Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Natumaini sijachelewa 😃
Tafiti zinaonesha, wanaume waliooa wanatengeneza pesa nyingi kuliko wasiooa.
Na waliooa wenye watoto wengi wanatengeneza pesa nyingi kuliko waliooa bila watoto.
Key hapa ni waliooa
Kwa ambao hawajaoa lakini wana watoto mbali mbali..Iwe kwa mama tofauti au mama mmoja, hawana tofauti na kiwango cha yule ambaye hajaoa
Suala sio kutengeneza pesa suala ni uyo mwanamke ana mchango gani wa moja kwa moja katika izo streams za kutengeneza pesa.

Leo vunjabei akiooa baada ya muda biashara zake zikakua sasa mwanamke ana mchango gani hapo wakati alikuta jamaa tayari ashasimamisha kila kitu.
 
Fanya chaguo sahihi Mkuu, ila Kuoa ni muhimu Kwa Kila Mwanaume anayejielewa
Asante, hili ndio msingi. Aina ya mtu unayemchagua kuwa mke wako. Wengi wanapelekeshwa na vitu vya mpito, mambo yakiharibika wanaanza kutupiana lawama. Ndoa nzuri inatengenezwa na watu wawili walio na tabia nzuri. Mmoja akiwa vibaya, yote ni mbaya. Sawa na yai viza moja linavyoharibu mchanganyiko mzima wa mayai
 
Suala sio kutengeneza pesa suala ni uyo mwanamke ana mchango gani wa moja kwa moja katika izo streams za kutengeneza pesa.

Leo vunjabei akiooa baada ya muda biashara zake zikakua sasa mwanamke ana mchango gani hapo wakati alikuta jamaa tayari ashasimamisha kila kitu.
Twende na huyo huyo vunja bei.. kuna watu wamejaliwa maakili ya biashara, haipingiki. Kila wanachogusa kinageuka dhahabu, na hapo hajaoa. Akioa sasa anachpata kinaongezeka maradufu. Chukua mfano wa Jeff wa amazon au Elon Musk wenye utajiri wa kutisha, mali nyingi zaidi waliweza kutengeza kipindi wapo na wake zao kuliko walivyokuwa peke yao
 
Asante, hili ndio msingi. Aina ya mtu unayemchagua kuwa mke wako. Wengi wanapelekeshwa na vitu vya mpito, mambo yakiharibika wanaanza kutupiana lawama. Ndoa nzuri inatengenezwa na watu wawili walio na tabia nzuri. Mmoja akiwa vibaya, yote ni mbaya. Sawa na yai viza moja linavyoharibu mchanganyiko mzima wa mayai
Ilo ni suala ambalo kila mtu analijua lakini lazima tukubaliane kwamba uko kuchagua ni kama kubet tu, hakuna guarantee ya kushinda, uwezekano wa kukosea upo.

Tunachoki-expose hapa ni kwamba, katika kukosea uko masilahi ya mwanamke yanalindwa lakini masilahi ya mwanaume hayalindwi.

Mfano ukaolewa na mwanaume mchepukaji ndoa ikakushinda ukataka talaka utapata fidia ya muda na jitihada zako katika iyo ndoa lakini mwanaume akaoa mke malaya ndoa ikamshinda akaamua watalakiane hakuna fidia hatakoyapata isipokua atapata hasara kwa maana sehemu ya mali zake itagawanywa kwa mwanamke.

Bila kujali nani ni chanzo cha tatizo ndoa inapovunjika hasara ni kwa mwanaume., ndipo hapo unapokuja kuona taasisi ya ndoa ni kandamizi kwa mwanaume. Hizi loopholes ambazo hazimuwajibishi mwanamke ndizo tunazofichua hapa ili kijana akiamua kuoa ajue hasara na faida
 
Andiko murua kabisa lenye ukweli kwa 100%
Ni kimbelembele changu tu na ile kukulia maisha ya kichungaji ndio kumenifanya nipo hapa.. na sasa ninajuta kuharibu destiny yangu
 
aNaposema wanaume watakuwa watumwa wa wanawake
Unawajibika kumtunza kisheria lakini yeye takwa la kukuheshimu ni hiyari yake. Mkishindwana unawajibika kumlipa fidia bila kujali nani alikua chanzo cha tatizo.

Nafikiri unafatilia mpira na unajua kinachoendelea kuhusu kesi ya walker na mkewe. Mke anadai talaka na nusu ya mali za walker kwa sababu mshkaji alimcheat na kuzaa nje ya ndoa, embu tu-switch upande kama mke ndie angemcheat jamaa na kuzaa nje ya ndoa je sheria ingemshughulikia kama ambavyo inaenda kumshughulikia walker?

Umepata picha ya nini ninachomaanisha ninaposema ndoa ni utumwa kwa mwanaume?
 
Twende na huyo huyo vunja bei.. kuna watu wamejaliwa maakili ya biashara, haipingiki. Kila wanachogusa kinageuka dhahabu, na hapo hajaoa. Akioa sasa anachpata kinaongezeka maradufu
😀😀😀 acha janjajanja, izo baraka anazokuja nazo mke kwanini hazikumpa mali uyo mwanamke akiwa mwenyewe?. Tuseme uyo mwanamke makini na mwenye bahati huo umakini na bahati kwanini hakuakua functionable akiwa mwenyewe mpaka uwe functionable baada ya kuolewa na mwanaume aliejipata?
 
