Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Sawa ngoja nitamshauriAende UTT AMIS
🤣🤣🤣Yani unaomba maoni wewe kwenye hela za mwenzako hii kali.
Ametuomba maoni sisi mabroo wake na Mimi nimekuja kuchukua humu imo nimpelekee kwani Kuna ubaya ganiYani unaomba maoni wewe kwenye hela za mwenzako hii kali.
Nilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 aisee nimejionea Kwa macho yangu betting inalipa aisee hapa anatuomba ushauri ma broo wake aisee sijui tumpe ushauri Gani Wana jamii forum najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana MODS: naomba huu Uzi msiupeleke kwenye jukwaa la kubet nataka kupata maoni ya wadau hapa
Sio kweliHela ya bet Huwa haikai muda si mrefu inapuputika pasipo eleweka
Sawa mkuu nitamshauriNilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.
Pesa ya kamari haikai bora ajenge nyumba chap apangishe asijaribu kuifanyia biashara kwa sababu hii pesa haikai kabisa. Ajenge au anunue nyumba
Yupo darYupo mkoa gani ? Kama ni karibu na mbeya mwambie aje mbeya tukutane nione namsadiaje aise
Hapo ni karibu na mbeya niunganishe naye aje mbeyaYupo dar
We shupaza tu shingo.hio pesa haikai inaisha kama upepo dunia nzima ni hivyoSio kweli
Sio Kweli akili Yako tu hamna pesa inayoisha kama upepoWe shupaza tu shingo.hio pesa haikai inaisha kama upepo dunia nzima ni hivyo
Nilikua natafuta hii comment ila imewahi sanaaHela ya bet Huwa haikai muda si mrefu inapuputika pasipo eleweka
We mjuaji sana haya nenda kamshauri ndugu yako mwenyewe ushauri wetu uache hapa hapaSio Kweli akili Yako tu hamna pesa inayoisha kama upepo
Huo uliotoa sio ushauriWe mjuaji sana haya nenda kamshauri ndugu yako mwenyewe ushauri wetu uache hapa hapa