Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Yeah! Kila fursa itakayo patikana hapo itumike kufanikisha kwenye kujiokoa.
Kabisa mkuu. Mara nyingi upenyo huwa ni kule ulipotoka kwa kurudi kinyume nyume kwa kasi sababu hata wakiweka mawe au magogo huwa si mazito au makubwa kama wanayoweka mbele sababu wanayaweka ghafla ukishapita. Usiogope kuumiza gari kwa kuyagonga kwa nyuma.
 
watu wamekubali ndio kupambana kunaweza kusisaidie

lakini wewe kama mwanaume unatakiwa uwe tayari kufa kwa ajili ya familia yako

je, unakubaliana na hili?

na ukiangalia thamani ya hii sadaka;

mkeo huenda ataamua kuolewa tena aepuke ujane, wewe unabaki tu kama chembe ya kumbukumbu
#huyo mwanamke unaempambania huenda hata asione umuhimu wako_utakufa nabado atawalisha watoto mambo mabaya kuhusu ww
 
Alooooo. Kuliko mwanaume uliwe kiboga mbele ya mkeo, bora wamugonge tu hakuna namna.
Kuongea huwa ni rahisi kuliko kutenda.
Nakumbuka miaka ya nyuma hapa-hapa Jf kuliwahi kuwa na uzi uliohoji dhana kama hii kwamba Bora ufe au uliwe uishi?
Wadau waligawanyika makundi mawili; ila kundi lililosema wanataka waishi lilikuwa kubwa zaidi. Na walitoa sababu zao.
 
#huyo mwanamke unaemoambania huenda hata asione umuhimu wako_utakufa nabado atawalisha watoto mambo mabaya kuhusu ww
Ni maneno machungu lakini 85% ni ukweli. "Never mess with a woman" Ogopa sana mtu (Ke) anayelia kule Labour "Mungu wangu wwoy' sitarudia tena" lakini baada ya siku 40+ tu anaanza tena, kesha sahau.
 
Alafu baada ya kuliwa ndogo kisa anapambana kumuokoa demu. Baadae dem akamkataa
Hapo tena unaweza kukuta alijisemea au hata aliwaambia mashoga zake huko saloon "naolewaje na mtu ameshafanywa kuwa sawa kama na mm"? Inasikitisha.
Usiwekeze sana hadi hata uhai wako kwa ajili ya mwanamke. Imeandikwa Tuishi nao kwa Akili.
 
Kwa hiyo hapo option ilikuwa ni KUFA kishujaa na ndio jukumu la mwanaume kiasili kulinda familia na pride yake.
Mnyama yeyote anapokabiliwa na hatari hua ana option 2: fight or flight (kupambana au kukimbia). Kufa is not an option!

Manake sasa ukifa ndio unakua umefanya nini? Hata simba mwenyewe na maguvu yote lakini kuna wakati akishaona hapa kazidiwa hua anatimua mbio balaa.
 
Mkuu mungu ni mwema wewe uliwaponyoka maana ilikuwa aibu zaidi ya hapa wewe kuliwa kiboga mbele ya mkeo na watoto wako. pole umeponea kwenye tundu la sindano
 
Mnyama yeyote anapokabiliwa na hatari hua ana option 2: fight or flight (kupambana au kukimbia). Kufa is not an option!

Manake sasa ukifa ndio unakua umefanya nini? Hata simba mwenyewe na maguvu yote lakini kuna wakati akishaona hapa kazidiwa hua anatimua mbio balaa.
Exactly yes. Kufa is not among the available options. Unajitoa mhanga kiasi hicho halafu mwanamke baada ya msiba tu; anakuja hudhihaki na kukejeli "alikuwa hajui kupambana- si angelikimbia tuu".
 
Mkuu, sidhani kama suala ni kuokoa mwanamke tu, suala ni baada ya tukio utaishi vipi na watoto wako uliowaacha hapo wafanywe chochote? Hata baadhi ya wanyama dhaifu kabisa huko maporini hufa wakitetea watoto wao.
Lakini msingi hasa wa mada yako ulikazia kwenye "MKE"
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ukitaitiwa kweli hakuna namna ila kama kama kuna fursa pambana.

Mimi nilikutana nao wanne, bahati nzuri hawakuwa na mapanga walikuwa wenyewe na wamevaa makoti marefu, nilienda mkoani kwa shughuli zangu mara moja, usiku nilichelewa kurudi nilipokaa.

Walinifuata kwa spidi, nikasema wanne sikimbii naruka nao vizuri tu!

Ukiniona naonekana mayai! Yaani wale watu ambao hawajui shida. Hawakujua kama nimecheza shaolinji kempo na muai Thai.

Waliingia cha kike. Situation kama hizo mbona unafungua bomba za mvua tu (unawatoa damu)!.

Na situation kama hizo kuvunja sijui kutengua wala sioni tatizo na huwa sijali.
So ulipambana nao vipi ukawashinda
 
Ndugu, sisi tulivamiwa na majambazi wakiwa na silaha (bunduki) kipindi nipo kidato cha kwanza.

Mzee alileta ubishi kidogo wakamtia dozi na mama akawa analia. Kile kitendo mimi sikuvumilia ijapokuwa na sisi chumbani kwetu tuliwekwa chini.

Ijapokuwa nilikuwa mdogo ila nilinyanyuka hivyo kwenda kuingilia. Nikadakwa wakanikunja na kunifunga kamba miguuni na mikononi na kulazwa chini.

Ni mpole, ila sina roho nyepesi!
Pole Sana what happened next
 
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Kama majambazi walikuwa 10 wenye bastola, na wewe upo mmoja tena huna silaha yoyote, ungeprotect nini?
 
Back
Top Bottom