Ilo ni suala ambalo kila mtu analijua lakini lazima tukubaliane kwamba uko kuchagua ni kama kubet tu, hakuna guarantee ya kushinda, uwezekano wa kukosea upo.

Tunachoki-expose hapa ni kwamba, katika kukosea uko masilahi ya mwanamke yanalindwa lakini masilahi ya mwanaume hayalindwi.

Mfano ukaolewa na mwanaume mchepukaji ndoa ikakushinda ukataka talaka utapata fidia ya muda na jitihada zako katika iyo ndoa lakini mwanaume akaoa mke malaya ndoa ikamshinda akaamua watalakiane hakuna fidia hatakoyapata isipokua atapata hasara kwa maana sehemu ya mali zake itagawanywa kwa mwanamke.

Bila kujali nani ni chanzo cha tatizo ndoa inapovunjika hasara ni kwa mwanaume., ndipo hapo unapokuja kuona taasisi ya ndoa ni kandamizi kwa mwanaume. Hizi loopholes ambazo hazimuwajibishi mwanamke ndizo tunazofichua hapa ili kijana akiamua kuoa ajue hasara na faida
Nimekuelewa, ila kuna kitu kinaitwa natural law. Tukiweka dini pembeni, ni kama vile jua linavyochomoza mashariki kwenda magharibi, hata kabla ya wanasayansi kuja na mahesabu na vitu vigumu kuthibitisha hilo.

Kwa ngazi ya familia, kwavile hapawezi kuwa na mafahari wawili ktk zizi moja, natural law (nimetafuta sana kiswahili chake) inafuata Baba-mama-watoto. Ambapo kila mtu anamajukumu yake tofauti na mchango tofauti katika familia, mwanamme ni kutoa mbegu/zalisha/hudumia uzao/kuleta nidhamu/ulinzi kwa walio wake, mwanamke/kuzaa/kulea/kurutubisha uzao wa mwanamme, watoto kuendeleza uzao wa huyo mwanamme. Ndio maana hata jina la familia linatokana na ubini wa mwanamme huyo.

Sielewi unaposema mwanamke huyo hana mchango kwenye ndoa, ni kwa vile mchango wake sio wa mali. Lakini anachofanya kina uzito sawa sawa na kile afanyacho mwanamme. Hii kitu ya usawa kwa mwanamke wa sasa kwamba na yeye anaenda kutafuta, inavuruga utaratibu wa asili, ndio maana wengi wanaojipata hawaoni umuhimu wa kuolewa. Lakini pia ilitokana na anguko la mwanamme kwenye kipengele cha kuhudumia mama-watoto
 
Andiko murua kabisa lenye ukweli kwa 100%
Ni kimbelembele changu tu na ile kukulia maisha ya kichungaji ndio kumenifanya nipo hapa.. na sasa ninajuta kuharibu destiny yangu
Pole sana mkuu. Mimi PM kwangu napewa visa ningi sana vya watu waliopigwa matukio, nilichojifunza ni kwamba haya mambo kwa kiasi kikubwa ni mpaka yakukute ndio unaelewa.
 
Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.

Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.

Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.

Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.

Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.

Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.

Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.

Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.

Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Ni kweli kabisa, Mwanamke ni liability
 
Unaambiwa mkioana tu, mwenyezi mungu ataongeza riziki nyingine ya mtoto. Mambo yawe mazuri ndio itakua sawa hapo, yaende hovyoo sasa ndio utajua hujui
 
😀😀😀 acha janjajanja, izo baraka anazokuja nazo mke kwanini hazikumpa mali uyo mwanamke akiwa mwenyewe?. Tuseme uyo mwanamke makini na mwenye bahati huo umakini na bahati kwanini hakuakua functionable akiwa mwenyewe mpaka uwe functionable baada ya kuolewa na mwanaume aliejipata?
Hahahaaaa....ukikutana na mwanamke mpambanaji kweli kweli ujue ana watoto wanaomtegemea (single parent) au mwanamme wake hahudumii kutokana na sababu mbali mbali (maradhi, tabia yake) au yupo anajishughulisha kuendeleza mali za familia alipotoka
 
Kwa ngazi ya familia, kwavile hapawezi kuwa na mafahari wawili ktk zizi moja, natural law (nimetafuta sana kiswahili chake) inafuata Baba-mama-watoto. Ambapo kila mtu anamajukumu yake tofauti na mchango tofauti katika familia, mwanamme ni kutoa mbegu/zalisha/hudumia uzao/kuleta nidhamu/ulinzi kwa walio wake, mwanamke/kuzaa/kulea/kurutubisha uzao wa mwanamme, watoto kuendeleza uzao wa huyo mwanamme. Ndio maana hata jina la familia linatokana na ubini wa mwanamme huyo.
Huu mpangilio ulivulugwa na sera ya ferminism
 
Na, lengo kubwa la feminism ni kwamba mwanamke apate fursa sawa ya kielimu, kazi na usawa wa msharahara makazini ili kwamba in the absence of the provider (man) mwanamke na watoto wake wasife na umasikini. Ila kilichoendelea kutokea..... ni kuhasiwa kwa mwanamme. Mwisho wake siku nyuzi kama hizi zinatokea😃
 
Back
Top Bottom