Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Wewe jamaa unachekesha. Hayo maswali ya kukimbia na kurudi ni kwenye movie, in real life unakuwa in full of Andrenaline, na options ni mbili tu, fight or flight, huyo jamaa kachagua flight. Sababu hata iweje hauwezi kupambana na watu zaidi ya 4 let alone 10 na kuendelea. Kosa alilofanya ni kujaribu kupiga uturn karibu na hilo eneo badala ya kurudu reverse alipotoka immediately na kwenda as far as possible ndio ageuze, sababu bila shaka anajua stori za magogo usiku. Na kosa la mwisho na kubwa zaidi ni kutoka sehemu salama ndani ya gari yenye engine na uwezo wa kutembea na kutoka nje. Ni sawasawa na kutoka ndani ya Tank uwanja wa vite alafu ujaribu kupambana na battalion nzima.

Ni uoga na ujinga.
 
Wewe hauko sawa aisee.
 
Hivi wewe ni mwanaume kweli mkuu? Sababu hakuna mwanaume kweli anaweza andika haya even hypothetically juu ya familia yake na mke wa watoto wake, hakuna.
Bado akili yako kwa sasa haijafikia level ya kuelewa haya ndugu yangu.... endelea kufurahia nyakati nzuri na familia yako kwani sio kila mtu anayo nafasi hiyo
 
Lete hiyo link tujifunze ili yakitukuta tujue cha kufanya
 
Mh! Hii ni kali. Lakini si wametoka watokako pamoja? Sasa mke kashindikanaje halafu wakafuatana au kuongozana tena?
Sasa ndugu, maisha ya wanandoa wa siku hizi huyajui? Kuna watu wanafosi tu kuishi lakini hawathaminiani. Mtu anatamani mwenzie afe au aende jela apate ahueni. Likitokea la hivo unadhani atakaetendewa mwenzie atajisikiaje! Lazima aone raha.
 
Sasa ndugu, maisha ya wanandoa wa siku hizi huyajui? Kuna watu wanafosi tu kuishi lakini hawathaminiani. Mtu anatamani mwenzie afe au aende jela apate ahueni. Likitokea la hivo unadhani atakaetendewa mwenzie atajisikiaje! Lazima aone raha.
Kumbe! Yan kwenye hizi ndoa; wengine wapowapo tu ila wanakufa na tai zao shingoni.
 
Naona hata alivyokimbia angeenda kuomba msaada Kisha kurudi
 
Kweli aisee. Hormone ya "Fight or Flight" haijawahi kumwacha mtu salama.
Ushauri au Mtizamo wako umekaa kitaalam zaidi.
 
Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
Mume na Mkewe wote wabakwa mbele za watoto wao.
 
Ndo yamekukuta jisamehe na umwombe msamaha mkeo na watoto wako.
 
Hayo magogo wanaweka saa ngapi ulipotoka? As long as mtu ameshasikia mikasa ya magogo basi moja kwa moja solution anajua ni kwenda full reverse.
Hii comment ni ya mtu alieathirika na kuangalia sana movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…