Angalao umenielewa. Ndoa ni maandalizi ya kiuchumi kwa sababu ni liability kwa mwanaume

Kwaiyo lazima kwanza uifungue milango ya mafanikio ndio uingie kwenye ndoa sio uingie halafu ndo utegemee milango ya mafanikio itafunguka.
 
Kuto Kuoa ama Kuoa hakuwezi kukufanya ufanikiwe ama ushindwe.

Japo Kuoa Kuna nafasi kubwa sana za kukufanya Ufanikiwe.

~Unapooa, kama hujanunua kiwanja utaanza kufikiria kununua na kujenga
~Utaachana na kubadirisha Wanawake, hivyo utakuwa na nafasi ya kutulia na Mwanamke mmoja ambaye mtafanya naye maisha
~Kama ulikuwa na kawaida ya kukesha Baa, Unapooa lazima utaacha hiyo tabia hivyo kukufanya upate muda mwingi wa kujiuliza na kutafakari kuhusu maisha na kuja na mawazo mbadala ya kufanya kuongeza kipato
~Unapata heshima tofauti na ukiwa single, hivyo ni rahisi kuaminiwa Kwa nafasi mbalimbali Kazini hata biashara. Nafasi ambazo zinaweza kukuongezea kipato n.k

Vijana oeni Kwa mustakabali wa maisha yenu ya sasa na baadaye
Mkuu Grahams hakika nimeupenda Sana huu ushauri wako
 
Back
Top Bottom