Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Tanzania hii hii!? Noma sana.!!

Kama sio stori za kijiweni basi mwamba kazingua sana
Hii habari ni ya kweli imetokea mkesha wa mwaka mpya na vijana waliotenda hilo jambo wanashikiliwa!
 
Hapana. Hata kama ni chai, Jamaa hakukosea -alitenda ipasavyo. Alivamiwa i.e. alipigwa ambush. Kwa mana hiyo ilibidi aweze kupata muda walau sekunde chache ajipange i.e. aitathimini hali na chap' kutoa majibu ya shambulizi. Kwa vyovyote vile isingekuwa ni busara kupambana ilhali hujui wako wangapi, wanatumia mbinu gani na wana silaha gani za msaada. Halafu kitu kinafanyika hadharani huenda waokozi wapo mbioni wanakuja au wameshafika kutoa msaada. Tahadhari -unaweza ukachanganywamo hapo kwenye kundi la wahuni na ukasombwa, na ni hadi ufike kituoni kwenye uchambuzi ndo ijulikane we ni nani ili uachiwe huru. Kuwa mwanaume ni pamoja na kutumia zaidi Akili sio kukurupuka au kutenda kwa mhemuko. Unadhani hao wahuni hawafanyi mazoezi?
Kuna saa hakuna muda. Kibaka anahitaji dakika 10 za kukuibia, wewe umemrahisishia kwa kukimbia, anajua mpaka upate msaada utatumia zaidi ya dk 10 ndo maana wakachagua kutega hilo eneo, sasa wanaiba kwa dk 3 na wana dakika 7 za kufanya mambo mengine. Hapo binafsi naona kukimbia si option bali kutengeneza mazingira familia ikimbie ndo option. Wakimbie kila mtu na njia yake huku wakipiga yowe na wewe ukipambana.
 
Kama ameliwa mama mbele ya watoto kidogo unafuu upo, kuliko angeliwa baba mbele ya mke na watoto. Ingekuwa fedheha kubwa. Kuna muda uoga unaepusha mengi
 
Hata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging?
Lakini sio kukimbia hadi unaishia au unatokomea "kusikojulikana" (Unakimbia mazima). Fanya maamuzi ya haraka sana ni nini unachoweza kutenda ili 1. Kuidhibiti hali e.g. kutoa zuio ili isiendelee, 2. Kuiangamiza e.g. kuisambaratisha na kuitokomeza 3. Kuwaondoa wahanga ktk. Tukio e.g. kuwaweka salama(Mahali au kutoa cover) kwa wahanga dhidi ya Hali iliyojitokeza. Kwa hiyo kukimbia "kujiondoa ww mwenyewe" ni hatua ya Awali kwenye Kuvamiwa.
 
Ukisikia mtihani ndio huu,hapo labda angekubali kubaki wangemuua,au wangembaka yeye,na ni bora wakuue maana wangembaka sijui mkewe wangetizamana vipi,inawezekana kukimbia kwake kaepusha mengi ya aibu kuliko hii aibu anayoipata saa hizi ya uoga...
 
Kama ameliwa mama mbele ya watoto kidogo unafuu upo, kuliko angeliwa baba mbele ya mke na watoto. Ingekuwa fedheha kubwa. Kuna muda uoga unaepusha mengi
Tuwe makini mkuu, Kubakwa kwa mwanaume si option inayopaswa kuwepo sana kichwani kwa mwanaume.

Kutengeneza hizi fantacy za kubakwa ni kuharibu mfumo wa fikra unaotengeneza vimelea vya ujasiri alioumbiwa nao mwanaume.

Mawazo kuwa unaweza kubakwa yanaweza sababisha jaribio la tukio likitokea kweli vile vichochezi vya upambanaji vinaweza visifanye kazi ukaulizia kama kuna mafuta ili usichubuke.
 
