Ukitaitiwa kweli hakuna namna ila kama kama kuna fursa pambana.
Mimi nilikutana nao wanne, bahati nzuri hawakuwa na mapanga walikuwa wenyewe na wamevaa makoti marefu, nilienda mkoani kwa shughuli zangu mara moja, usiku nilichelewa kurudi nilipokaa.
Walinifuata kwa spidi, nikasema wanne sikimbii naruka nao vizuri tu!
Ukiniona naonekana mayai! Yaani wale watu ambao hawajui shida. Hawakujua kama nimecheza shaolinji kempo na muai Thai.
Waliingia cha kike. Situation kama hizo mbona unafungua bomba za mvua tu (unawatoa damu)!.
Na situation kama hizo kuvunja sijui kutengua wala sioni tatizo na huwa sijali.