Mkuu; Kukimbia kijeshi inamaana kujiorganise. Nikitendo cha haraka sana cha kujiondoa ww mwenyewe katika Hatari e.g. Mmevamiwa au mmepigwa ambush. Ni unakimbia kwa utaratibu sio kiholela hovyo-hovyo. Halafu kama kwa mfano una silaha au unafahamu kupambana kwa kutumia mwili wako ; unaamua uanze na yupi i.e. ring leader. Muda niliosema sio madakika. Ni kitendo cha haraka " you either Fight or Flight" kana kwamba umekutana na nyoka mkali.
Kutengenezea mazingira Familia ikimbie sidhani itakuwa rahisi kwani kama familia inao watoto wadogo mathalani wao watakuwa wanakuita Babaaa, babaa au Dadyii Dadyiii, mamaaa, mamaaaaaa? wanashangaa na hawajui kinachoendelea. Watakuwa kiwingu /kikwazo kwani wanaweza wasifanye kama matarajio yako wakafanya tofauti au wakazusha hoja.