Kuna saa hakuna muda. Kibaka anahitaji dakika 10 za kukuibia, wewe umemrahisishia kwa kukimbia, anajua mpaka upate msaada utatumia zaidi ya dk 10 ndo maana wakachagua kutega hilo eneo, sasa wanaiba kwa dk 3 na wana dakika 7 za kufanya mambo mengine. Hapo binafsi naona kukimbia si option bali kutengeneza mazingira familia ikimbie ndo option. Wakimbie kila mtu na njia yake huku wakipiga yowe na wewe ukipambana.
Mkuu; Kukimbia kijeshi inamaana kujiorganise. Nikitendo cha haraka sana cha kujiondoa ww mwenyewe katika Hatari e.g. Mmevamiwa au mmepigwa ambush. Ni unakimbia kwa utaratibu sio kiholela hovyo-hovyo. Halafu kama kwa mfano una silaha au unafahamu kupambana kwa kutumia mwili wako ; unaamua uanze na yupi i.e. ring leader. Muda niliosema sio madakika. Ni kitendo cha haraka " you either Fight or Flight" kana kwamba umekutana na nyoka mkali.
Kutengenezea mazingira Familia ikimbie sidhani itakuwa rahisi kwani kama familia inao watoto wadogo mathalani wao watakuwa wanakuita Babaaa, babaa au Dadyii Dadyiii, mamaaa, mamaaaaaa? wanashangaa na hawajui kinachoendelea. Watakuwa kiwingu /kikwazo kwani wanaweza wasifanye kama matarajio yako wakafanya tofauti au wakazusha hoja.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Tukio kama hili lilitokea pale Tabora, wale wajinga walimla mama, baba, mwisho wakamlazimisha Mzee amwingilie binti yake.
Baada ya tukio yule Mzee alijiua, badae mama mtu nae akajiua, wakacha watoto.
Sad. Inaumiza mnooo kufikiria tukio kama hili. Hakuna sababu tena ya kuishi hapo.
Ndo maana binafai naona kwanini ufe baadae kwa mikono yako, si ufie tu hapo wakati wa tukio kwa kuleta usumbufu ili kuvuruga hilo linaloendelea. Una nguvu ya kulazimishwa umwingilie binti ila huna nguvu ya kulazimisha wakuulie hapo? Anyway, kuongea ni rahisi ila inasikitisha mno.
 
Mkuu; Kukimbia kijeshi inamaana kujiorganise. Nikitendo cha haraka sana cha kujiondoa ww mwenyewe katika Hatari e.g. Mmevamiwa au mmepigwa ambush. Ni unakimbia kwa utaratibu sio kiholela hovyo-hovyo. Halafu kama kwa mfano una silaha au unafahamu kupambana kwa kutumia mwili wako ; unaamua uanze na yupi i.e. ring leader. Muda niliosema sio madakika. Ni kitendo cha haraka " you either Fight or Flight" kana kwamba umekutana na nyoka mkali.
Kutengenezea mazingira Familia ikimbie sidhani itakuwa rahisi kwani kama familia inao watoto wadogo mathalani wao watakuwa wanakuita Babaaa, babaa au Dadyii Dadyiii, mamaaa, mamaaaaaa? wanashangaa na hawajui kinachoendelea. Watakuwa kiwingu /kikwazo kwani wanaweza wasifanye kama matarajio yako wakafanya tofauti au wakazusha hoja.
Watoto wa kibantu sijui kimakonde mmevamiwa wanaona baba unakula makonde na ushasema kimbieni wakae hapo wakiita dady, dady? Hao ni wa kizungu sio hawa wetu, wetu hizo mbio zake hata vibaka wanaweza wakaangua kicheko.

Halafu unawambia mapema, wakati wa purukushani za awali kabla ya kudhibitiwa, nikufungua mlango atakayepata upenyo akimbie huku anapiga yowe za msaada, akimbie asisimame.

Ila point yako Nimekuelewa boss, hapo hujakimbia, hujatelekeza watoto na mke, umepambana.
 
Tukio kama hili lilitokea pale Tabora, wale wajinga walimla mama, baba, mwisho wakamlazimisha Mzee amwingilie binti yake.
Baada ya tukio yule Mzee alijiua, badae mama mtu nae akajiua, wakacha watoto.
Historia mbaya sana!
 
Back
Top Bottom